Vita ya Ukraine - Urusi ina hadhi ya kuziangusha serikali za Ulaya na Marekani

Aaaah kuwa msomi kigogo, kuna ndege ambazo zinaweza kutua hata kwenye kiwanya cha mpira tu au kidogo kuliko uwanja wa mpira tu. Kaka lile daraja ni refu sana, ni kiasi tu cha kulipiga bomu daraja na kulivunja wakati magari yako kwenye daraja tayari lazima yatatumbukia, hiyo ni common sense tu, yaani ni sawa na atokee mwendawazimu abomoe daraja la kigamboni wakati magari yanaendelea kupita kwenye daraja. Putin alijiandaa kwa vita hii na alijua NATO watajiunga na ukraine. Urusi ina silaha nyingi ambazo haijazitumia akisubiri muda mwafaka wa kuzitumia.
 
Rubbish for the trashcan.
 
Urusi ina silaha nyingi watazitumia lini majenerali wao 10 na zaidi wameuliwa bado wanasuburi yule generali mpya aliyeletwa baadae kutoka Syria naye akatwe roho ndio watowe silaha zao mpya? ukiambiwa jiambie sasa ni 3 months, Russia hana jipya mlikuwa mnajazwa maneno tu
 
[emoji635][emoji1103] Russian gas supplies to Finland will stop at 07:00 Moscow time on May 21, the Finnish company Gasum announced
 
Mkuu inaonekana wewe una mahaba na Marekaninzaidi. Baadhi ya nguvu za Urusi ni hizi hapa, angalia, hao wote sio panya road bali ni askari kamili wa Ukraine na washirika wake. unataka nini hapo?


 
Tukiwambia Putin ni kichwa muwe mnaelewa [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Most EU buyers open RUBLE accounts for [emoji635] gas as ‘no other advisory options’: Gazprombank

Half of [emoji635] gas giant Gazprom's clients have opened accounts at Gazprombank, Deputy Prime Minister Alexander Novak said, as Moscow seeks to compel its clients to pay for its gas in roubles. https://t.co/OCur3mOoDs
 
Urusi imeuchukua bandari muhimu ya Ukraine, Mariupol, sasa hivi Ukraine haiwezi kusafirisha wala kupokea bidhaa kwa njia ya bahari, hayo sio maendeleo makubwa ya kivita?
 
Chukulia mtaani kata yenu tu mnaweza kuwa na agenda ya pamoja
Kuwa na interest nje ya nchi aina uhusiano wowote na kupokea wala kutoa misaada.

Kila nchi ina export na ku import resources muhimu kwa mahitaji ya watu wake na uchumi wake.

Either una carbon fuel reserve au auna; na chi nyingi duniani hawana. Sasa kama auna mafuta na ndio engine ya uchumi wowote utayahitaji and it’s in your interest kuhakikisha unayapata kwa uhakika na kwa bei rahisi vinginevyo hilo swala lina athari kubwa kwa uchumi wako.

Hao wazungu wana means za kuyapata hayo mafuta, mitigating strategies ya kuyapata sehemu nyingine source moja ikiaribika (be it at higher price) na uwezo wa ku diversify kwenda kwenye renewable baada ya miaka 20 na kupunguza uagizaji kwa kiasi kikubwa.

Nchi za africa hazina financial muscles za kukopi hizo strategies so for national security reasons katika kulinda interest zako uwe unakopeshwa ama vipi lazima uwe makini unapo support mambo ambayo yana madhara kwako.

Kwa maana hiyo issue sio kukataa whoever asivamiwe kama sio nchi ya Africa; ila la msingi ni kuelewa hiyo nchi kama hatuna ugomvi nayo na ni supplier mkubwa wa commodities muhimu Africa na duniani ikiacha biashara madhara yake tunayapunguza vipi kama nchi maskini.

Hayo ndio maswali waafrica wanatakiwa kujibiwa huko UN kabla ya kukubali mambo ambayo yana madhara kwao; Tanzania peke yake aiwezi hayo ni mambo ya block politics katika kutetea interet zao.
 
 
Kuna vitu vingi sana hufahamu kuhusu hii vita unaishia kusema petty issues.
 
Yes,vikwazo vimewarudia nchi za magharibi,Putin anadunda,..

Urusi inazidi kuchukua ardhi upande wa mashariki ya Ukraine,..

Propaganda za western countries zinaanza kufeli..
 
O
Ona wenzako wanavyosakwa kwenye mitaro, wewe endelea kunywa mtori na nyama ya utumbo
 
Wakati maprofesa wetu pale SUA wakipoteza muda kufuga, kulisha na kupima uzito panya wa kunusu mabomu ona kazi za mikono ya maprofesa wa Urusi katika kugundua na kutegua mabomu, tunakwama wapi?
 
Yes,vikwazo vimewarudia nchi za magharibi,Putin anadunda,..

Urusi inazidi kuchukua ardhi upande wa mashariki ya Ukraine,..

Propaganda za western countries zinaanza kufeli..
 
Hii vita ni vita ya Marekani, hao EU wamejumlishwa tu kama mizoga isiyojitambua, wanaswagwa na Marekani kama kondoo wa kafara kwenye ajenda za marekani. Sikiliza hapa, henry kissinger
 
Aliyekwambia vikwazo vinarudi kwao nani? Ivi unajua russia ameomba kupunguziwa vikwazo ndio aziachie zile meli za chakula alizokuwa kazishikilia kule kwenye bahari nyeusi?? kwanini aliomba? kwanini warusi zaidi ya milioni 4 wamehama russia na kwenda kutafusha maisha sehemu nyengine duniani?

Wazungu walipokuja na wazo la kuwaekea vikwazo russia kwa kuivamia ukraine walishakaa chini na kuona watamuumiza kwa kiwango gani russia, ukiwa nje na kusikiliza propaganda hutaweza kuipata picha halisi, tafuta ndugu yako anayeishi urusi akueleze hali halisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…