Vita ya Urusi na Ukraine: Putin aonya “Yeyote atakayeingilia atapata pigo la kihistoria”

[emoji23][emoji23]sasa mtu anayetaka kubaka huwa anapiga kelele like "nabaka niacheni msiingile"
Yeye si mbabe a Put-in kimyakimya ajilie mzigo.
Hiyo ni kumaanisha kuwa hafanyi kitu kwa kubizia au kubahatisha, anaingia sehemu kibabe na kwakutoa tambo ili msije sema alifanya ambush.

Jambazi linalojiamini linakuja mchana, wanaokuja kimyakimya usiku ni vibaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kunegotiate na nani? Kumbuka hapigani na ulaya, hawachukui mateka wanajeshi wa USA ila anapigana na ndugu yake, jirani yake na aliyekuwa mrussia mwenzake miaka ya huko nyuma.
Ila unakubali kwamba Ukraine anakuwa anafata wishes na command za USA na NATO mpaka Sasa Odessa, kharkiv , Mariupol na Chinobyl vimeshaangukia mikononi mwa Russia halafu mzee VLADIMIL anmwita VLODOMYLY wakazungumze
 
Ila Putin ana biti.
Nimesikia. Ila baada ya kuwasikiliza bidden na waziri mkuu wa uingereza namlaumu kwa kukosa ushawishi kwa jirani na ndugu yake ukrain mpaka akakubali vita atakavyoshinda kisha apambane na matokeo ikiwemo vikwazo. Kwangu mm huo ni udhaifu.
 
Ila unakubali kwamba Ukraine anakuwa anafata wishes na command za USA na NATO mpaka Sasa Odessa, kharkiv , Mariupol na Chinobyl vimeshaangukia mikononi mwa Russia halafu mzee VLADIMIL anmwita VLODOMYLY wakazungumze
Kukosa ushawishi kwa majirani zako, ndugu zako, warussia wenzako kihistoria mpaka uwapige kisha ww uwekewe vikwazo vya kiuchumi ni udhaifu mkubwa sana.
 
Tusubiri mwisho wa siku bado mapema sana
 
Acha kusingizia Afrika,waarabu wana umoja wao usiojali mipaka ya kimabara ili mradi tu jamii husika ni waarabu sasa wewe mmatumbi jifanye hujui.
 
Yaani anaitetemesha dunia hapo nahisi anatafuta njia ili Russia iwe superpower state.
Ukitaka kujua kama anaitetemesha dunia achana na mahaba, usikae upande wowote. Fuatilia huu mzozo kisha acha akili yako iamue. Utagundua kuwa:
Russia ana nguvu kubwa.
USA na washirika wake wana nguvu kubwa.
Russia anadhibitiwa na USA na washirika wake kwa kutumia akili kubwa.

Mfano sasa katoka kumpiga Eukraine ambaye ni mwenzake(Hawa hawakutakiwa wawe na ugomvi kutokana na historia ujirani wao, ni ndugu hawa), anatakiwa adeal na vikwazo ila USA na washirika wao wapo tu wanatoa matamko hawapigani.
 
Hakika ngoja niendelee kufuatilia huu mzozo kwa ukaribu zaidi.
 
Kukosa ushawishi kwa majirani zako, ndugu zako, warussia wenzako kihistoria mpaka uwapige kisha ww uwekewe vikwazo vya kiuchumi ni udhaifu mkubwa sana.
Hatua Moja huanzisha nyingine, wanampiga halafu ndio wanamuelekeza nini cha kufanya.

Nikuulize swali kwani NEO NAZI na MANATIONALIST wa Ukraine waliingia kwa sanduku la kura au mapinduzi ya kumtumia nguvu
 
Mmeshaanza kujitiisha huruma
 
Hatua Moja huanzisha nyingine, wanampiga halafu ndio wanamuelekeza nini cha kufanya.

Nikuulize swali kwani NEO NAZI na MANATIONALIST wa Ukraine waliingia kwa sanduku la kura au mapinduzi ya kumtumia nguvu
Ndugu yangu Kisiju. USA wamekuwa wakitumia hiyo njia ya propaganda muda sasa. Mnapigana yeye anachochea na kutoa silaha na kutaka vikwazo.

Russia ikiingia kwenye huu mtego haki ya nani vikwazo vitampoteza kwenye ramani na USA hana kubwa analopoteza.

Siku russia akiwa na ushawishi kwa ndugu na majirani zake bila kuwapiga Mmarekani na washirika watapata wasiwasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…