Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Nimekuelewa sana mleta uzi, jf haina GT tena.
Watu hawajui kua kuna mianya mingi ya hao mnaowatuhumu kwa ushoga kuponyoka.

Sheria ikiwa vizuri watabanwa kisawasawa, hata kama tatizo litakuwepo ila sio kwa kiwango kikubwa.

Wajuzi wa sheria watatumia vifungu kuponyoka, yule mzenji pamoja na video yake kuvuja si ajabu akashinda.

Wengi wanaopigwa nyundo ni wale wanaokubali kua wamepigwa pipe, ila wanaokataa ndo kama hao kina delishazi waliachiwa huru, hao ambao kina dula makabila anaimba nao hata hawatiwi hatiani, machoko ni wengi ila nadhani sheria haiwabani kwasababu kumkamata akifokolewa ni inshu.
 
Hata hao waliopigwa nyundo ni walilazimishwa kukiri, na wanatokaa nje, ila wanapunguza wananchi muhemko.
 
Uhuru una mipaka yake....mwenye kutetea huu ufedhuli aitha mwanae ni mhanga wa jambo hilo au mhusika mwenyew
Wala hiyo hainipunguzii kitu, ila nasimamia kile nacho kiamini. Ko hata unitolee tuhuma hizo hazinipi shida hata.
Relaaaaaax [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mi sijafunzwa matusi... nimekuuliza swali dogo tu, Naomba vifungu vya sheria naona unarukaruka... wewe unadhani bila sheria hawa watu wataadhibiwa?

Yetu macho, huu uzi upo hapa, kama sheria haijafuatwa hawa watu hawawezi kutiwa hatiani..
Mbona Kyela,Lindi na Kilwa ndani ya mwezi huu wamepigwa miaka 30 hso mapunga.
Hoja yako nini?
 
Soma uzi uelewe acha kujibu kwa mihemko.... nimeomba ufafanuzi wa kisheria... kama wewe sio mwanasheria ni bora uwe msomaji tu, sio lazima uchangie kila uzi.
Wana JF wengi ni wapumbavu halafu wanajiita Great Thinkers, badala ya kujibu hoja wanamshambulia mtoa hoja

Ni hivi mtu akienda mahakamani na akaishawishi mahakama kuwa kuna uwezekano mkubwa mtu fulani anafanya uhalifu (sio ushoga tu, hata uhalifu mwingine kama vile kuuza bidhaa haramu n.k) mahakama inaweza kutoa kibali mtu huyo afanyiwe upekuzi zaidi, Hiyo sababu inaitwa Probable cause

Mfano una nyumba ambayo mateja wanaingia kila mara, japo ni nyumba yako binafsi, mahakama wanaweza kutoa kibali ikakaguliwe kama unauza madawa

Probable cause kwa upande wa huyo Noel ni kuvaa mavazi yenye utata na kuishi na mwanaume mwingine kwenye nyumba, ambaye sio ndugu yake
 
Mtoa post anahoja.
Wengi hawajamuelewa.

Anazungumzia ikiwa MTU anaweza kukushtumu wewe ni Shoga alafu sio, kisha Mahakama ikaamuru upimwe ushoga Kwa kupitishwa vidole viwili, na ikagundulika sio.
Je hiyo haitakuwa udhalilishaji Kwa MTU huyo aliyesingiziwa?

Sheria ziongeze wigo WA kudili na Tabia za kishoga kama uvaaji, utembeaji, uongeaji, na pia sehemu wanazofanyia ushoga mfano Hotel au Lodge wenye lodge wawekewe sheria pia.

Haya sheria ifunge pia wanaowaingilia hao mashoga Kwa ukali uleule
 
Nakukatalia hapo kwenye uongeaji, utembeaji, na matendo ya automatically, hapa sasa mtafanya hadi wasio husika wasakamwee.

Kuna watu wamezaliwa na hormonal imbalances,
Wana sauti za kike, miondoko, hulka, na sio mashoga, huoni hawa watakua wanaonewaa??

Mbna inafahamika kuwa mtu kuwa shoga ni lazima iwe kukutwa red handed, na uthibitisho wa vipimo vikikubali ndipo sheria ifuatwe,

Huu mtindo wa kuwasakama watu kwa kuhisi au kuona vitu ambavyo sio proof, itakuja kuwakuta na wasio tarajiaa.

Sio kweli na tuzuie mapemaa.
 
Wana JF wengi ni wapumbavu halafu wanajiita Great Thinkers, badala ya kujibu hoja wanamshambulia mtoa hoja

Ni hivi mtu akienda mahakamani na akaishawishi mahakama kuwa kuna uwezekano mkubwa mtu fulani anafanya uhalifu (sio ushoga tu, hata uhalifu mwingine kama vile kuuza bidhaa haramu n.k) mahakama inaweza kutoa kibali mtu huyo afanyiwe upekuzi zaidi, Hiyo sababu inaitwa Probable cause

Mfano una nyumba ambayo mateja wanaingia kila mara, japo ni nyumba yako binafsi, mahakama wanaweza kutoa kibali ikakaguliwe kama unauza madawa

Probable cause kwa upande wa huyo Noel ni kuvaa mavazi yenye utata na kuishi na mwanaume mwingine kwenye nyumba, ambaye sio ndugu yake
Wakienda hivi Joti na Dullivan watapimwa
 
Nakukatalia hapo kwenye uongeaji, utembeaji, na matendo ya automatically, hapa sasa mtafanya hadi wasio husika wasakamwee.

Kuna watu wamezaliwa na hormonal imbalances,
Wana sauti za kike, miondoko, hulka, na sio mashoga, huoni hawa watakua wanaonewaa??

Mbna inafahamika kuwa mtu kuwa shoga ni lazima iwe kukutwa red handed, na uthibitisho wa vipimo vikikubali ndipo sheria ifuatwe,

Huu mtindo wa kuwasakama watu kwa kuhisi au kuona vitu ambavyo sio proof, itakuja kuwakuta na wasio tarajiaa.

Sio kweli na tuzuie mapemaa.

Hao Watu waliozaliwa hivyo wapo Huko kwenu tuu?
Mimi nimekaa Kilimanjaro, Morogoro, Mbeya, Iringa, Dar, Kahama, sijawahi ona Watu wa hivyo.
Wengi wanaofanya hayo Matendo ni mashoga,

Sasa hapo kwenye ushoga ndio tujue chanzo chake Kwa sababu wapo Watoto wakiume hufanyiwa vitendo cha ulawiti tangu wakiwa wadogo na kujikuta wakibeba Haiba ya kike
 
Tukishakuhisi tu unatoa ubwabwa basi ni LAZIMA tukupime marinda.. tunamtafuta nesi mzoefu anatuchekia njia sasa akisha thibitisha kwamba njia yako ina mashimo na makorongo basi tunaanza kuhangaika na weye, ni mvua 30 kama yule bwabwa wa Mbalali Mbeya.
 
Kupimana Ushoga ndio Ushoga wenyewe huo..., Taifa la hovyo sana hili tumetoka kwenye majadiliano mengine yoote agenda imekuwa Hii, na walamba asali wanapitia huko, huko kuendelea kupiga mali huku watu wapo busy wanapimana; Wewe kama sio Shoga na una uhakika wa msimamo wako unaogopa utaambukizwa ? Au haujiamini ?

Sijui baada ya hili tutaamia kwenye lipi....
 
Labda nithibitishe kwanza, mimi napendelea sana maamuzi yanayofuata sheria ambazo zimewekwa - rules based orders.

Nimesikia kuna hawa wanamitindo wamewekwa kizuizini na mahakama kuamuru wakapimwe kama ni mashoga.

Sina ubaya na hilo kwasababu na mimi sisupport vitendo vya ushoga. Ila ambacho ningependa kujua ni kuhusu hayo mamlaka na nguvu ya mahakama kwenye vifungu vya sheria kuamua mtu apimwe kama yeye ni shoga pasipo idhini yake.

Nimeuliza hivo kwasababu, tusipokuwa makini, hii kitu inaweza kutumika kufanya defamation na character assassination.

Imagine leo hii mtu unafanya kazi ya maana na unakutana na watu wengi, unaheshimika na ukoo wako, halafu from no where unasikia kwamba umewekwa lock up kwamba ukapimwe kama wewe ni shoga. Halafu inagundulika kwamba sio kweli. Unadhani utachafuka kiasi gani?

Kuna kitu hakipo sawa kwenye hili. Kwa wanasheria Pascal Mayalla na wengineo embu tunaomba ufafanuzi kwenye hili.

Mi sio mwanasheria ila, nina guts feeling kwamba kuna kitu cha kisheria hakijakaa sawa hapa.
Mshukiwa au mtuhumiwa huwa anaombwa idhini kufanyiwa uchunguzi?
 
Hao Watu waliozaliwa hivyo wapo Huko kwenu tuu?
Mimi nimekaa Kilimanjaro, Morogoro, Mbeya, Iringa, Dar, Kahama, sijawahi ona Watu wa hivyo.
Wengi wanaofanya hayo Matendo ni mashoga,

Sasa hapo kwenye ushoga ndio tujue chanzo chake Kwa sababu wapo Watoto wakiume hufanyiwa vitendo cha ulawiti tangu wakiwa wadogo na kujikuta wakibeba Haiba ya kike
Khaaaah kwahiyo unakataa hakuna watu walio zaliwa na hormonal imbalances? Mbna unashangaza wee, sasa km huko ulikokaa hawapo bas sehemu zingine wapooo.

Na hata huko ulikokaa bado piaa kuna sehemu wapoo wee hujakaa kila eneo ktk hizo sehemu, so hoja yako haina mashiko..

Hili suala la kuhisi watu na kuwatuhumu ni hatari litakuja kupita na wasio husika, watu watatumia km kisasi na chukiii.

Haikubaliki hii.
 
Back
Top Bottom