Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana


Source: Trust me Bro 🤣
 
Ushoga upo tangu enzi za Sodoma na gomola. sasa ww unafactor zipi za kuongezeka miaka michache ijayo
Vijana wanajishangaa baina yao.
Kila Generation inakuwa na vitu kama hivi hawa ni wa 2000's
Walakin, tofauti sasa ni kuwa yapo waziwazi .
 
Mkuu nimekuelewa sana ulichoandika, Hali ni mbaya sana kwa sasa na tuseme tu ukweli hawa watu wamefika mbali sana kwa kweli,
 
Kwa hili ushoga na usagaji imenifanya sasa nawakstaa hawa nchi za magaribi na mshitika wao Marekani,

Haiwezekani niisapoti nchi inayoeneza ushetani

Kuna jambo kubwa halipo sawa kwao
 
Mm huwa nawasiwasi sana hata na haya mauzazi ya mpango ila mungu anisamehe
Pia inawezekana lkn kitu kingine ni zile products zinazokuja km virutubisho km forever,gnld na nyngnezo hizi currently especially zinazodaiwa kuongeza nguvu za kiume,ni tatizo sana....
 
Hiii ni case study hence verified rainbow
 
Mkuu nimekuelewa sana ulichoandika, Hali ni mbaya sana kwa sasa na tuseme tu ukweli hawa watu wamefika mbali sana kwa kweli,

Hali ni mbaya mtandao alionitajia dada ni mkubwa 90% ya celebrities wnahusika. Kilichoniuma kunitajia ndugu yetu Jux kashaleft group muda sana. Sikuamini kabisa ilibd nianze research zangu nikaja fahamu 100% ni kweli.

Hali ni mbaya sana.
 
[emoji625]
 
Na wewe naona unapumiuliwa .hivi hujuwi dhambi hii shetani anakaa pembeni kabisa.na unapofanya kitendo hiki hata miti inainama chini kwa masikitiko,hivi ujiulizi Kwa nn gomora ilitiwa kiberiti
Shetani mnaonaga wapi nyie watu [emoji849]
 

Ushoga sio jambo geni kbs dunia

Lilikuepo enzi na enzi ni moja ya dhambi kongwe

Mpaka Mungu alishusha gharika kwa vitu kama hiv

Tofauti ni sasahivi ushoga umefanywa mjadala+social networks ndo maana tunaona umeongezeka lakini sizani
 
Hatukatai sio jipya ila isiwe sababu ya kuliona na kulichukulia la kawaida mana km wewe ni mwanaume kweli kuguswa Tako lazima pachimbike baaasi hili jambo sio kawaida na sio vumilivu.
 
Ushoga hauzuiliki tena kujadiliwa. Ni jambo geni bovu na baya kabisa kwenye jamii za kiafrika. Ni utamaduni Uliojaa kinyaa
Uliojaa fedheha
Uliojaa aibu
Uliojaa dhihaka
Uliojaa kila aina ya upuuzi
Mijadala ni mingi mitandaoni ya kupinga na ya kukubaliana na huu ushenzi

Huwezi kuelewa fadhaa, athari na maumivu ya ushoga kama huna mtoto wa kiume ama huna ndugu aliyeangukia huko. Hakuna namna unaweza kulitetea hili na kusema ni kizalia, wala kusema ni tatizo la maumbile.. Ushoga ni tatizo la kutengezwa na halipaswi kupewa nafasi ndani ya jamii iliyostaarabika.

Watengeneza hili tatizo wana mipango kabambe kweli
Walilingiza kwa watu maarufu
Wakaliingiza kwa vijana
Wakaliingiza kwa wanamichezo
Wakaliingiza kwa wasanii
Wakaliingiza kwa watu wenye ushawishi kwenye jamii
Wanachuo vyuoni, wanafunzi shuleni, wafanyakazi makazini, vijiweni na hata bodaboda wote hawa hawajaachwa kwenye hili jambo baya kabisa

Kuna hili kundi lingine pendwa kwenye jamii. Wanaume wenye mazoezi ya mwili waliojazia maarufu kama mabaunsa. Vijana usiku na mchana wako kwenye vyumba vya mazoezi maarufu kama Gyms wakitengeneza miili ili wapendeze na kuvutia. Mambo ya six packs. Jamii iliyokuwa ikiwaamini sana kama wanaume ngangari kumbe sasa ni ngangaripoa! More men down!

Sasa hivi kuwa na mwili wa mazoezi uliojazia vizuri sio sifa tena bali ni kashfa. Kwa ripoti ile ya Mwakyembe na mwandishi wake wa habari za uchunguzi.. Vijana wafanya mazoezi ya mwili wamesagiwa kunguni pakubwa sana! Je, tuhuma zile ni za kweli? Je, ni nani kati yao anaweza kujitokeza hadharani na kupinga?

 

Mbona wazinzi hajapigia msitari? Washerati je? Na walevi? na wasengenyaji?.Hii nguvu ya kupinga ushoga ingepingwa kwenye haya mambo mengine dunia ingekuwa mahali salama pa kukaa.

Au ni kwamba wabongo wanapenda sana ushoga ndo maana mnauvalia njuga?

Je wale wanaokula tigo za wanawake?

Tunaomba jamii ishipotosheke kwa kukemea aina moja ya dhambi huku zingine zikiwa hazikemewi huu ni unafiq
 
Ni kweli wengi wameaga mashindano ila Mshana Jr sio wote hivyo wito wangu ni kuwa usimwamini sana Halison
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…