Denis Alphonce
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 625
- 856
huna unachokielewaSawa. Ngoja nitumie uwepo wangu wa bahati mbaya kukupa elimu.
Ugaidi wa Africa chanzo ni middle east countries kwa kushirikiana na ngozi nyeusi.
Uhovyo unahisi mimi ninao ndiyo umefunga akili zako hata uoni namba ukutani.
Tukutane Calvary.
Bado una imani kua Wagner walitaka kumpindua Putin?No Putin anafurahia Mapinduzi ya Africa wakati Wagner walipotaka kumpindua alibaki kulia Lia hadi Luka Shenko akaingilia kati ili asipunduliwe.
Urusi kujikita Africa ni kumaliza kabisa hata ile aman robo tuliyobakiwa nayo.
Na viongozi na askari wote wa vikundi vya kigaidi ni waafrica wenyewe na waarabu koko wenzaoMakundi yote ya kigaidi mfadhili mkuu ni USA
Ila kwa Putin haijamuathiri ila Urusi anawasumbua mataifa 30Nimeona hii habari sehemu. Jana ilikuwa mwisho wa muda ambao serikali ya Niger iliyompindua Rais ilitakiwa kuachia madaraka au ukabiliwe na kipigo kutoka ECOWAS. Mali na Burkina Faso zimesema kuwa zitasimama na utawala wa Niger.
Sasa Niger wamefunga anga lao. Hakuna ndege kupita. Na ndege kutoka Ulaya kwenda Nigeria hupita Niger. Sasa itabidi zizunguke. Mali nao wakifunga itazibidi zizunguke mbali kabisa na kuongeza gharama kwa wasafiri. Vita hata ukiwa mkubwa lazima ikuathiri.
View attachment 2710780
Shabikien wafanya mapunduz bila utaratibu sabab naamin mna vichwa vya kuku kwamba mpk leo ni mwanajeshi gan alileta mabadiliko akiwa kama rais aliyeingia kimapinduz , baada ya miaka 10 tutakuwa tunalia kutaka watolewe madarakaniwakifunga anga zote za Mali na Niger watakuwa wamemjibu vizuri Nigeria.
watumie muda huu vizuri waongee na Urusi wajenge umeme wa nyuklia.
Kbs , na waafrika wanafurahia kuletewa vita wao wanazan ni kupata uhuru ila wakisogea mbele kdg wakiona uhalisia wa nn Putin anakileta Africa , bas tutamlaumu sn Putin , Putin analazimisha tuwe upande wake kwa kutumia madhaif ya West ambayo hata yy hatoyamalizaNo Putin anafurahia Mapinduzi ya Africa wakati Wagner walipotaka kumpindua alibaki kulia Lia hadi Luka Shenko akaingilia kati ili asipunduliwe.
Urusi kujikita Africa ni kumaliza kabisa hata ile aman robo tuliyobakiwa nayo.
Ngozi nyeus ndio maana kila kitu ni made in china , hampend kujifunza akili zinawaza kufurahishwa tu muda wotePutin alilia nyuma ya matako yako ?
Rudia kusoma ulichoandika na jiulize hoja yako ni ipi? Kuwa hawakutaka kumpindua au walitaka mpindua ila hawakuwa na jeshi imara kumpindua kama chenchen !Rafiki hivi kwa akili Yako unaamini hao Vagner wangeweza kumpindua Putin?
Na je una habari zotezote juu ya uasi wa Chechen kutaka kujitenga miaka ya 90?
Na je unawajua wachechen vizuri?
Na je
Unajua putia alimalizaje shoo hiyo?
Hao wapiganaj waafrika hawakujua kuwa wanaharib bara lao la afrika mpk tusiwalaumu na tuwape lawama waamerika ? wanaenda wenyew nunua silaha za urusi ili kuwaua watu weusi wenzao na lawama mnawapa USAAmbayo imeharibiwa na Marekani na vikundi vyake vya kigaidi!!? Ila mnampongeza .... Bora wazazi wako wangetumia kondomu tu...kuliko kuleta kiumbe hovyo kama wewe humu duniani...
Watu weng wanajitia upofu ila watakuja elewa baadaeSawa. Ngoja nitumie uwepo wangu wa bahati mbaya kukupa elimu.
Ugaidi wa Africa chanzo ni middle east countries kwa kushirikiana na ngozi nyeusi.
Uhovyo unahisi mimi ninao ndiyo umefunga akili zako hata uoni namba ukutani.
Tukutane Calvary.
Nyiny mnauana hamuna akili ya kujua mnauana ?Hao ndio wanmgambo wanaofadhiliwa na ufaransa hakuna cha alqaeda wala alshabab wanaanzisha vikundi mpigane muwe bize na kuuwana wao wanazoa mali
Hata kama Putin ni mtume wako tuliza munkariPutin alilia nyuma ya matako yako ?
Na mnaona sahihi wagner kusaidia hayo mapinduzi , na mnahisi mnapata uhuru kwa kubadili beberu , waafrika sijui nan alituroga baada ya miaka 10 ya kuona rangi halisi ya warusi tutaanza walilia watoke , AKILI ZETU ZIMEKAA KITOMASO SNDuh, kifupi wagna ni sehemu ya jeshi kivuli la urusi na prigozhin kateuliwa tu, huu no mwamvuli wa kuweza kuingia popote muda wowote bila kuvunja sheria za kimataifa ndio maana Wagner hawanunui silaha kutoka rushia ila wana demand supply
Na unaona ni sw michezo ya Urusi kutuharibia waafrika ktk biashara zitakazo toa ajira na fursa ya kujenga chumi zetu , mnajizma akili ila ikifika muda mtaelewaUkimwaga mboga wenzio wanamwaga ugali, hakunaga mshindi kwenye vita.
Uroho wa Nigeria ni kupata Dili la ujenzi wa Bomba la gas kwenda Ulaya ambalo ni lazima lipite Niger baada ya Mrusi kuwakatia gas wazungu.
Na kwann dini yao ni mwarab na silaha za urusi au ulaya masharikiMakundi yote ya kigaidi mfadhili mkuu ni USA
Ila kwann wanatumia dini ya mwarab na silaha za urusi na ulaya ya mashariki sio silaha za west ?Ugaidi ni sera na mipango ya wakuu wa dunia kupitisha ajenda zao sawa na ilivyo ushoga, corona,nk.
Korea Kaskazini ya Kiduku ina nuclear energy na kila siku inapewa msaada wa chakula na Kora Kusini na China.Putin Lengo lake ni Africa kupata technolojia ya nuclear energy so that we raise to the global stage be counted as men
Syria yote imebaki kuwa magofu na ghost town.Watu walikuwa wanaichukulia poa RUSSIA ila alichokifanya Syria watu wote wakabaki wameduwaa waasi syria walikuwa wameshaiteka mikoa yote ukabaki mji mkuu tu Damascus pekee..yani fikiria kama Tanzania apa yani miji yote itekwe ibaki dar pekee unatoboaje? RUSSIA alivyotia timu tu mpaka leo hii Assad anaenda mpaka sokoni bila ulinzi faa masiala nini[emoji23][emoji23] hakuna cha ISIS wala Al Qaeda wote walifyekelewa mbali leo hii tunavyoongea Syria karudishwa Kwenye jumuiya ya umoja wa kiarabu..leo hii Asad anatoka mpaka nje ya nchi..
ProRussia mnapenda sana hadithi za conspiracy theories.Alqaeda ilianzia Taliban baada ya wataliban kumchapa kwa msaada wa USA,Mrusi miaka ya 70 alipoivamia Afghanistan.
Ugomvi wa USA na Mrusi ni hadi mwisho wa Dunia japo wote members wa freemason ndio wapo nyuma ya hii michezo yote