Denis Alphonce
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 625
- 856
huna unachokielewaSawa. Ngoja nitumie uwepo wangu wa bahati mbaya kukupa elimu.
Ugaidi wa Africa chanzo ni middle east countries kwa kushirikiana na ngozi nyeusi.
Uhovyo unahisi mimi ninao ndiyo umefunga akili zako hata uoni namba ukutani.
Tukutane Calvary.
Sent from my S6 using JamiiForums mobile app