Vita ya Urais 2030, itawatoa roho Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi

Vita ya Urais 2030, itawatoa roho Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi

Hii issue ya Mkatoliki, sio mimi, tafuta kitabu cha Father Dr. John C. Sivalon, kuhusu Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara (1992) usome huku umetulia!

Kama unadhani kwa Nyerere, Mkapa na Magufuli, ilitokea tuu by chance or coincidence, endelea kuamini hivyo!, nchi hii, haiongozwi na katiba tuu, inaongozwa na katiba, sheria, taratibu na kanuni, zikiwemo desturi.

Urais wa JMT ni kupokezana kati ya Mkristo na Muslims, akiwa Mkristo, lazima awe ni ...! Sumu ya Siasa za Udini, Ukanda na Ukabila, "Is It Real? au ni Dhana Tuu?."

P
Inakuwaje waislam wanapata nafasi ya kuongoza nchi hii?
Si waongoze katoliki tu?
 
Hii nchi bila katiba mpya tunajikuta tunatawaliwa na mataahira zaidi na hawa tulionao.
 
Inakuwaje waislam wanapata nafasi ya kuongoza nchi hii?
Si waongoze katoliki tu?
Not only waongoze Wakatoliki tuu, kwa vile dini ya kweli ni moja tuu, Ukristu na kanisa la kweli ni kanisa moja tuu, Takatifu Katoliki la Mitume, the rest ni motoni, hivyo unaonaje tukiwa fyelea mbali wengine wote, tubaki Wakatoliki tuu pekee?.

P
 
Kwanza huku bara hatuna any provisions za serikali ya mseto!,
pili kwa huyu aliyepo, unaona kama ana any political will ya kwenda huko?!.
Kama amekosa a political will ya kufanya kitu kidogo tuu cha minimum reforms za katiba, zilizosababisha kile kilichotokea, hiyo political will ya kufanya mabadiliko makubwa ya katiba kuruhusu coalition government itoke wapi?!.
Maridhiano ni ya watu kukubali kukaa meza moja, kunwa chai, juice na vitavunwa, sio maridhiano ya kugawana mkate kila mtu apate nusu mkate!.

P
Narudia Pascal umeona hupendwi tena na CCM, imeamua kupigiwa makofi na kuwashangilia watu kama wakina Magoti ...kwenye kisiasa inaumiza Sana kama hupendwi.Nakushukulu Sana kwa kuachana na uchawa.umekuwa unaishabikia mda wote ule CCM ila wanalamba teuzi kama huyo jamaa? Aseeee .liwalo na liliwe Kaka umeamua ufie uwajani.Swaaafii saana
 
Attachments

  • Screenshot_2026-03-05-23-39-58-950_com.facebook.lite~2.jpg
    Screenshot_2026-03-05-23-39-58-950_com.facebook.lite~2.jpg
    154.7 KB · Views: 20
Narudia Pascal umeona hupendwi tena na CCM,
This is not a fair comment on me, neno hupendwi tena is as if niliwahi kupendwa na CCM. GE2020 - Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!
...kwenye kisiasa inaumiza Sana kama hupendwi.
Sio kwenye siasa tuu, ukipenda usipopendwa, inaumiza!
Nakushukulu Sana kwa kuachana na uchawa.
Sijawahi kuwa chawa! GE2025 - Paschal Mayala: CCM Itakuwa inapambana na kivuli chake kama CHADEMA Haitashiriki uchaguzi
umekuwa unaishabikia mda wote ule CCM
Mimi sio mshabiki ni kada!. Je, mtu kujiunga CCM ni ujinga? Je, wana CCM ni wajinga? Je, watanzania wanaoichagua CCM, kila uchao ni wajinga? Its not fair
Kaka umeamua ufie uwajani.Swaaafii saana
Mimi siku zote ni mkweli!. Mimi Pascal Mayalla Sipongezi Kutafuta Uteuzi Wowote!. Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine Kumtia Moyo Kwa Mazuri ya Kweli!

P
 
1.Kwanza nikiri nimekosea kutumia CCM haikupendi tena ila umejilazimisha na kujipendekeza mda mrefu kwa CCM ila hakupendi wanapenda watu kama wakina Magoti
2. Kweli kama hupendwi unamia Sana inakata kama vile Mwigulu aliumia Sana wataafu wanapigwi makofi yeye hakupigiwa au kushangiliwa
3. Acha unafiki umekua Chawa wa CCM kwa mda mrefu sema tu unajalibu Ku balance mada Zako bahati mbaya upo so conflicted na tamaa zamaisha _ worst thing Unayo gundi hatari hujuwi.Hata Mwendazake aliwahi kukuchana live wewe njaa itakuja kukuua

4. Kwa siasa zatakataka nchini hakuna tofauti neno la Kada na Chawa Kwanza nilini CCM ilishinda uchaguzi huru na haki? hiyi mada ili mu cost Polepole.Utafiti ulifanywa CCM inapendwa na masikini, wachawi wanaishi vijijini.

5. Wewe sio mtu kweli hata kidogo ,wewe nihatari , double standard, hypocrite sikutegea siku moja utaenda kugombea ubunge Kawe kwa ticket ya lichama chakavu...kaka could do better.kiri na kutubu ulikosea Sana, tar 29 Oct it's a wake up call kwenye nafsi yako.
 
Kusema kukinukisha ndiyo uhaini? Hivi shuleni mlikwenda kusomea ujinga? Na hata ikiwa kesi ya uchochezi haina mashiko tena kwani maneno aliyasema mwezi February na fujo zilitokea October 29 ni zaidi ya miezi sita tangu atoe maneno hayo rudi darasani dogo.
Jinai haina muda maalum inaweza kuishi hata miaka 100, video zipo hizo hizo zinatumika kama ushahidi dhidi ya kauli zake za uchochezi.
 
Kwanza huku bara hatuna any provisions za serikali ya mseto!,
pili kwa huyu aliyepo, unaona kama ana any political will ya kwenda huko?!.
Kama amekosa a political will ya kufanya kitu kidogo tuu cha minimum reforms za katiba, zilizosababisha kile kilichotokea, hiyo political will ya kufanya mabadiliko makubwa ya katiba kuruhusu coalition government itoke wapi?!.
Maridhiano ni ya watu kukubali kukaa meza moja, kunwa chai, juice na vitavunwa, sio maridhiano ya kugawana mkate kila mtu apate nusu mkate!.

P
Humu ndani kuna watu ni 'mambumbumbu' sana wa katiba.
 
Jinai haina muda maalum inaweza kuishi hata miaka 100, video zipo hizo hizo zinatumika kama ushahidi dhidi ya kauli zake za uchochezi.
Hakuna jinai hapo hayo ni matamshi na hamasa za kisiasa tu ndiyo màana unaona upande wa mashitaki unajikanyaga sana kwenye huu upuuzi mnaoita kesi ya uhaini. Kama kuna ushahidi wa kumtia Lissu hatiani kwa uhaini kesi ingekwisha siku nyingi na sasa hivi Lissu angekuwa anasubiria tu siku ya kunyongwa.
 
CCM hawana Prez materials kwa sasa. Yaani hapo ni Hussein Mwinyi ndiye atakuwa anajiandaa ... Ngoma ishahamia Zanzibar. Kuwanyang'anya itakuwa kazi kweli kweli. Ila Nchimbi anaonekana kuwa na busara zaidi kuliko Mwigulu.
Mwigulu ni muhuni bora nchimbi
 
Hakuna jinai hapo hayo ni matamshi na hamasa za kisiasa tu ndiyo màana unaona upande wa mashitaki unajikanyaga sana kwenye huu upuuzi mnaoita kesi ya uhaini. Kama kuna ushahidi wa kumtia Lissu hatiani kwa uhaini kesi ingekwisha siku nyingi na sasa hivi Lissu angekuwa anasubiria tu siku ya kunyongwa.
Mauaji ya halaiki kule Rwanda yalianza kwa mfumo huu huu wa matamshi yenye hamasa za kisiasa, watu laki nane wakafa.

Lissu angepunguza ujuaji na haiba ya dharau angekuwa mwanasiasa mwenye kuheshimika kila mahali anapokwenda.
 
Mauaji ya Rwanda yalitokana na nyie Watutsi kuwaonea Wahutu kwa muda mrefu, kile ilikuwa kisasi.
 
Hadi kufikia 2030, CCM Watamalizana. Kila mmoja anautaka urais
 
Ugomvi au Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi tatizo ni Urais.

Mmoja anajitapa ni mtoto wa Masikini. Kwamba aliua fisi na Chui wakati analinda Ng'ombe hivyo hawezi kushindwa kuwalinda watanzania. Anazunguka Tanzania nzima kujijenga kisiasa na kutenegenza pesa za per diem..
Anaongea kwa kufoka kuwalaghai wananchi kwamba ana uchungu bila kuongelea 29.10.2025

Mwingine anajivunia uadilifu na Utawala wa Sheria.. Akijiaminisha kwamba Sheria za Nchi zikifuatwa wananchiwatakuwa Salama

Poleni watanzania.. Awamu ya Sita mumelamba galasa. Hakuna rais atafanya kwani kashakata pumzi mapema mapema.

Tumaini liliobaki ni Tundu Lissu
View attachment 3553563
Wauane tuu Ili wengine wapate nafasi
 
Back
Top Bottom