Vita ya Urais 2030, itawatoa roho Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi

Vita ya Urais 2030, itawatoa roho Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi

Kwa hiyo mjivuni na mshamba wa maskafu urais wake utaishia kwenye mawe tu?
Not necessarily, kwavile anayepanga ni nani awe rais wetu, sio mimi, sio sisi, sio wewe, sio nyie, sio wale, sio wao, sio yeye, sio yule!, anayepanga rais wetu wa 2030 ni YEYE tuu mwenyewe, na siku zote ikiwa ni zamu yetu, YEYE amekuwa akimpangia Mkurasini, kama YEYE kaona Wakurasini imetosha, then anaweza mpangia yeyote, hata huyu mchunga mbuzi na akawa!.

Kwa upande wa sifa za kuwa, anazo sifa zote kama nilivyo eleza hapa, Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa!

P
 
Ugomvi au Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi tatizo ni Urais.

Mmoja anajitapa ni mtoto wa Masikini. Kwamba aliua fisi na Chui wakati analinda Ng'ombe hivyo hawezi kushindwa kuwalinda watanzania. Anazunguka Tanzania nzima kujijenga kisiasa na kutenegenza pesa za per diem..
Anaongea kwa kufoka kuwalaghai wananchi kwamba ana uchungu bila kuongelea 29.10.2025

Mwingine anajivunia uadilifu na Utawala wa Sheria.. Akijiaminisha kwamba Sheria za Nchi zikifuatwa wananchiwatakuwa Salama

Poleni watanzania.. Awamu ya Sita mumelamba galasa. Hakuna rais atafanya kwani kashakata pumzi mapema mapema.

Tumaini liliobaki ni Tundu Lissu
View attachment 3553563
Rais Mwigulu......mh!!
Akitoka mama, Nadhani Abdul au Ridhiwan wangefaa zaidi maana nafasi kubwa kama urais inataka mtu aliyekulia kwenye mazingira ya hela sio umasikini,akiwa katokea familia masikini atakachowaza ni kuiba tu,na then atakuwa na chuki na matajiri kama alivyokuwa bwana yule.
 
Hakuna vita yoyote wala ugomvi wowote kuhusu 2030!, its straight!, huwezi kushindanisha mbingu na nchi!. Rais wa Tanzania akiwa wa upande huu, lazima awe wa Kurasini, nje ya hapo ni watu wanajifurahisha!.
P
Huo utaratibu haupo kwenye katiba mzee mwenzangu! Ccm yoyote tunaweza kumsimamisha kugombea urais, Tanzania sio Nchi ya kidini au udini kiasi kufikia eti akitoka mkristo aingie muislam, na wapagani nao watapewa lini NCHI kina Yericko? Abdul Ameer au Ridhiwan ndio chaguo sahii la urais mwaka 2030 inshallah, Rais inatakiwa asitoke family ya kimasikini atakuwa na roho mbaya kwa matajiri,na atawaza kuiba tu ili nayeye ajilimbikizie mali, watoto wa Marais ndio wanastahili haswa kushika Nchi, au mtu kama MO pia anafaa maana ni tajiri.
 
Kwanza huku bara hatuna any provisions za serikali ya mseto!,
pili kwa huyu aliyepo, unaona kama ana any political will ya kwenda huko?!.
Kama amekosa a political will ya kufanya kitu kidogo tuu cha minimum reforms za katiba, zilizosababisha kile kilichotokea, hiyo political will ya kufanya mabadiliko makubwa ya katiba kuruhusu coalition government itoke wapi?!.
Maridhiano ni ya watu kukubali kukaa meza moja, kunwa chai, juice na vitavunwa, sio maridhiano ya kugawana mkate kila mtu apate nusu mkate!.

P
sidhani kama kuna Mtanzania atakaa akubali any minimum reforms. kama ambavyo wanapinga minimum reforms za NEC kwenda NEC(huru) TUME YA UCHAGUZI KUWA TUME HURU YA UCHAGUZI.

Wabongo wanataka practical(tangible) reform kwa mfano. Rais akitoka madarakani ashitakiwe(wanataka mtu afunguliwe mashtaka, mahakama iache habari zake dpp kufanya kama wanavyomfanyia Lussu.

Watanzania kwa mtazamo wangu wanataka waone polisi hawakamati kamati (mfano wanavyotafsiri maamuzi ya mamlaka kumtumbua Simba kana kwamba kosa lake ni kuwaambia polis waache kupiga na kukamatankwa nguvu)

Wabongo wanalia sana na watoto wa wakuu kupita bila kupingwa. practicability. Kwa mfano Janet magufuli agombee leo na Halima mdee. definitely Jesca atashinda something like that. you gerry what am say P???

tangibility ninayozungumzia watanzania wanaijua waziwazi kama ile movie ya UKAWA unakumbuka lowasa alivyosumbua??
 
Ugomvi au Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi tatizo ni Urais.

Mmoja anajitapa ni mtoto wa Masikini. Kwamba aliua fisi na Chui wakati analinda Ng'ombe hivyo hawezi kushindwa kuwalinda watanzania. Anazunguka Tanzania nzima kujijenga kisiasa na kutenegenza pesa za per diem..
Anaongea kwa kufoka kuwalaghai wananchi kwamba ana uchungu bila kuongelea 29.10.2025

Mwingine anajivunia uadilifu na Utawala wa Sheria.. Akijiaminisha kwamba Sheria za Nchi zikifuatwa wananchiwatakuwa Salama

Poleni watanzania.. Awamu ya Sita mumelamba galasa. Hakuna rais atafanya kwani kashakata pumzi mapema mapema.

Tumaini liliobaki ni Tundu Lissu
View attachment 3553563

CCM hawana Prez materials kwa sasa. Yaani hapo ni Hussein Mwinyi ndiye atakuwa anajiandaa ... Ngoma ishahamia Zanzibar. Kuwanyang'anya itakuwa kazi kweli kweli. Ila Nchimbi anaonekana kuwa na busara zaidi kuliko Mwigulu.
 
Ugomvi au Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi tatizo ni Urais.

Mmoja anajitapa ni mtoto wa Masikini. Kwamba aliua fisi na Chui wakati analinda Ng'ombe hivyo hawezi kushindwa kuwalinda watanzania. Anazunguka Tanzania nzima kujijenga kisiasa na kutenegenza pesa za per diem..
Anaongea kwa kufoka kuwalaghai wananchi kwamba ana uchungu bila kuongelea 29.10.2025

Mwingine anajivunia uadilifu na Utawala wa Sheria.. Akijiaminisha kwamba Sheria za Nchi zikifuatwa wananchiwatakuwa Salama

Poleni watanzania.. Awamu ya Sita mumelamba galasa. Hakuna rais atafanya kwani kashakata pumzi mapema mapema.

Tumaini liliobaki ni Tundu Lissu
View attachment 3553563
Kwanza ukitumia ile kanuni ya CCM kuwa ukiwa, umeshukilia vyeo hivyo kupanda juu labda itoke ajali, hivyo wote wawili saana Sana waendesha sécond temu zao wakiwa kwenye nafasi hizo.

Pili Yule mkuu wa mkoa wa Njombe anaonekana kufaa zaidi
 
Kiukweli huu ujinga wa kiongozi kujivunia kuwa katoka kwenye familia ya kimaskini na kujifanya anaishi maisha ya kimaskini unanikera sana. Utakuta wakati wa kampeni kiongozi anapanda baiskeli au daladala kuigiza kuwa hata yeye ana maisha ya kimaskini. Huu ni upuuzi.

Tunataka kiongozi wa kututoa kwenye umaskini na sio kutufariji kuwa hata yeye ni maskini au aliishi maisha ya kimaskini. Kiongozi mwenye kuukumbatia umaskini hafai kwa nyakati tulizopo.
 
Huyo wa kufoka foka ananikera. Sijui anafikiri anamdanganya nani kwa kufoka foka.. Huyu ndio siasa haijui hata. Anatembea na biti ya Magufuli..
 
Mimi mshubi sio mtutsi. Lissu anavipata vichwa vya aina yenu hawezi kuwaambia chochote wajuzi wa sheria.
Wivu wa kike huo, huoni anavyowapeleka mchakamchaka wale mawakili wenu vilaza wa serikali, wajuzi wa sheria hawezi kufungua kesi ya uhaini ya mchongo kama hii ya Tundu Lissu ule ni upuuzi. Ndiyo maana hata ile kesi ya ugaidi wa mchongo ya Mbowe Magufuli aliwatoa balu mawakili wa serikali tena kwa matusi na kuwaambia hapa hakuna kesi, alipoingia huyu kilaza wenu wa Kizimkazi kwa vile ni low IQ akaingizwa mkenge kesi ikafunguliwa na wote ni mashahidi jinsi upande wa mashtaka ulivyodhalilika mahakamani hadi DPP akaitoa kesi kuepuka aibu zaidi. Siyo lazima utetee kila ujinga wa watawala huo ni uduwanzi.
 
Lissu awe mwangalifu wakija hao ICC wanaweza kumpa kesi ya uchochezi suala la October 29 kauli zake za 'kukinukisha' zinaweza kuja kumharibia huko mbeleni.

Tafuta video ya Lissu akiongea kuhusu kuvuruga uchaguzi utaelewa kwanini mpaka leo kashikiliwa.
 
Kusema kukinukisha ndiyo uhaini? Hivi shuleni mlikwenda kusomea ujinga? Na hata ikiwa kesi ya uchochezi haina mashiko tena kwani maneno aliyasema mwezi February na fujo zilitokea October 29 ni zaidi ya miezi sita tangu atoe maneno hayo rudi darasani dogo.
 
Back
Top Bottom