Brelim Skoro_
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 15,188
- 37,742
Hujaneilewa na huo mstari karudie kuisoma kwa kutulia.Sio kweli, ukisoma Yohana 9:1-6 Yesu aliletewa mtu kipofu tokea azaliwe then wanafunzi wakauliza je dhambi ya jamaa au wazazi wake ndio imepelekea upofu wake?? Ila Yesu akajibu hivi mstari wa tatu.
"Yesu akajibu, Huyu hakutenda dhambi, wala wazazi wake; bali kazi za Mungu zidhihirishwe ndani yake".
Sasa kama Yesu amekataa kuwa sio laana Wala dhambi Bali kazi za Mungu zidhihirishwe ndani yake wewe kwanini useme ulemavu ni shetani au dhambi?
Niwekee picha ya AKILI kabla hatujaenda mbali.Naomba uniwekee picha ya jini hapa halafu tuendelee.
Kwahiyo huko Magereza Wafungwa wanafirana sana je ni Wachawi pekee ndio hufungwa Majela?USHOGA na na Uchawi ni kulwa na Doto.
Si TABIA. Ni ROHO inaingia, matokeo ndiyo yanakuwa kuf..rwa na kuwanga.
Rudini kuzimu enyi Wana wa ghasia.
Kwahiyo Mkristo akipata ulemavu ni shetani, mkristo akifa kwa magonjwa ni shetani? Sasa Ina faida Gani kuokoka kama mwisho wa siku hatma ya maisha Yako Iko mikononi mwa shetani?Hujaneilewa na huo mstari karudie kuisoma kwa kutulia.
Ukiona Mungu analeta nuru jua giza lilivamia eneo hilo.
Mungu akuumbe na macho then akupige upofu ukiwa huna kosa lolote na kama rejeo letu ilikuwa Adam, je adam alikuwa mpofu ?
Wanafunzi wake waliamini kuwa waliozaliwa vile wamelaaniwa... Ni kweli wamelaaniwa lakini mtoa laana hakuwa Mungu Bali Mzee wa giza.
Niwekee picha ya AKILI kabla hatujaenda mbali.
Namkumbuka mwalimu padre privatus karugendo (RIP) angekuwepo hai angeingia kwenye mjadala huu . Karugendo alikuwa anapingana na misimamo ya kanisa juu ya mambo kama haya, alijadili juu ya msimamo wa kanisa kuhusu matumozi ya kondom na utoaji wa mimba pia alijadili unafiki wa jamii juu ya ushoga kwamba unalaani ushoga lakini unaiba, unasengenya, unazini, unafira, unakunywa pombe nkKama aliingiliwa kinyume na akanogewa na kuamua iwe ndo maisha yake basi ni KICHAA.
Kichaa hawezi acha KULOKOTA makopo,
Alipobakwa Roho ya USHOGA ilimwingia, na ndiyo inamtaka aendelee.
Sisi tunapambana Roho hiyo ya USHOGA na ukichaa imtoke Ili arudi ktk senses na apate msaada arudishwe kuwa Mwanaume.
POMBE na uraibu wa dawa za kulevya ni addiction na Ukichaa uleule, mfumo wa kipepo Ule ule.
Bt watu hutolewa ukichaa huo na kurudi katika asili Yao.
Amen
Unamjua mkristo ni nani ? au UNafkiri ukienda kanisani wewe ni mkristo. Soma Biblia vyema ujue majukumu na mipaka ya mkristo utaelewa nacho ongea.Kwahiyo Mkristo akipata ulemavu ni shetani, mkristo akifa kwa magonjwa ni shetani? Sasa Ina faida Gani kuokoka kama mwisho wa siku hatma ya maisha Yako Iko mikononi mwa shetani?
Sikujua kama shetani ana nguvu kuliko uumbaji wa Mungu!! Sasa mbona tunaambiwa laana zote zilimalizwa msalabani if at all unadai laana ya shetani inasababisha ulemavu?
Wana wa Mungu tunakataa vyote, hatuibi, hatuzuni nk nk nk.Namkumbuka mwalimu padre privatus karugendo (RIP) angekuwepo hai angeingia kwenye mjadala huu . Karugendo alikuwa anapingana na misimamo ya kanisa juu ya mambo kama haya, alijadili juu ya msimamo wa kanisa kuhusu matumozi ya kondom na utoaji wa mimba pia alijadili unafiki wa jamii juu ya ushoga kwamba unalaani ushoga lakini unaiba, unasengenya, unazini, unafira, unakunywa pombe nk
Hata wachawi wanamwita shetani Mungu,View attachment 2594034
Je huyo Mungu wako amekosea?
CAG kasema Matrilioni ya fedha zetu yameibiwa na uko kimyAAA.Wana wa Mungu tunakataa vyote, hatuibi, hatuzuni nk nk nk.
Pale Uturuki Mungu kawaua Waumini 50,000 kwa kutumia matetemeko yake.Mungu ni mtakatifu, na mkamilifu.
Huna unalolijua, bora ukae kimyaa tyuuh.Hormones imbalance wala sio ushoga, mimi nazungumzia ushoga. Kuzaliwa namna yoyote sio kosa. Mashoga wengi mnaowaona wala hawana hormones imbalance isipokuwa tabia tu za kujizoesha ndo zinawafanya wawe hivyo. So hakuna namna yoyote ya kuwatetea mashoga kwa hoja ya hitilafu za hormones.
Sasa huko hadharani mbna ndo wako wazi wazi na hawajifichiii, wanafanywa nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani mashoga wanakuja live kutetea USHOGA Ili uenee, Bahati Yao wamejificha nyuma ya keyboard,
Wajaribu kufanya hivyo hadharani waone impact yake.
Ungenipa tafsiri ya nini maana ya KIFO, ningekuwa ktk position njema ya kukwambia nini kimetokea Kwa hao 50,000 unaowaita waumini.Pale Uturuki Mungu kawaua Waumini 50,000 kwa kutumia matetemeko yake.
Au wewe unaongelea Mungu wa aina gani?
Mie nikitia neno hapa, watu wataanza kufura kwa hasira na chuki, nawatazama tyuuh.We madam unamchango gani??
Mwisho wa Maisha yaani the end kwa hiyo Mkuu jiachie maisha mafupi sana.maana ya KIFO,
Napinga sana ubadhirifu wa Mali za Umma, nenda kasome comments zangu.CAG kasema Matrilioni ya fedha zetu yameibiwa na uko kimyAAA.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanachekesha hawa watu, khaaaah.Ushauri wangu ni ukijisikia kula tuzi wewe kula Acha kujifunga funga na Dua na mambo yalioandikwa na mwanadamu mwenzako.