Uhuruu ni muhimuu.Nimeshangaa mpaka wameamua waweke platform tupige kura,kwamba Jamiiforums management waView attachment 2564868meshindwa kwa kauli moja kusema kwamba "hili jambo ni nuksi halifai hapa nchini kwetu" mpaka waweke kitufe cha mashoga kusema wanataka wasiotaka ushoga waseme hawataki.
Ajabu sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utashangaa baba ako nae anazikwa mzima mzima. Haha. [emoji851]
Kwa hakika si wote ni kweli kabisa na hilo liko wazi lakini ndio hivyo tayari wameshatajwa hivyo wanapaswa kujitokeza hadharani na kusema nenoNi kweli wengi wameaga mashindano ila Mshana Jr sio wote hivyo wito wangu ni kuwa usimwamini sana Halison
Hawawezi kujitokeza kupinga ila wengi wako hivyo japo wengi kufanya hivyo sio kutaka ila walijikuta tayari sababu ya vidonge vya kujaza miili wanavyotumia .Kwa hakika si wote ni kweli kabisa na hilo liko wazi lakini ndio hivyo tayari wameshatajwa hivyo wanapaswa kujitokeza hadharani na kusema neno
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio mchezo wake anaoupenda atakushukuru kweli kwelina atakua zawad ya iphone 14
Wee nae Una familia?? Makubwaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni wakati wa kuchukua hatua sio muda wa kuchekacheka leo nilikua naongea na mke wangu ni marufuku kwa watoto wakitoka shule kuangalia katuni au maudhui ya kijingajinga kwenye tv lazima hili jambo tuanzie majumbani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] makubwaaaa haya tenaaaa.Kuna watu wanaoingia kwa kushawishiwa na wanalipwa pesa yaani goodlife kuna watu kazi yao kueneza na kusambaza huu ushetani most wanajuta kujiingiza maana kutoka ni ngumu...
wengi kufanya hivyo sio kutaka ila walijikuta tayari sababu ya vidonge vya kujaza miili wanavyotumia .[emoji3064][emoji848]Hawawezi kujitokeza kupinga ila wengi wako hivyo japo wengi kufanya hivyo sio kutaka ila walijikuta tayari sababu ya vidonge vya kujaza miili wanavyotumia .
Ukweli cha mzungu hakiishi ushamba ila pia tujifunze kufuatilia vitu vipya kabla ya kuiga .
Ukipenda mwili basi fanya mazoez uupate sio kumeza mavidonge ya ptotein yatawapoteza
Kwamba vile vidonge wanavyomeza ili wawe mbavu mwisho vinawegeuza mapunga?Hawawezi kujitokeza kupinga ila wengi wako hivyo japo wengi kufanya hivyo sio kutaka ila walijikuta tayari sababu ya vidonge vya kujaza miili wanavyotumia .
Ukweli cha mzungu hakiishi ushamba ila pia tujifunze kufuatilia vitu vipya kabla ya kuiga .
Ukipenda mwili basi fanya mazoez uupate sio kumeza mavidonge ya ptotein yatawapoteza
Gym, Jogging, Night Club, Vigodoro, house party, Birthday na shughuli za wana twaarab.
Ni kampeni ya vikundi vikundi haina impact kivile.. Mikwara ni mingi sana lakini naifananisha na joka la mdimu ama joka la kibisa... Serikali ndio inapaswa itoke hadharani kukemea, kulaani na kuukataa ushoga, kitu ambacho sidhani kama kitawezekanaKaka Mshana Jr , unadhani nini hasa lengo la hii kampeni ya mwakyembe? Kutakuwa na suluhisho lolote au ni taarifa tu tumepewa tusiokuwa tunajua tujue halafu ipite?
Hebu weka post zote za 'daily' walau kwa siku saba zilizopita nilizoandika kuhusu ushogaDaily unaongelea ushoga tu bro?