Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

This is far fetched.

Kwanza ijulikane estrogen (female hormone) hata wanaume wanazo naturally and vyakula vya Kila siku vina ongeza estrogen kwa wanaume na bado wengi tu sio mashoga. Haiwezekani a one time dosage tena ya toothpaste na perfume imfanye mtu awe shoga. Haiwezekani. Halafu wewe mwanaume na ndevu zako unakubali zawadi ya perfume na toothpaste kweli? It will take a truckload of it kumgeuza mtu awe shoga.

Hivi mizungu iwafanye nyie muwe mashoga kwa umuhimu gani hasa?

Ushoga unaanza au kupingwa at a family-level. No more, no less. Msikimbie majukumu yenu. Mashoga wengi wameanza hii michezo majumbani mwao sio shuleni wala sehemu nyingine.

Kila research Ina agenda yake sijui huyu dada agenda yake ni ipi. Itakua kasoma upepo kaona mitanganyika inapenda story za ushoga kajiongeza.
 
Hata mimi nina wasiwasi naww ndg[emoji38][emoji38][emoji38]
Hujiulizi kwanini kila mada anadili na personality attacks kwa aliyeleta ushahidi halisi juu ya USHOGA?

Me tunapungua kwa kasi sana daaah [emoji849][emoji26]

Eee Mungu tuepushe na laana hizi sisi na Watoto wetu. Amina.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Msifikie huko Ndugu bado sote ni wa-TZ.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Acha ujinga wewe, kwanini huu upuuzi ushamiri nyakati hizi tu?

Kama UKIMWI ulitengenezwa maabara itashindikana kutengeneza homone za ushoga ili kusudi lao la depopulation litimie?

Nina wasiwasi sana na mnaowapinga wanaopiga vita ushoga kwa kuwashambulia wao wenyewe, ukweli utabaki pale pale pamoja na madhaifu yao mengine kibinadamu lakini bado haiondoi ukweli juu ya madai yao.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hizi story za ushoga inaonyesha jinsi gani Watanzania wanapenda ushoga.

Hivi hamna la maana la kuliongelea kama vile umeme au sgr mmeshikilia tuu ushoga kama vile kuna njia mnaweza zuia
 
Panazidi kupambazukaaa .... Tanzania ya JPM, JPM ameach watu wenye Uzalendo.


Sisi kazi yetu tunapeleka Kwa Muhusika yaan RAIS SAMIA.


Ili yeye apuuze, watanzania wajue, mchawi wa nchi ni nani??.

anadhan Mabango ndio nn🤣🤣🤣
Pale mlinda legacy anapohangaika kwa kila hali kuizuia legacy halali ya asiyempenda.............huyo mzungu bila shaka yupo hapo tangu kipindi kileeee, vp ukisema mzalendo ameibuliwa sasa hivi?!! Si hilo tu, unakumbuka ule wizi mkubwa wa mafuta pale kigamboni uliogunduliwa katikati au mwishoni mwa 2021? Basi uligunduliwa baada ya anayestahili legacy kuondoka.
 
Mko wengi aisee...!!!!!

Una research tofauti ili kuipinga hiyo ya huyo Dada
 
HIv Tz hv vtengo vyetu vya usalam vimeshindw kugamua mambo kam haya over 8years means mashirik ya kigen na kizawa hayachunguzw at all

Poor TANZANIA , yule alisem kam unaakil Timamu huwez ishi Tz hii ndio hii sasa
 

Kuna watu wanaoingia kwa kushawishiwa na wanalipwa pesa yaani goodlife kuna watu kazi yao kueneza na kusambaza huu ushetani most wanajuta kujiingiza maana kutoka ni ngumu.

Kuna dada nilikutana naye pale samaki samaki alikua ananiangalia sana, tunagongana macho anabadili muelekeo kama anaona aibu. Nikamwita waiter nikamwomba aniitie yule dada kweli akaja. Dada ni pisi kali mrembo mweupe alikua na macho mazuri sana yule dada.

Nilivyomwangalia vizuri nikaona kama hayuko sawa uzuri hawa watu mimi nikimwona tu hivi najua. Nikamwuliza jina akanitajia unaishi wapi? Akanambia masaki hapahapa. Nikamwuliza na uzuri wote huu ulionao upo alone?? Akacheka.

Nikamwambia direct wewe ni Lesbian akacheka labda niwape mbinu jinsi ya kumtambua Lesbian huwa hawana confidence ya kumtizama mwanaume machoni wengi hawana confidence kabisa na macho yao huwa hayatulii. Akiwa na mwanaume kama anakosa uhuru.

Akaniuliza kwanini umesema hivo? Nikamwambia tena wewe ni Lesbian huku namkazia macho akanijibu Yes I am. Nikamwuliza una mda gani toka umeanza hivo akanambia ana 2yrs. Nikamwuliza uliingiaje?? Ndo dada kuanza kufunguka.

Alipata kazi kwenye internationaal organization hapa dsm moja ya masharti ilikua lazima awe anatambua uwepo wa LGBTQ. Ananambia alianza kama kazi ya kuempower women na walikua wanawaambia waachane na wame zao afu wanawalipa pesa anasema wanawake wengi walinasa.

Dada anasema baadae akaambiwa ajihusishe na usagaji ambapo alipewa offer ya dau kubwa kutokana na uzuri alionao ingekua rahisi kushawishi watu. Dada akakubali ndo mpaka leo. Dada anasema hatamani kabisa mwanaume kwa sasa.

Akaendelea kunambia hapa kuna dada nimemwona nimetamani na lazima niondoke naye, ofcoz nilishangaa sana. Akanambia namwita yule dada afu naongea naye ananambia wengi akiwaambia 300k hawachomoi kwa mgumu anaweza panda mpaka 1m. Anasema wachache sana ambao wanachomoa, kama hawa watoto wa chuo asilimia kubwa washaharibika.

Anakwambia kuna hizo dildo special akizitumia kwa mwanamke zitamfanya mwanamke asimtamani tena mwanaume. Na wengi tayari wanazitaka na huwa anawapa bure na wanawake wengi now ni ma lebs sio celebrities mpaka viongozi wakubwa wa nchi alinambia hao watu sikuamini kwakweli.

Alinambii kuna mtandao mkubwa sana ambao hadi viongozi wa nchi wanahusika ni ngumu sana kuuharibu bila serikali kuchukua hatua. Kuna baadhi ya shule pia zinalipwa hizi za nursery tuwe makini sana wazazi na watoto wetu.

Akanambia mpaka wanaume ipo hvo wanachukuliwa kwaa ajili ya kuwafanya wanaume wenzao mwisho wa siku na wao wanageuzwa ndo hawa tunawaite mchicha mwiba. Nikamwambia kama anaweza kujitoa huko akanambia ni ngumu ameshadedicate maisha yake na hao watu kama akijitoa anaweza poteza kila kitu au kufa. Ukiingia ni ngumu kutoka.

Dada anagari kali range, ananyumba kali mbweni bonge la mjengo ila anakwambia kiukweli hana furaha ya maisha kabisa. Ndomana hawa watu maisha yao ni ya starehe na bata maana wengi wanajuta kula starehe ndo sehemu pekee ya kupoteza mawazo.

Nikamshawishi nikamgonge maybe ataweza anza pata hisia na wanaume akanipa sharti pia lazima nitumie dildo bila hilo hawezi pata hisia kabisa. Nikachukua namba yake ya simu ila sijawai kumtafuta kabisaa mtu kama uyo anaweza kukupa mikosi na nuksi.

Ila alikua anajuta sana, Serikali ichukue hili jambo serious maaana tunapoteza taifa la kesho. Serikali itoe tamko kama Uganda walivyotamka. Maana wanaoratibu ni jamaa wa pale msasani na organization zao.
 

Acha kutisha watu bwabwa wewe.
 
Mimi binafs naona kuna watu wanaamua watu wajadili nini na kwa muda gani wako behind the scene....
Hizi topic za ushoga zimekuwa sasa ndio habari tu kama vile ni kitu kipya kimeingia juzi...
 

Una any credible source kwamba UKIMWI ulitengenezwa lab au soruce yako ni "trust me bro"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…