Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,322
- 6,998
Mtaedit jinsi mnavyoweza ila haihalalishi ukweli kuwa ushoga ni kujitakia ikiwa wewe ni timamu na unaweza kufikiri sawa sawaView attachment 2594102
View attachment 2594103
Hapa tunawaona Bonobo Apes wakifirana na kusagana.
Hii tabia ni ya Big Apes hawa hawajawa corrupted na Human ideas kama Dini za Binadamu nk.
Kwahiyo hizi tabia ni Natural na Ushoga ni tabia natural.
Nime edit wapi acha uvivu wa kusoma.Mtaedit jinsi mnavyoweza ila haihalalishi ukweli kuwa ushoga ni kujitakia ikiwa wewe ni timamu na unaweza kufikiri sawa sawa
Sisi sote tupo angani hakuna aliyetundika chochote.Hilo jua hapo angani alilitundika Babu Yako?
Mkuu relax utakula ban[emoji23]Ushoga ni Baraka kwa Mwanadamu.
Hapa tupeane facts tu hii ndio jf.Mkuu relax utakula ban[emoji23]
Dah kumbe na wewe ni shoga kwanini lakini unafokonyolewaUshoga ni Baraka kwa Mwanadamu.
Wewe mwenzio akifokonyolewa wewe unawashwa na nini?Dah kumbe na wewe ni shoga kwanini lakini unafokonyolewa
Upo sahihi kiongozi.Niliwahi kusema na narudia tena, woote wanaokataa ndoa hawana marinda
Mbona Kuna mliooa na mshatatuliwa marinda?Niliwahi kusema na narudia tena, woote wanaokataa ndoa hawana marinda
Wote? Hahaha! Na kuna wengi tu wakio kwenye ndoa zao lakini hawana rinda hata moja...tena hao ndio wanatumia kivuli cha ndoa kujificha, hasa wasomi na wenye nafasi nzuri za kazi.Niliwahi kusema na narudia tena, woote wanaokataa ndoa hawana marinda
Kakudanganyaaa huyo mtoto anachat na wanaume wenzie, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Juzi mke wangu alinilalamikia kwamba mwanangu wa kiume anachat na mademu, hakujua moyoni nilivyoshukuru maana siku hizi ukiwa na mtoto wa kiume unaomba umkute na demu yaani, unatamani sana kusikia ni mwanaume wa kawaida ambaye hajalemazwa na huo ujinga wa mashoga.
Zamani ilikua ukiskika umeonwa na demu unasutwa sana na mzazi, ila siku hizi mambo yamebadilika.
Haswaaaaaah!!!!Hizi sheria za kupinga ushoga ziwe tu kwa kwa under 16 lakini kwa watu wazima iwe ni juu yao kuamua kuitumia miili yao wakiamua kufira hewalaa wakiamua kufirwa hewalaa.
Sheria ziwe kali dhidi ya wezi na wabadhirifu pamoja na wale waliozoea ku abuse power.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi ni vichekesho.Sheria ziko wazi zinapinga USHOGA, JF itoe ushirikiano Kwa Jeshi la polisi kuwapata na kuwapima na wakithibitika wanajihusisha na vitendo hivyo wachukuluwe hatua za kisheria.
Wapo members humu JF wanaojinadi waziwazi kufanya uchafu huu.
Tafadhali, viongozi wa JF mtakapotembelewa toeni ushirikiano Ili kutokomeza LAANA hii katika JAMII yetu.