Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Uhuru una mipaka yake....mwenye kutetea huu ufedhuli aitha mwanae ni mhanga wa jambo hilo au mhusika mwenyewNatetea haki za binadamu na uhuru wake.
Hata hao waliopigwa nyundo ni walilazimishwa kukiri, na wanatokaa nje, ila wanapunguza wananchi muhemko.Nimekuelewa sana mleta uzi, jf haina GT tena.
Watu hawajui kua kuna mianya mingi ya hao mnaowatuhumu kwa ushoga kuponyoka.
Sheria ikiwa vizuri watabanwa kisawasawa, hata kama tatizo litakuwepo ila sio kwa kiwango kikubwa.
Wajuzi wa sheria watatumia vifungu kuponyoka, yule mzenji pamoja na video yake kuvuja si ajabu akashinda.
Wengi wanaopigwa nyundo ni wale wanaokubali kua wamepigwa pipe, ila wanaokataa ndo kama hao kina delishazi waliachiwa huru, hao ambao kina dula makabila anaimba nao hata hawatiwi hatiani, machoko ni wengi ila nadhani sheria haiwabani kwasababu kumkamata akifokolewa ni inshu.
Wala hiyo hainipunguzii kitu, ila nasimamia kile nacho kiamini. Ko hata unitolee tuhuma hizo hazinipi shida hata.Uhuru una mipaka yake....mwenye kutetea huu ufedhuli aitha mwanae ni mhanga wa jambo hilo au mhusika mwenyew
Nawewe ni muuza marinda?? Maaana huu uzi wauza Marinda mnajitetea kwa povu loteSasa si katoa moni yake? Ubwabwa wake ni nini sasa?
Mbona Kyela,Lindi na Kilwa ndani ya mwezi huu wamepigwa miaka 30 hso mapunga.Mi sijafunzwa matusi... nimekuuliza swali dogo tu, Naomba vifungu vya sheria naona unarukaruka... wewe unadhani bila sheria hawa watu wataadhibiwa?
Yetu macho, huu uzi upo hapa, kama sheria haijafuatwa hawa watu hawawezi kutiwa hatiani..
Wana JF wengi ni wapumbavu halafu wanajiita Great Thinkers, badala ya kujibu hoja wanamshambulia mtoa hojaSoma uzi uelewe acha kujibu kwa mihemko.... nimeomba ufafanuzi wa kisheria... kama wewe sio mwanasheria ni bora uwe msomaji tu, sio lazima uchangie kila uzi.
Nakukatalia hapo kwenye uongeaji, utembeaji, na matendo ya automatically, hapa sasa mtafanya hadi wasio husika wasakamwee.Mtoa post anahoja.
Wengi hawajamuelewa.
Anazungumzia ikiwa MTU anaweza kukushtumu wewe ni Shoga alafu sio, kisha Mahakama ikaamuru upimwe ushoga Kwa kupitishwa vidole viwili, na ikagundulika sio.
Je hiyo haitakuwa udhalilishaji Kwa MTU huyo aliyesingiziwa?
Sheria ziongeze wigo WA kudili na Tabia za kishoga kama uvaaji, utembeaji, uongeaji, na pia sehemu wanazofanyia ushoga mfano Hotel au Lodge wenye lodge wawekewe sheria pia.
Haya sheria ifunge pia wanaowaingilia hao mashoga Kwa ukali uleule
Wakienda hivi Joti na Dullivan watapimwaWana JF wengi ni wapumbavu halafu wanajiita Great Thinkers, badala ya kujibu hoja wanamshambulia mtoa hoja
Ni hivi mtu akienda mahakamani na akaishawishi mahakama kuwa kuna uwezekano mkubwa mtu fulani anafanya uhalifu (sio ushoga tu, hata uhalifu mwingine kama vile kuuza bidhaa haramu n.k) mahakama inaweza kutoa kibali mtu huyo afanyiwe upekuzi zaidi, Hiyo sababu inaitwa Probable cause
Mfano una nyumba ambayo mateja wanaingia kila mara, japo ni nyumba yako binafsi, mahakama wanaweza kutoa kibali ikakaguliwe kama unauza madawa
Probable cause kwa upande wa huyo Noel ni kuvaa mavazi yenye utata na kuishi na mwanaume mwingine kwenye nyumba, ambaye sio ndugu yake
Wale inafahamika ni waigizajiWakienda hivi Joti na Dullivan watapimwa
Nakukatalia hapo kwenye uongeaji, utembeaji, na matendo ya automatically, hapa sasa mtafanya hadi wasio husika wasakamwee.
Kuna watu wamezaliwa na hormonal imbalances,
Wana sauti za kike, miondoko, hulka, na sio mashoga, huoni hawa watakua wanaonewaa??
Mbna inafahamika kuwa mtu kuwa shoga ni lazima iwe kukutwa red handed, na uthibitisho wa vipimo vikikubali ndipo sheria ifuatwe,
Huu mtindo wa kuwasakama watu kwa kuhisi au kuona vitu ambavyo sio proof, itakuja kuwakuta na wasio tarajiaa.
Sio kweli na tuzuie mapemaa.
Wale inafahamika ni waigizaji
Mahakama itapima hojaHao wengine wakikamatwa watasema wanajifunza kuigiza.
Kwani Noel na Kelvin si ni wana mitindo na wabunifu wa mavazi?Wale inafahamika ni waigizaji
Mshukiwa au mtuhumiwa huwa anaombwa idhini kufanyiwa uchunguzi?Labda nithibitishe kwanza, mimi napendelea sana maamuzi yanayofuata sheria ambazo zimewekwa - rules based orders.
Nimesikia kuna hawa wanamitindo wamewekwa kizuizini na mahakama kuamuru wakapimwe kama ni mashoga.
Sina ubaya na hilo kwasababu na mimi sisupport vitendo vya ushoga. Ila ambacho ningependa kujua ni kuhusu hayo mamlaka na nguvu ya mahakama kwenye vifungu vya sheria kuamua mtu apimwe kama yeye ni shoga pasipo idhini yake.
Nimeuliza hivo kwasababu, tusipokuwa makini, hii kitu inaweza kutumika kufanya defamation na character assassination.
Imagine leo hii mtu unafanya kazi ya maana na unakutana na watu wengi, unaheshimika na ukoo wako, halafu from no where unasikia kwamba umewekwa lock up kwamba ukapimwe kama wewe ni shoga. Halafu inagundulika kwamba sio kweli. Unadhani utachafuka kiasi gani?
Kuna kitu hakipo sawa kwenye hili. Kwa wanasheria Pascal Mayalla na wengineo embu tunaomba ufafanuzi kwenye hili.
Mi sio mwanasheria ila, nina guts feeling kwamba kuna kitu cha kisheria hakijakaa sawa hapa.
Khaaaah kwahiyo unakataa hakuna watu walio zaliwa na hormonal imbalances? Mbna unashangaza wee, sasa km huko ulikokaa hawapo bas sehemu zingine wapooo.Hao Watu waliozaliwa hivyo wapo Huko kwenu tuu?
Mimi nimekaa Kilimanjaro, Morogoro, Mbeya, Iringa, Dar, Kahama, sijawahi ona Watu wa hivyo.
Wengi wanaofanya hayo Matendo ni mashoga,
Sasa hapo kwenye ushoga ndio tujue chanzo chake Kwa sababu wapo Watoto wakiume hufanyiwa vitendo cha ulawiti tangu wakiwa wadogo na kujikuta wakibeba Haiba ya kike