Vitabu vinavyohamasisha mapenzi ya jinsia moja vyakamatwa Tabora

Mbona hawatuambii kilichomo ndani ya vitabu.
 
Kwamba hiyo taasis marufuku kufanya kazi tabora ila mikoa mingine ruksa!!

Kwamba serikari ya awamu ya tano haipingi ushoga.

Kuna kitu hakiko sawa.
 
Kuna Prof Juma Kapuya na Athuman Kapuya
 
Nadhan unazungumzia JUMA Kapuya
 
Kumbe Prof. Kapuya ndo Athuman?
 
Juma Athumani Kapuya alikuwa waziri wa Wizara gani? [Hausiani na hii story , nimemkumbuka tu]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…