mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
Naona umerudi tena huku danger zone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanachekesha hawa watu, khaaaah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan natamani kushusha gazetii kabisaaa, ila bas ngoja nisepeee.Naona umerudi tena huku danger zone[emoji23]
Shusha nisome[emoji23] we ndo unaongeaga point huku....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan natamani kushusha gazetii kabisaaa, ila bas ngoja nisepeee.
Ushakuja kunichawia wee, khaaaah
Thubutuuuuuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shusha nisome[emoji23] we ndo unaongeaga point huku....
Mtu ni ROHO, anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI.Mwisho wa Maisha yaani the end.
Najua kuna siku utashindwa kujizuia tu[emoji23] Kuna comment utaiona itaku-trigger[emoji23]Thubutuuuuuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bado naipenda JF,
Km juzi kuna comment niliona, hadi nikawa natetemeka, nusu nianze kushusha mkeka tena wenye maneno ya shomboo, mara paapu kitu kikagonga kichwani, wee jiletee Ban inakutakaa sanaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Najua kuna siku utashindwa kujizuia tu[emoji23] Kuna comment utaiona itaku-trigger[emoji23]
Shida inaanzia hapo, "tyuuh" ndio nini? Kwamba ndio hormone imbalance au?Huna unalolijua, bora ukae kimyaa tyuuh.
Kwani ukila ban nyingine ndo inakua mazima au vp[emoji23]Km juzi kuna comment niliona, hadi nikawa natetemeka, nusu nianze kushusha mkeka tena wenye maneno ya shomboo, mara paapu kitu kikagonga kichwani, wee jiletee Ban inakutakaa sanaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nli log out kwa muda, kupisha temper daaah
Hizo ni stories tu zilioandikwa na Wanadamu hakuna ushahidi wa kuwa Mtu ana Roho na kua akifa roho inatoka inaenda sehemu fulani.Mtu ni ROHO, anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee tutaishi hivyo hivyo kibishii bhanaa,Kwani ukila ban nyingine ndo inakua mazima au vp[emoji23]
Kutokusoma bango kuwa njia ya MAGOGONI haipitiki, hakukuondolei ADHABU Kutoka Kwa wazee wa KAZI.Mwisho wa Maisha yaani the end kwa hiyo Mkuu jiachie maisha mafupi sana.
Mi mwenyewe natakaga niende kwenye ule uzi wa atheists niandike magazeti yangu sema dah[emoji23] censorship....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee tutaishi hivyo hivyo kibishii bhanaa,
Nipe ushahidi wa kisayansi sio kunisomea dua na mafundisho yasiokuwa na ushahidi wowote.Maisha yajayo baada ya kutenganishwa na mwili huu hayana mwisho.
Hilo jua hapo angani alilitundika Babu Yako?Nipe ushahidi wa kisayansi sio kunisomea dua na mafundisho yasiokuwa na ushahidi wowote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan acha kwa kweliii.Mi mwenyewe natakaga niende kwenye ule uzi wa atheists niandike magazeti yangu sema dah[emoji23] censorship....
Hakuna shoga wa kuzaliwa, ila wengi wanajifunza kutokana na changamoto za dunia bila kusahau kujitakia mfano tamaa, ila haihalalishi wewe kuendelea kufanya huo ujinga wakati unajitambua na unaelewa sio sawa, kuna maelfu washafanyiwa hivyo vitendo huko utotoni kwa kurubuniwa n.k lakini hawakuja kuwa mashoga kutokana na kutambua sio kitu kizuri walipojua ukweliKama una hizo imani hii topic haikufai. Jamaa amejaribu kutoa mtazamo wake juu ya jambo husika usimhukumu!
Wapo mashoga wa kuzaliwa ndiyo na wapo wa kufunzwa hawa wanaingiliwa wakiwa wadogo na wanazoea hii tabia
Kama huamini kwamba watu wanazaliwa wakiwa mashoga kwann wanawake wengine wana ndevu? na baadhi ya wanaume wana maziwa?