Vita ya Ukraine na Urusi: Mwisho wa zama za vifaru umefika

Putin ilikuwa zamani. Huwezi kubaki bora tu hata kama umeezeka. Putin hamna tofauti na Mseven aachie ngazi tu,awaachie vijana nchi imemshinda kabisa.

Akaona anazeeka bila kuzitumia zana zake. Hana uvumilivu. Yamemkuta sasa ya kumkuta
 
Kwa hiyo unajaribu kusema kuwa akishindwa vitani atalitumia hilo bomu dhidi ya Ukraine? Unadhani hao wengine mabomu yao yote wameyaweka wazi!?
 
Mjomba wangu ambaye alikua mgambo huko mkuranga pia alinieleza hili ,lakini jambo la kuzingatia sanaa ya vita nayo imekua ikibadilika badilika sana tukianza na hata nyambizi(submarines) hizi kipindi zinaingia mameli vita yalizamishwa kama kuku kwa mdongo torpedo(bomu la majini) moja tu meli lote chini lakini baadae wakaja wakazipatia njia bwana bwana weee anko anasema wale mabaharia wa submarine walizikwa humo humo yani yalikua ni makaburi yao na baada ya muda pia hizo hizo submarine zikaja na teknolojia mpya basi zikarudi kwenye utukufu hivyo hata hivi vifaru watu watakaa chini watajiuliza kisha watakuja na mchoro mmoja matata sana wa kirhino chenye kufuru kama zote,. Wasaaalam
 
Hii Operation anayofanya Hon Putin dhidi ya Ukraine imejaa propaganda nyingi sana. Na ukweli ni kwamba western media ndio zinazoonekana kuzidi nguvu na ndio zinazoonekana kuaminika. Naamini kabisa, Russia hafanyi vita na Ukraine. Total ni operation. Sababu kama ingekuwa ni vita, ile siku ya kwanza tu ndege za kivita za russia zingedondosha mibomu kwa mfululizo kwa zaidi ya masaa 48. Hii ingefanyika kwa miji yote mikubwa ya kiyv nk.
Sasa hii mbinu ya kulinda miji kwa kugawa silaha kwa raia ndio kikwazo kikubwa kwenye hii operation. Ila trust my word, kiev inaenda kuanguka soon. Ni swala la muda tu.
 
Source BBC.
Ok
 
Exactly western media ndio wanalikuza hili jambo
 
Bro umeenda nje ya mada kisa mahaba, jamaa kaelezea uwezo wa baadhi ya silaha kwenye uwanja wa medani kama vifaru ambavyo vinaonekana accuracy yake ni narrow, kwa ametoa mfano wa battleship zilivyokufa natural death kutokana ni uwezo wake kwenye medani ni mdogo maana zilishindwa kutamba ww2. Wewe kama ni analyst consult unbiased data uone Russia anavyostruggle kuizingira miji ya Ukraine, kingine unachapaswa unaweza kuwa na high odds kijeshi kwa kila kitu ila ukaangushwa na underdog mwenye mbinu na morale ya hali ya juu kulinda uhuru wako
 
Kwa hiyo unajaribu kusema kuwa akishindwa vitani atalitumia hilo bomu dhidi ya Ukraine? Unadhani hao wengine mabomu yao yote wameyaweka wazi!?
To show superiority in military arena in recent modern warfare every big dog tend to show his big teeth...n kama USA anavoringa na zile RAPTOR zake ....na ile bomber..mbona mchna hajawahi kuonesha bomber za kumsimamisha hata B2
 
Hypersonic n kwel katumia ingawa kimkakati zaidi ...ie..kuharibu ghala kubwa la silahaa lilikowa ardhini.

Kuhusu ku update silaha za 80s n kweli but kutumia zile mig ambazo had tz tunazo zmepaki pale mwaza kambini hapa alibugi na ndio nying zmedondoshwa..

Russia ali mu understimate Ukraine..nadhani juz juzi chalii angu PUTIN ndo katoa zile sukhoi na zmeaza kaz ndo maana update za fighter jet kuangushwa hizi sku 2 n kmya kidogo...
 
Putin anapiga jeshi na miundombinu ya kijeshi. Anachokifanya mpaka Ukraine kuinuka tena kijeshi siyo leo hii.

Ni sawa sawa aje Bongo aanze kupiga sehemu zote zilizopo kambi za jeshi nchini na miundombinu yote.
 
To show superiority in military arena in recent modern warfare every big dog tend to show his big teeth...n kama USA anavoringa na zile RAPTOR zake ....na ile bomber..mbona mchna hajawahi kuonesha bomber za kumsimamisha hata B2
So, hilo ni tatizo la nani!?
 
No fly zone Zelensky anaomba sababu raia wanauawa na air bombardments za Urusi ambayo kwa 90% wanatumia cruise and short range ballistic missiles,Wanataka no fly zone ili NATO waweze kuweka air defenses na ndege kuzuia air campaign ya Urusi maana raia wengi sana wanakufa.
Kinachozungmziwa hapa ni ground compaign za Russia hadi sasa imeonyesha kutofanikiwa au imeonyesha uwezo mdogo sana,pia Russia wameshindwa kuweka No fly zone kwenye anga la Ukraine pampja na resource walizo nazo maana drones za Ukraine bado zinashambulia vifaru vya urusi kila kukicha.
Sasa wewe kama una ushahidi unaonyesha wamefaulu kwenye izo nyanja mbili,tuletee hapa usituamibie tu ni propaganda za magharibi,maana sisi ni watu wazima tunajua jinsi ya kupata habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…