Vita ya Urusi na Ukraine: Putin aonya “Yeyote atakayeingilia atapata pigo la kihistoria”

Vita ya Urusi na Ukraine: Putin aonya “Yeyote atakayeingilia atapata pigo la kihistoria”

Thread: Vladimir Putin Responds To Kenya Over UN Remarks. #UkraineRussiaCrisis

•Russian President Putin has rubbished the remarks by Kenya’s Permanent Representative to the UN as that of a young boy trying to shake a baobab tree but only ends up shaking his own buttocks.•
Daahh....+254 mpooooooo.....wakenya na kiherehere sijui wataacha lini. Continue shaking your....
Na mkae kimya msije kumfanya Putin akakosea hesabu likatua huku kwetu tz.
 
Hii show angekuwa Trump ingewaka kotekote bila kujali matokeo
Hahahaha Trump na Putin wanaelewana hao jamaa wote wana kaliba ya kiume ila hao mashoga wa Democratic kina Obama na Bidden ndio huwa wana wivu wa kike siasa zao ni za looting lazma wapeleke ukuda nchi flani au mapandikizi ili wafanye fujo mahali flani waibe.

Kwa mrusi huo ujinga hawawezi wamejaribu kupeleka ukuda Ukraine imekula kwao! Wanaingiaga kwa mlango wa nyuma kwa wenzao ili wajivue lawama😂 mrusi taarifa zao anazo na kawanyoosha Ukraine.
 
Ingekuwa miaka ya nyuma hapo ingekuwa vita vya tatu tayari, ukisoma vita vya kwanza na vya pili, mambo yalianza hivi hivi
 
Utamkosoaje Chuma kama yule...???
Haya sasa Bi Tausi anazurura we hujui chochote kama zamani, mambo ya Bandari,Migodini,maendeleo ya Miradi mikubwa.
Mshua yuko ndani na pesa anapata hata kama za mkopo.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Sawa sukuma gang bado hamtaki kuamini km mama ndio rahisi na mtalia sana muiteni majina yote yy kaziba masikio anachoangalia maendeleo ya watanzania
 
Kuna watu waridhani Putin anaiogopa NATO na waliomba avamie sasa kavamia, sijui mtapitaje hapa.

Kwa kifupi media zilizo Africa, Ulaya na america taarifa mnazipata moja kwa moja kwa kingereza au kifaransa muda mwingine hata kwa kiswahili.

Ila nauhakika kuna watu hawajui kama china alishatangaza yupo na urus, pamoja na north korea wapo pamoja kwa shida na raha.

Na moja kubwa kuna makampuni ya marekani yamewekewa vikwazo china ni siku tatu nne nyuma ila watu hawajui kama wanachaguliwa taarifa za kusikia.

"Mwisho russia sababu anazo, nguvu anayo na uwezo anao ".

Mpaka putin kaamua ndio mjue marekani wamevunja mikataba kupitiliza zaidi ya miaka kumi russia kavumilia na marekani anajifanya superpower kwa superpower mwenzake wakati ile ni ardhi ya mrusi subir muone hlf bado madude ya kiduku.

Kwa asiyejua na anaesikiliza media za magharibi lazima amchukie Putin na amuone dictator ila ukimfatilia unajua dunia bila yeye dunia itafika mwisho haraka sana.

Long live Vladimir Putin Chuma.
Mpaka putin kaamua ndio mjue marekani wamevunja mikataba kupitiliza zaidi ya miaka kumi russia kavumilia na marekani anajifanya superpower kwa superpower mwenzake wakati ile ni ardhi ya mrusi subir muone hlf bado madude ya kiduku.
 
Hiyo ni kumaanisha kuwa hafanyi kitu kwa kubizia au kubahatisha, anaingia sehemu kibabe na kwakutoa tambo ili msije sema alifanya ambush.

Jambazi linalojiamini linakuja mchana, wanaokuja kimyakimya usiku ni vibaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shauri yake,hiyo ni master plan ameingia mkenge,
Yani anapita mulemule walimomchorea mstari.
 
Democratic ni watu wa vita sana tofauti na republica ni vile tu Obama alikuwa Democratic ndio maana waafrika Wengi bado wanakiunga mkono. Ila mapigano mengi Africa yaliasisiwa na viongozi wa democratic.
 
Screenshot_20220225-103741.jpg
 
Yule Team Biden aliyekuja na kale kauzi kake jana anajisikiaje muda huu? Haya sasa Mbabe halisi wa dunia Putin amesha lianzisha! Tuone sasa kama hicho kibabu Biden kama kitajibu mashambulizi.
Joe Biden haiwezi vitaaa maneno mengi na vitisho ila angekua mwamba George Bush mbona saivi tuna zungumza vingine hahahahhaha
 
Vita ya 3 ilikuwaje na ilikuwa mwaka gani?
Vita ya 3 ilikuwa ni vita baridi/kisiasa na uchumi lkn hivi sasa kinacho endelea ni mwanzo wa maandalizi ya vita ya 4 ya Dunia.
Super powers zinataka kujipima na kuonyeshana nguvu zao za silaha za kivita.
ngoja kwanza tusubirie.....tuone upepo utakavyo vuma.
 
Back
Top Bottom