florence
JF-Expert Member
- Mar 5, 2011
- 423
- 163
Nje kuna mvua mkuu litaendelea kulowa tuUkimaliza hizo ndoto zako za kukojoa kitandani utoe hilo godoro nje uanike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nje kuna mvua mkuu litaendelea kulowa tuUkimaliza hizo ndoto zako za kukojoa kitandani utoe hilo godoro nje uanike
Marekani always ndio kiherehere na snitch namba moja😂Kulikoni Mbabe wa vita Marekani mbona umeogopa kuinusuru Ukraine?
Daahh....+254 mpooooooo.....wakenya na kiherehere sijui wataacha lini. Continue shaking your....Thread: Vladimir Putin Responds To Kenya Over UN Remarks. #UkraineRussiaCrisis
•Russian President Putin has rubbished the remarks by Kenya’s Permanent Representative to the UN as that of a young boy trying to shake a baobab tree but only ends up shaking his own buttocks.•
Namba mbili ni Kenya.....hahahaaaMarekani always ndio kiherehere na snitch namba moja😂
Hahahaha Trump na Putin wanaelewana hao jamaa wote wana kaliba ya kiume ila hao mashoga wa Democratic kina Obama na Bidden ndio huwa wana wivu wa kike siasa zao ni za looting lazma wapeleke ukuda nchi flani au mapandikizi ili wafanye fujo mahali flani waibe.Hii show angekuwa Trump ingewaka kotekote bila kujali matokeo
Sawa sukuma gang bado hamtaki kuamini km mama ndio rahisi na mtalia sana muiteni majina yote yy kaziba masikio anachoangalia maendeleo ya watanzaniaUtamkosoaje Chuma kama yule...???
Haya sasa Bi Tausi anazurura we hujui chochote kama zamani, mambo ya Bandari,Migodini,maendeleo ya Miradi mikubwa.
Mshua yuko ndani na pesa anapata hata kama za mkopo.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mpaka putin kaamua ndio mjue marekani wamevunja mikataba kupitiliza zaidi ya miaka kumi russia kavumilia na marekani anajifanya superpower kwa superpower mwenzake wakati ile ni ardhi ya mrusi subir muone hlf bado madude ya kiduku.Kuna watu waridhani Putin anaiogopa NATO na waliomba avamie sasa kavamia, sijui mtapitaje hapa.
Kwa kifupi media zilizo Africa, Ulaya na america taarifa mnazipata moja kwa moja kwa kingereza au kifaransa muda mwingine hata kwa kiswahili.
Ila nauhakika kuna watu hawajui kama china alishatangaza yupo na urus, pamoja na north korea wapo pamoja kwa shida na raha.
Na moja kubwa kuna makampuni ya marekani yamewekewa vikwazo china ni siku tatu nne nyuma ila watu hawajui kama wanachaguliwa taarifa za kusikia.
"Mwisho russia sababu anazo, nguvu anayo na uwezo anao ".
Mpaka putin kaamua ndio mjue marekani wamevunja mikataba kupitiliza zaidi ya miaka kumi russia kavumilia na marekani anajifanya superpower kwa superpower mwenzake wakati ile ni ardhi ya mrusi subir muone hlf bado madude ya kiduku.
Kwa asiyejua na anaesikiliza media za magharibi lazima amchukie Putin na amuone dictator ila ukimfatilia unajua dunia bila yeye dunia itafika mwisho haraka sana.
Long live Vladimir Putin Chuma.
Shauri yake,hiyo ni master plan ameingia mkenge,Hiyo ni kumaanisha kuwa hafanyi kitu kwa kubizia au kubahatisha, anaingia sehemu kibabe na kwakutoa tambo ili msije sema alifanya ambush.
Jambazi linalojiamini linakuja mchana, wanaokuja kimyakimya usiku ni vibaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha nimecheka sana.urusi ni miongoni mwa nchi ambazo wananchi wake wana IQ kubwa bunge lao usilifananishe na hili la kina babu tale
Joe Biden haiwezi vitaaa maneno mengi na vitisho ila angekua mwamba George Bush mbona saivi tuna zungumza vingine hahahahhahaYule Team Biden aliyekuja na kale kauzi kake jana anajisikiaje muda huu? Haya sasa Mbabe halisi wa dunia Putin amesha lianzisha! Tuone sasa kama hicho kibabu Biden kama kitajibu mashambulizi.
Putin ataharibu mitandao ya kompyuta ya majirani Hadi washangae.Daahh....+254 mpooooooo.....wakenya na kiherehere sijui wataacha lini. Continue shaking your....
Na mkae kimya msije kumfanya Putin akakosea hesabu likatua huku kwetu tz.
Ulitaka akeshe kuwajibu waandishi mtu ana kazi nyingine za kufanya[emoji23][emoji23][emoji23]Biden amekimbia maswali ya wanahabari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah.Vita ya tatu ya Dunia ,si watakuwa wanapigana huko ulaya , ni wakati wa Afrika kuwa superpower
Anaweza vita kwa Nani! Kwa SadamvHussen?Bush ndio anaweza vita
Vita ya 3 ilikuwaje na ilikuwa mwaka gani?Putin ndio mwamba wa dunia kwa sasa, ni bora Marekani ikatumia Busara vinginevyo kuna hatari ya kutokea Vita ya 4 ya Dunia.
Vita ya 3 ilikuwa ni vita baridi/kisiasa na uchumi lkn hivi sasa kinacho endelea ni mwanzo wa maandalizi ya vita ya 4 ya Dunia.Vita ya 3 ilikuwaje na ilikuwa mwaka gani?