Inakuwaje waislam wanapata nafasi ya kuongoza nchi hii?Hii issue ya Mkatoliki, sio mimi, tafuta kitabu cha Father Dr. John C. Sivalon, kuhusu Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara (1992) usome huku umetulia!
Kama unadhani kwa Nyerere, Mkapa na Magufuli, ilitokea tuu by chance or coincidence, endelea kuamini hivyo!, nchi hii, haiongozwi na katiba tuu, inaongozwa na katiba, sheria, taratibu na kanuni, zikiwemo desturi.
Urais wa JMT ni kupokezana kati ya Mkristo na Muslims, akiwa Mkristo, lazima awe ni ...! Sumu ya Siasa za Udini, Ukanda na Ukabila, "Is It Real? au ni Dhana Tuu?."
P
Not only waongoze Wakatoliki tuu, kwa vile dini ya kweli ni moja tuu, Ukristu na kanisa la kweli ni kanisa moja tuu, Takatifu Katoliki la Mitume, the rest ni motoni, hivyo unaonaje tukiwa fyelea mbali wengine wote, tubaki Wakatoliki tuu pekee?.Inakuwaje waislam wanapata nafasi ya kuongoza nchi hii?
Si waongoze katoliki tu?
Narudia Pascal umeona hupendwi tena na CCM, imeamua kupigiwa makofi na kuwashangilia watu kama wakina Magoti ...kwenye kisiasa inaumiza Sana kama hupendwi.Nakushukulu Sana kwa kuachana na uchawa.umekuwa unaishabikia mda wote ule CCM ila wanalamba teuzi kama huyo jamaa? Aseeee .liwalo na liliwe Kaka umeamua ufie uwajani.Swaaafii saanaKwanza huku bara hatuna any provisions za serikali ya mseto!,
pili kwa huyu aliyepo, unaona kama ana any political will ya kwenda huko?!.
Kama amekosa a political will ya kufanya kitu kidogo tuu cha minimum reforms za katiba, zilizosababisha kile kilichotokea, hiyo political will ya kufanya mabadiliko makubwa ya katiba kuruhusu coalition government itoke wapi?!.
Maridhiano ni ya watu kukubali kukaa meza moja, kunwa chai, juice na vitavunwa, sio maridhiano ya kugawana mkate kila mtu apate nusu mkate!.
P
This is not a fair comment on me, neno hupendwi tena is as if niliwahi kupendwa na CCM. GE2020 - Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!Narudia Pascal umeona hupendwi tena na CCM,
Sio kwenye siasa tuu, ukipenda usipopendwa, inaumiza!...kwenye kisiasa inaumiza Sana kama hupendwi.
Sijawahi kuwa chawa! GE2025 - Paschal Mayala: CCM Itakuwa inapambana na kivuli chake kama CHADEMA Haitashiriki uchaguziNakushukulu Sana kwa kuachana na uchawa.
Mimi sio mshabiki ni kada!. Je, mtu kujiunga CCM ni ujinga? Je, wana CCM ni wajinga? Je, watanzania wanaoichagua CCM, kila uchao ni wajinga? Its not fairumekuwa unaishabikia mda wote ule CCM
Mimi siku zote ni mkweli!. Mimi Pascal Mayalla Sipongezi Kutafuta Uteuzi Wowote!. Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine Kumtia Moyo Kwa Mazuri ya Kweli!Kaka umeamua ufie uwajani.Swaaafii saana
1.Kwanza nikiri nimekosea kutumia CCM haikupendi tena ila umejilazimisha na kujipendekeza mda mrefu kwa CCM ila hakupendi wanapenda watu kama wakina MagotiThis is not a fair comment on me, neno hupendwi tena is as if niliwahi kupendwa na CCM. GE2020 - Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!
Sio kwenye siasa tuu, ukipenda usipopendwa, inaumiza!
Sijawahi kuwa chawa! GE2025 - Paschal Mayala: CCM Itakuwa inapambana na kivuli chake kama CHADEMA Haitashiriki uchaguzi
Mimi sio mshabiki ni kada!. Je, mtu kujiunga CCM ni ujinga? Je, wana CCM ni wajinga? Je, watanzania wanaoichagua CCM, kila uchao ni wajinga? Its not fair
Mimi siku zote ni mkweli!. Mimi Pascal Mayalla Sipongezi Kutafuta Uteuzi Wowote!. Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine Kumtia Moyo Kwa Mazuri ya Kweli!
P
Jinai haina muda maalum inaweza kuishi hata miaka 100, video zipo hizo hizo zinatumika kama ushahidi dhidi ya kauli zake za uchochezi.Kusema kukinukisha ndiyo uhaini? Hivi shuleni mlikwenda kusomea ujinga? Na hata ikiwa kesi ya uchochezi haina mashiko tena kwani maneno aliyasema mwezi February na fujo zilitokea October 29 ni zaidi ya miezi sita tangu atoe maneno hayo rudi darasani dogo.
Chawa wake lazima mjitokeze kumtetea.Wewe ukilala na kuamka unamuwaza Lissu tu
Humu ndani kuna watu ni 'mambumbumbu' sana wa katiba.Kwanza huku bara hatuna any provisions za serikali ya mseto!,
pili kwa huyu aliyepo, unaona kama ana any political will ya kwenda huko?!.
Kama amekosa a political will ya kufanya kitu kidogo tuu cha minimum reforms za katiba, zilizosababisha kile kilichotokea, hiyo political will ya kufanya mabadiliko makubwa ya katiba kuruhusu coalition government itoke wapi?!.
Maridhiano ni ya watu kukubali kukaa meza moja, kunwa chai, juice na vitavunwa, sio maridhiano ya kugawana mkate kila mtu apate nusu mkate!.
P
Yeye Geofrey Epkstein wa Kwere fmNo!, hiyo karata sio ya kuchezwa na Nchimbi!, hiyo ni game ya yule YEYE Mwenyewe!. Ila mimi YEYE aliisha nitonya kwenye sauti HII na mimi nikaileta humu JF.
P
Hakuna jinai hapo hayo ni matamshi na hamasa za kisiasa tu ndiyo màana unaona upande wa mashitaki unajikanyaga sana kwenye huu upuuzi mnaoita kesi ya uhaini. Kama kuna ushahidi wa kumtia Lissu hatiani kwa uhaini kesi ingekwisha siku nyingi na sasa hivi Lissu angekuwa anasubiria tu siku ya kunyongwa.Jinai haina muda maalum inaweza kuishi hata miaka 100, video zipo hizo hizo zinatumika kama ushahidi dhidi ya kauli zake za uchochezi.
Mwigulu ni muhuni bora nchimbiCCM hawana Prez materials kwa sasa. Yaani hapo ni Hussein Mwinyi ndiye atakuwa anajiandaa ... Ngoma ishahamia Zanzibar. Kuwanyang'anya itakuwa kazi kweli kweli. Ila Nchimbi anaonekana kuwa na busara zaidi kuliko Mwigulu.
Mauaji ya halaiki kule Rwanda yalianza kwa mfumo huu huu wa matamshi yenye hamasa za kisiasa, watu laki nane wakafa.Hakuna jinai hapo hayo ni matamshi na hamasa za kisiasa tu ndiyo màana unaona upande wa mashitaki unajikanyaga sana kwenye huu upuuzi mnaoita kesi ya uhaini. Kama kuna ushahidi wa kumtia Lissu hatiani kwa uhaini kesi ingekwisha siku nyingi na sasa hivi Lissu angekuwa anasubiria tu siku ya kunyongwa.
Mauaji ya Rwanda yalitokana na nyie Watutsi kuwaonea Wahutu kwa muda mrefu, kile ilikuwa kisasi.Mauaji ya halaiki kule Rwanda yalianza kwa mfumo huu huu wa matamshi yenye hamasa za kisiasa, watu laki nane wakafa.
Lissu angepunguza ujuaji na haiba ya dharau angekuwa mwanasiasa mwenye kuheshimika kila mahali anapokwenda.
Mimi mshubi wa Rulenge Ngara.Mauaji ya Rwanda yalitokana na nyie Watutsi kuwaonea Wahutu kwa muda mrefu, kile ilikuwa kisasi.
Wauane tuu Ili wengine wapate nafasiUgomvi au Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi tatizo ni Urais.
Mmoja anajitapa ni mtoto wa Masikini. Kwamba aliua fisi na Chui wakati analinda Ng'ombe hivyo hawezi kushindwa kuwalinda watanzania. Anazunguka Tanzania nzima kujijenga kisiasa na kutenegenza pesa za per diem..
Anaongea kwa kufoka kuwalaghai wananchi kwamba ana uchungu bila kuongelea 29.10.2025
Mwingine anajivunia uadilifu na Utawala wa Sheria.. Akijiaminisha kwamba Sheria za Nchi zikifuatwa wananchiwatakuwa Salama
Poleni watanzania.. Awamu ya Sita mumelamba galasa. Hakuna rais atafanya kwani kashakata pumzi mapema mapema.
Tumaini liliobaki ni Tundu Lissu
View attachment 3553563
TECHakuna vita yoyote wala ugomvi wowote kuhusu 2030!, its straight!, huwezi kushindanisha mbingu na nchi!. Rais wa Tanzania akiwa wa upande huu, lazima awe wa Kurasini, nje ya hapo ni watu wanajifurahisha!.
P