Vita ya Ukraine - Urusi ina hadhi ya kuziangusha serikali za Ulaya na Marekani

Wewe akili ndogo shabikia siasa uchwara za aina ya jiwe tu nchini kwako, hizo za Ulaya na Marekani zinahitaji akili kubwa kuzielewa.


Hiyo ni moja ya three pillars za EU walizokubaliana Kwenye ‘Maastricht Treaty’ wao wana foreign policy ya pamoja; among other things.

Elewa kwamba wanapoenda UN nyuma ya pazia wanakuwa washaafiki nini wana support kwenye foreign na madhara yake wana mitigating strategies za kusaidiana.

Wale sio kama waafrica wakifika UN kwenye kura huyu sijui ana abstain, huyu ana support na huyu kakataa. Wao kura yao yote moja based on continental intrest.

We mwafrika maskini unaenda huko unaambiwa usinunue mafuta Iran unaikubali tu, usinunue Venezuela haya na usinunue Russia haya; nchi zote hizo zina reserve kubwa uwepo wao sokoni bei ingeshuka sana.

Sasa kwa uchumi wetu ilipaswa tuwaambie na sisi either wafidie gharama za kupanda kwa bei ya mafuta kabla ya ku support ujinga wao; au wasitupangie soko la mafuta kwa migogoro usiyotuhusu ni uzwazwa kutokulinda continental intrests za bara kama wanavyofanya kwao.
 
Unavyoongea utafikiri ulaya na marekani zinalishwa na Urusi. Upuuzi mtupu
 
Unavyoongea utafikiri ulaya na marekani zinalishwa na Urusi. Upuuzi mtupu
Kama hailishwi na Russia mbona mabakara yao yamekaukiwa na vyakula baada ya kuiwekea Russia vikwazo?! Usijojua ni kwamba Ili wewe upate chakula si lazima ununue sehemu fulani. Kwa mfano , Kenya inasafirisha bidhaa ulaya , siku ikizuiwa kusafirisha bidhaa hiyo ulaya kunakuwa na upungufu wa hiyo bidhaa kwa hiyo wanaitafuta sehemu nyingine ambako nako kuna wateja wake hivyo kusababisha ushindani unaopelekea bidhaa kuwa adimu na bei kupanda.
 
Jilishe upepo na ubatili
 
zote zinapigwa na Russia sasa hivi. Askari wao wana surrender kwa Russia kila siku. kama kweli Russia inapigwa kwanini askari wanasurrender? propaganda zenu zitafika mwisho soon. Ona hapa

 
wakifanikiwa hilo watanufaika na nini ?
Watafanikiwa sana, sasa hivi UD Dollar inapata tabu sana na Euro, Marekani ikizuia bidhaa kutoka nchi ya Ulaya na EU inazuia bidhaa za Marekani kuja ulaya. EU ikivunjika UK na Marekani wanapata ahueni kubwa sana.
 
mkuu tupo current tunalenga kupunguza huu ujinga in future , kuunga mkono , uvamiz ni kukubali uvamiz uendele , hakuna kosa halijawai kufanywa ila hatuez tokomeza kwa kuunga mkono kosa kila wapo waliokosea pia
Kuwapatia mapanga watu wanaopigana ni upumbavu uliokithiri, wewe na wenzio NATO ndicho mnachokifanya, hebu Ona watu wenye akili nyingi wanavyofikiriL

 
Ohoooo[emoji116][emoji116]

Yaani tumeamua hivi


[emoji91][emoji91][emoji91]Moscow: there are no talks with Kiev now, in any form[emoji91][emoji91][emoji91]
 
Macron ndiye anayepigia chapuo nchi za EU ziachane na manunuzi ya gesi na mafuta ya Russia. Hilo lingefanyika hiyo vita ingeisha kesho saa nne asubuhi.
Lakini unajua kwamba haiwezi kufanyika, hata yeye Macron anajua hivyo.
 
Mahaba ni ujinga
 
Usiwasemee wamarekani, sikia wenyewe wanavyosema na wanavyotaka. Endelea kunywa mtori wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…