figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
CCM hainaga mfumo wa kutengeneza njia za Urais,Nyie ma Ccm mkicheza na kumleta Mwigulu utakuwa muendelezo wa shida za hii NCHI; Bora Nchimbi
Hakuna vita yoyote wala ugomvi wowote kuhusu 2030!, its straight!, huwezi kushindanisha mbingu na nchi!. Rais wa Tanzania akiwa wa upande huu, lazima awe wa Kurasini, nje ya hapo ni watu wanajifurahisha!.Ugomvi au Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi tatizo ni Urais.
Ila Maridhiano yatokanayo na 29.10.2025, yanaweza badili yote ka itaundwa Serikali mseto wakati ikitengenezwa katiba mpya? So hata madevu ana hofu.. Japo kabebwa sababu alishiriki uovu kinyume na Bashhungwa au Simbachawene.. Je, watabadili gia angani?Hakuna ugomvi wowote!, huwezi kushindanisha mbingu na nchi!. Rais wa Tanzania akiwa wa upande huu, lazima awe wa Kurasini, nje ya hapo ni watu wanajifurahisha!.
P
Nchemba atajilipua tuHakuna ugomvi wowote!, huwezi kushindanisha mbingu na nchi!. Rais wa Tanzania akiwa wa upande huu, lazima awe wa Kurasini, nje ya hapo ni watu wanajifurahisha!.
P
Kwanza huku bara hatuna any provisions za serikali ya mseto!,Ila Maridhiano yatokanayo na 29.10.2025, yanaweza badili yote ka itaundwa Serikali mseto wakati ikitengenezwa katiba mpya? So hata madevu ana hofu.. Japo kabebwa sababu alishiriki uovu kinyume na Bashhungwa au Simbachawene.. Je, watabadili gia angani?
Kama alivyoletwa samuyaCCM hainaga mfumo wa kutengeneza njia za Urais,
Mtashangaa kinaletwa kichwa kingine kabisaa 🙏
Hakuna ugomvi wowote!, huwezi kushindanisha mbingu na nchi!. Rais wa Tanzania akiwa wa upande huu, lazima awe wa Kurasini, nje ya hapo ni watu wanajifurahisha!.
P
Ridhiwani Msoga is typing......Ugomvi au Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi tatizo ni Urais.
Mmoja anajitapa ni mtoto wa Masikini. Kwamba aliua fisi na Chui wakati analinda Ng'ombe hivyo hawezi kushindwa kuwalinda watanzania. Anazunguka Tanzania nzima kujijenga kisiasa na kutenegenza pesa za per diem..
Anaongea kwa kufoka kuwalaghai wananchi kwamba ana uchungu bila kuongelea 29.10.2025
Mwingine anajivunia uadilifu na Utawala wa Sheria.. Akijiaminisha kwamba Sheria za Nchi zikifuatwa wananchiwatakuwa Salama
Poleni watanzania.. Awamu ya Sita mumelamba galasa. Hakuna rais atafanya kwani kashakata pumzi mapema mapema.
Tumaini liliobaki ni Tundu Lissu
View attachment 3553563
Mkuu kwani kisheria Samia si huu muhula wake wa kwanza bado wa pili?.Hakuna ugomvi wowote!, huwezi kushindanisha mbingu na nchi!. Rais wa Tanzania akiwa wa upande huu, lazima awe wa Kurasini, nje ya hapo ni watu wanajifurahisha!.
P
God forbid!!Mkuu kwani kisheria Samia si huu muhula wake wa kwanza bado wa pili?.