Hahahaaa! Nilijua tu, magalatia usiye na..... lazima ungejitokeza kutetea ukatoliki wako.Hakuna ugomvi wowote!, huwezi kushindanisha mbingu na nchi!. Rais wa Tanzania akiwa wa upande huu, lazima awe wa Kurasini, nje ya hapo ni watu wanajifurahisha!.
P
Inafurahisha kuona Mzee mkongwe kama wewe anaamini kwenye hizi nadharia njama.Hakuna ugomvi wowote!, huwezi kushindanisha mbingu na nchi!. Rais wa Tanzania akiwa wa upande huu, lazima awe wa Kurasini, nje ya hapo ni watu wanajifurahisha!.
P
Hofu ya Madaraka.. Mimi naona kashapoteza ielekeo.. Kiti kishakuwa cha moto hata hajui afanye nini... Mikono imejaa damu... Kashapotezwa na miluzi mingi..Kwanza huku bara hatuna any provisions za serikali ya mseto!,
pili kwa huyu aliyepo, unaona kama ana any political will ya kwenda huko?!.
Kama amekosa a political will ya kufanya kitu kidogo tuu cha minimum reforms za katiba, zilizosababisha kile kilichotokea, hiyo political will ya kufanya mabadiliko makubwa ya katiba kuruhusu coalition government itoke wapi?!.
Maridhiano ni ya watu kukubali kukaa meza moja, kunwa chai, juice na vitavunwa, sio maridhiano ya kugawana mkate kila mtu apate nusu mkate!.
P
Upandee huu kwa maana ya Tanganyika au unaongelea mambo udini kwamba lazima awe mkatoliki(kurasini)?Hakuna ugomvi wowote!, huwezi kushindanisha mbingu na nchi!. Rais wa Tanzania akiwa wa upande huu, lazima awe wa Kurasini, nje ya hapo ni watu wanajifurahisha!.
P
Jaribu tu kurejea kile kijitabu- pamoja na ubovu wake lakini hakiruhusu hilo.Mkuu kwani kisheria Samia si huu muhula wake wa kwanza bado wa pili?.
*Mmoja anajitapa ni mtoto wa Masikini. Kwamba aliua fisi na Chui wakati analinda Ng'ombe hivyo hawezi kushindwa kuwalinda watanzania. Anazunguka Tanzania nzima kujijenga kisiasa na kutenegenza pesa za per diem..Ugomvi au Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi tatizo ni Urais.
Mmoja anajitapa ni mtoto wa Masikini. Kwamba aliua fisi na Chui wakati analinda Ng'ombe hivyo hawezi kushindwa kuwalinda watanzania. Anazunguka Tanzania nzima kujijenga kisiasa na kutenegenza pesa za per diem..
Anaongea kwa kufoka kuwalaghai wananchi kwamba ana uchungu bila kuongelea 29.10.2025
Mwingine anajivunia uadilifu na Utawala wa Sheria.. Akijiaminisha kwamba Sheria za Nchi zikifuatwa wananchiwatakuwa Salama
Poleni watanzania.. Awamu ya Sita mumelamba galasa. Hakuna rais atafanya kwani kashakata pumzi mapema mapema.
Tumaini liliobaki ni Tundu Lissu
View attachment 3553563
Hii issue ya Mkatoliki, sio mimi, tafuta kitabu cha Father Dr. John C. Sivalon, kuhusu Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara (1992) usome huku umetulia!Upandee huu kwa maana ya Tanganyika au unaongelea mambo udini kwamba lazima awe mkatoliki(kurasini)?
Mkuu Pascal Mayalla hii Nchi sio miriki ya wakatoliki.
Ifikie mahala muache kuinasibisha Nchi yetu na imani zenu za kidini.
Haya mazoea ya eti awamu hii ya wafuasi wa muhamedi mara ijayo itakuwa ya wafuasi wa emanueli hayana msingi wa kikatiba.
Binadamu ukikosa focus ndio unaandika mambo ya hivi,yaani unaandika mambo ya watu,akili ndogo ndio hujadili mambo ya watu.Rais huchaguliwa na Mungu,Mungu ndio anajua rais wa Tanzania wacwakati huo ni naniUgomvi au Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi tatizo ni Urais.
Mmoja anajitapa ni mtoto wa Masikini. Kwamba aliua fisi na Chui wakati analinda Ng'ombe hivyo hawezi kushindwa kuwalinda watanzania. Anazunguka Tanzania nzima kujijenga kisiasa na kutenegenza pesa za per diem..
Anaongea kwa kufoka kuwalaghai wananchi kwamba ana uchungu bila kuongelea 29.10.2025
Mwingine anajivunia uadilifu na Utawala wa Sheria.. Akijiaminisha kwamba Sheria za Nchi zikifuatwa wananchiwatakuwa Salama
Poleni watanzania.. Awamu ya Sita mumelamba galasa. Hakuna rais atafanya kwani kashakata pumzi mapema mapema.
Tumaini liliobaki ni Tundu Lissu
View attachment 3553563
Roma Locuta, Causa Finita Est.Hakuna vita yoyote wala ugomvi wowote kuhusu 2030!, its straight!, huwezi kushindanisha mbingu na nchi!. Rais wa Tanzania akiwa wa upande huu, lazima awe wa Kurasini, nje ya hapo ni watu wanajifurahisha!.
P
October 29 Mungu alichaguwa Rais?Binadamu ukikosa focus ndio unaandika mambo ya hivi,yaani unaandika mambo ya watu,akili ndogo ndio hujadiki mambo ya watu.Rais huchaguliwa na Mungu,Mungu ndio anajua rais wa Tanzania wacwakati huo ni nani
Bonus truck.Inafurahisha kuona Mzee mkongwe kama wewe anaamini kwenye hizi nadharia njama.
Ndio alichagua,shida ni wewe ndio huoni na kwa akili zako unadhani wengine pia hawaoniOctober 29 Mungu alichaguwa Rais?
Akili hizi usivukie barabara.
Mungu akurehemu.Ndio alichagua,shida ni wewe ndio huoni na kwa akili zako unadhani wengine pia hawaoni