Mbona unachuchu kama za Mwanamke wakati hunyonyeshi πNi haramu kubadili JINSIA.
Ndio swali linakuja umezaa mtoto ana hormonal imbalance unafanyeje? Unamuua? Utamlea? Utamkataa? And suluhisho ni nini akizaliwa hivyo?Wazungu wamejua hilo ni tatizo lakini wamelipenda ndo maana wanapromote, sisi tumejua pia ni tatizo kubwa lakini hatulipendi na hatutaki hata kusilikia. Yaani mtu azaliwe na tabia za kiwizi wizi ndo tumchekee tu kwamba ndo tabia yake binafsi???
USHOGA, ufiraji, Kutoa mimba ni kipimo Cha mwisho,Kwanini achome sababu ya ushoga na sio ulevi, uchawi, na mauaji yaliyokithiri?
Hayo yote ni matatizo ya akili, hakuna tofauti na anaebaka mbuziNa ufiraji je?
Wale watoto wadogo wanaoingiliwa na wanafunzi walio wazidi umri, walimu na watu wao wa karibu tunao waamini nao wana ugonjwa wa akili? Unaitwaje huo ugonjwa?
Kama wewe ni mkristo rudi Kasome Mwanzo utaona kuwa Mungu alishaumba kiumbe vema alipomaliza hakurudi kuumba tena. Kwa uelewa wangu wowote mtoto kuwa kilema basi anakuwa tofauti na kile alicho umba na kusema alikiumba vema.... Kuna mkono umepita hapo.Mtoa mada hajaongelea mtu anayeingiliwa kinyume anaongelewa waliozaliwa na tabia za kike kike? Mjadala ndio uanzie hapo hao wanakua treated vipi je Mungu aliyewaumba hivyo alikosea??
Uko uzao wa Mashetani Duniani.Sasa kwa mtu aliyezaliwa na hormone za kike au kiume kama nilivyoeleza wafanyeje kama kubadili jinsia au kupewa vidonge vya hormones hautaki?
Kwanini Mungu aliwaumba na hormone za jinsia nyingine? Alafu useme ni kuzimu? Kwani shetani ndio anaumba?
Congo ni majanga Kila siku kwani Kuna ushoga? Afrika mbona magonjwa haysishi je Kuna ushoga? Acheni homophobia bila sababu, ni kheri ungesema mwenye hormones za kike apewe booster za testosterone walau ningekuelewa ila hii ya kueneza chuki kwa mtu aliyezaliwa hivyo ni upunguani.USHOGA, ufiraji, Kutoa mimba ni kipimo Cha mwisho,
Dunia imo mikononi mwa Mungu, yakitendeka na kuhalalishwa Machukizo hayo ni mwisho wa uvumilivu.
The good thing ni kuwa, watenda maovu hayo wasipotubu vifo kwao havikwepeki.
Mungu ataachilia upanga utakaoshughulika nanyi ktk maeneo yenu ya KAZI soon, Brazil ni mwanzo tu wa yajayo.
Wana wa Mungu, watasalimika.
Kuonesha kuwa hii kitu si cha kawaida! Nakuonya usipende kuongelea masuala ambayo huwezi kuonja uchungu wake. Ungalikuwa mwanaume ungejua uchungu wa mtoto wa kiume kuwekwa nchumali. Aidha kama hili lingekuwa ni jambo la kawaida kwanini hapo pekundu umepaandika? Si ungemshauri rafiki yako awe anawekwa nchumali na wakati huo huo mume wake anawekwa nchumali!.......Pili kuna rafiki yangu mmoja aliolewa na mwenyezi Mungu aliwajalia kwakapata mtoto, lakini kabla ya hapo tulikuwa tunaambiwa kuwa jamaa anaingiliwa na wanaume wenzake, tukawa hatuamini ila amini usiamini mkewe alithibitisa hilo na ukawa ndio mwisho wa ndoa yao. Kumbuka wamezaa mtoto.
.....
Ni mashetani hao, KAZI ya Mungu Haina makosa.
Msenge mwingine huyu hapaKama una hizo imani hii topic haikufai. Jamaa amejaribu kutoa mtazamo wake juu ya jambo husika usimhukumu!
Wapo mashoga wa kuzaliwa ndiyo na wapo wa kufunzwa hawa wanaingiliwa wakiwa wadogo na wanazoea hii tabia
Kama huamini kwamba watu wanazaliwa wakiwa mashoga kwann wanawake wengine wana ndevu? na baadhi ya wanaume wana maziwa?
Shaetani kaumbwa na nani?Ni mashetani hao, KAZI ya Mungu Haina makosa.
Uzao wa shetani? Kisa ana tabia za kike? We ni mkristo wa wapi? Nina wasiwasi utakua mshirika wa Gwajima!!Uko uzao wa Mashetani Duniani.
Pia upo uzao wa Mungu duniani.
Naongea kitu nakijua.
Mapunguanu ni ninyi na mashetani wenzenu, mnao chukua mbegu za WANADAMU wa kiume na kike kuwazalisha nje ya tumbo la mwanamke.Congo ni majanga Kila siku kwani Kuna ushoga? Afrika mbona magonjwa haysishi je Kuna ushoga? Acheni homophobia bila sababu, ni kheri ungesema mwenye hormones za kike apewe booster za testosterone walau ningekuelewa ila hii ya kueneza chuki kwa mtu aliyezaliwa hivyo ni upunguani.
Mungu hakumwumba shetani.Shaetani kaumbwa na nani?
Hormones imbalance wala sio ushoga, mimi nazungumzia ushoga. Kuzaliwa namna yoyote sio kosa. Mashoga wengi mnaowaona wala hawana hormones imbalance isipokuwa tabia tu za kujizoesha ndo zinawafanya wawe hivyo. So hakuna namna yoyote ya kuwatetea mashoga kwa hoja ya hitilafu za hormones.Ndio swali linakuja umezaa mtoto ana hormonal imbalance unafanyeje? Unamuua? Utamlea? Utamkataa? And suluhisho ni nini akizaliwa hivyo?
Kwahiyo Mungu hawezi umba mlemavu? kwamba walemavu wote wa miguu au viungo ni kazi ya shetani? Duh Sikujua kumbe ni shetani ndio kafanya hayo!! Kumbe Mungu hawezi umba mlemavu. Basi shetani ana nguvu sana kama anaweza Hadi kuumba mlemavu yaani ana uwezo wa kuharibu uumbaji wa MunguKama wewe ni mkristo rudi Kasome Mwanzo utaona kuwa Mungu alishaumba kiumbe vema alipomaliza hakurudi kuumba tena. Kwa uelewa wangu wowote mtoto kuwa kilema basi anakuwa tofauti na kile alicho umba na kusema alikiumba vema.... Kuna mkono umepita hapo.
May be adamu alikuwa kilema kiphizikia, baiolojia na mengine yo.