Vita ya Urais 2030, itawatoa roho Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi

Ugomvi au Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi tatizo ni Urais.

Mmoja anajitapa ni mtoto wa Masikini. Kwamba aliua fisi na Chui wakati analinda Ng'ombe hivyo hawezi kushindwa kuwalinda watanzania. Anazunguka Tanzania nzima kujijenga kisiasa na kutenegenza pesa za per diem..
Anaongea kwa kufoka kuwalaghai wananchi kwamba ana uchungu bila kuongelea 29.10.2025

Mwingine anajivunia uadilifu na Utawala wa Sheria.. Akijiaminisha kwamba Sheria za Nchi zikifuatwa wananchiwatakuwa Salama

Poleni watanzania.. Awamu ya Sita mumelamba galasa. Hakuna rais atafanya kwani kashakata pumzi mapema mapema.

Tumaini liliobaki ni Tundu Lissu
View attachment 3553563

Daaah...mbona tumeanza mapema sana wakuu. Tusubiri kidoogo muda usogee
 
Ugomvi au Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi tatizo ni Urais.

Mmoja anajitapa ni mtoto wa Masikini. Kwamba aliua fisi na Chui wakati analinda Ng'ombe hivyo hawezi kushindwa kuwalinda watanzania. Anazunguka Tanzania nzima kujijenga kisiasa na kutenegenza pesa za per diem..
Anaongea kwa kufoka kuwalaghai wananchi kwamba ana uchungu bila kuongelea 29.10.2025

Mwingine anajivunia uadilifu na Utawala wa Sheria.. Akijiaminisha kwamba Sheria za Nchi zikifuatwa wananchiwatakuwa Salama

Poleni watanzania.. Awamu ya Sita mumelamba galasa. Hakuna rais atafanya kwani kashakata pumzi mapema mapema.

Tumaini liliobaki ni Tundu Lissu
View attachment 3553563
Hii ni Ramli Chonganishi
 
Nasikia upo kwenye vita na "bwana mdogo wa Ilboru" 😀
Natatizwa sana na hawa akili ndogo, ni uzushi tuu, sina vita yeyote na mtu yeyote!.

Japo ni kweli kishule na kiumri, yule ni bwana mdogo sana kwangu, ila kimadaraka na kimamlaka, yule ni kama tembo na mimi ni kama sisimizi, nilipoitwa kubananishwa, kiukweli nilikuwa mdogo kama piriton!

P
 
Ugomvi au Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi tatizo ni Urais.

Mmoja anajitapa ni mtoto wa Masikini. Kwamba aliua fisi na Chui wakati analinda Ng'ombe hivyo hawezi kushindwa kuwalinda watanzania. Anazunguka Tanzania nzima kujijenga kisiasa na kutenegenza pesa za per diem..
Anaongea kwa kufoka kuwalaghai wananchi kwamba ana uchungu bila kuongelea 29.10.2025

Mwingine anajivunia uadilifu na Utawala wa Sheria.. Akijiaminisha kwamba Sheria za Nchi zikifuatwa wananchiwatakuwa Salama

Poleni watanzania.. Awamu ya Sita mumelamba galasa. Hakuna rais atafanya kwani kashakata pumzi mapema mapema.

Tumaini liliobaki ni Tundu Lissu
View attachment 3553563
1772859615642.jpeg

CHINAMAKOCHA?
.... njomba apo umenikumbucha mbali chana!
 
Natatizwa sana na hawa akili ndogo, ni uzushi tuu, sina vita yeyote na mtu yeyote!.

Japo ni kweli kishule na kiumri, yule ni bwana mdogo sana kwangu, ila kimadaraka na kimamlaka, yule ni kama tembo na mimi ni kama sisimizi, nilipoitwa kubananishwa, kiukweli nilikuwa mdogo kama piriton!

P
Mimi huwa sifuatiliagi habari ambazo kwangu huwa naamini ni upuuzi mtupu.

Vipi hao watu wa Ithibati wasio na Hisabati mmemalizana vizuri?
 
Tumemalizana vizuri, nimetakiwa ama kuthibitisha ama kukiri kosa, nimekiri, nimepewa taarifa kuwa nimepewa onyo kupitia media, ila mimi sijapewa onyo lolote na JAB!, baada ya kukiri kosa, JAB walipaswa kwanza kunipa onyo, ndipo watoe press release kuwa nimeonywa, lakini wao wametoa tuu, press release ya onyo!. Its over!.

P
 
Kwanza huku bara hatuna any provisions za serikali ya mseto!,
pili kwa huyu aliyepo, unaona kama ana any political will ya kwenda huko?!.
Kama amekosa a political will ya kufanya kitu kidogo tuu cha minimum reforms za katiba, zilizosababisha kile kilichotokea, hiyo political will ya kufanya mabadiliko makubwa ya katiba kuruhusu coalition government itoke wapi?!.
Maridhiano ni ya watu kukubali kukaa meza moja, kunwa chai, juice na vitavunwa, sio maridhiano ya kugawana mkate kila mtu apate nusu mkate!.

P
Zipo taarifa Toka ulimwengu wa rohoni eti,uchaguzi ni 2032 kitabu kina badilishwa eti!yaani kule Kwa wakulu wameshapitisha Hilo,kinachosubiriwa ni huku kwetu TU!!

Vipi wewe hujachungulia ukaona!!!?
 
Mlutheri wa kwanza Kuwa PM alipata ajali ya kisiasa !
Sasa sijuu! mlutheri huyu kama atatoboa!nasubiri kuona!
Mtu ukiishakuwa VP na PM ni dhambi kuitamani ile ofisi kuu ya kule juu!.

Karata ya VP kuwa P lies with YEYE!,ni kupitia YEYE ndio VP ameweza kuwa P!

PM akiutamani u P, kunaweza kumgharimu hata huo u PM wake!, tena asivyo jua,anadhani ni kama alivyokuwa anapambana na fisi ili wasile mbuzi enzi zile anachunga mbuzi!,hiyo vita anayotaka kuipigana,its a very dangerous war,na kama asipokuwa makini,anaweza hata hiyo 2030 akaishia kuisikia!, YEYE anatumwa kufanya jambo kama lile la March 12 likatangazwa March 17!.
P
 
Ugomvi au Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi tatizo ni Urais.

Mmoja anajitapa ni mtoto wa Masikini. Kwamba aliua fisi na Chui wakati analinda Ng'ombe hivyo hawezi kushindwa kuwalinda watanzania. Anazunguka Tanzania nzima kujijenga kisiasa na kutenegenza pesa za per diem..
Anaongea kwa kufoka kuwalaghai wananchi kwamba ana uchungu bila kuongelea 29.10.2025

Mwingine anajivunia uadilifu na Utawala wa Sheria.. Akijiaminisha kwamba Sheria za Nchi zikifuatwa wananchiwatakuwa Salama

Poleni watanzania.. Awamu ya Sita mumelamba galasa. Hakuna rais atafanya kwani kashakata pumzi mapema mapema.

Tumaini liliobaki ni Tundu Lissu
View attachment 3553563
Huyo mwigulu hao chui alipambana nao wapi. Iramba kuna chui au Simba!? Kijana wa miaka ya 80 sijui 70 ambaye amezaliwa wakati watu wamegeuza mapori kuwa mashamba ndo atuambie habari za kupambana na chui huko Iramba!
 
Back
Top Bottom