figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Ugomvi au Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi tatizo ni Urais.
Mmoja anajitapa ni mtoto wa Masikini. Kwamba aliua fisi na Chui wakati analinda Ng'ombe hivyo hawezi kushindwa kuwalinda watanzania. Anazunguka Tanzania nzima kujijenga kisiasa na kutenegenza pesa za per diem..
Anaongea kwa kufoka kuwalaghai wananchi kwamba ana uchungu bila kuongelea 29.10.2025
Mwingine anajivunia uadilifu na Utawala wa Sheria.. Akijiaminisha kwamba Sheria za Nchi zikifuatwa wananchiwatakuwa Salama
Poleni watanzania.. Awamu ya Sita mumelamba galasa. Hakuna rais atafanya kwani kashakata pumzi mapema mapema.
Tumaini liliobaki ni Tundu Lissu