Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

tusitumie injili kulea dhambi na waovu.. Nakuelewa.. sana
 
Mungu huyu huyu alitumia wafalme kuwanyoosha wafilaji.. na ilifikia kipindi Mungu huyo huyo alishusha moto sodoma.. Mtu akipata ka mpenyo ka kumtia kiberiti shoga sawa tu
Sio sahihi, hukumu ya Mungu ni mwisho wa Dunia ila Kwa Sasa ni kipindi cha neema ndio maana watu Wana madhambi ila hakuna Cha gharika Wala moto Wala magonjwa kama tauni n.k.

Kingine kama ni adhabu au kisasi ni Cha Mungu sio binadamu. Unapotaka kumchoma mtu jifikirie dhambi zako kwanza je una uhalali wa kumuua mtu?

Mfano takwimu za Mewata zinaonyesha 40% ya wanawake wanaingiliwa kinyume na waume zao same to watoto wanalawitiwa wakiwa wadogo. Kabla hujashtuka, zaidi ya watoto elfu 50 wanaacha shule za msingi Kila mwaka na sababu kubwa ni ujauzito.

Sasa tukisema tuuwe walawiti, wageuzaji wake zao na watia mimba watoto, jumlisha mashoga na wasagaji nani atasalia? Mungu akisema ahukumu kwa mihemko hakuna atakayeamka mzima kesho asubuhi.

Cha msingi muombee mtu au mshauri au kamshtaki polisi afungwe kwa makosa hayo ila sio wwe huyo huyo ndio utoe adhabu as if mkamilifu.
 
Mkuu tatizo ni kwamba watu wameipenda Dunia kuliko kumpenda Mungu,kwa hiyo Shetani anawapepeta kama Ngano.Familia ambazo zimemuamini Yesu kama Bwana na Mwokozi wa maisha yao,huu ujinga haupo kabisa.

Naomba niwakumbushe, kwamba Shetani haogopi Dini yako,hata iwe nzuri vipi,anaye- muogopa ni Bwana Yesu tu.
 
Aisee , kwenu Kwa Sasa wako wangapi
 
Mbona kama vile una wachunguza sana? useme tuu ukweli wa kwamba na wewe unavutiwa na mapenzi ya jinsia moja ila kuna ugumu wa kutaka kuwa muwazi kitendo cha kuwachungulia watu wamejifungia lazima kina usisimkaji fulani wakuvutiwa na unacho taka kukijua vitendo hivi ni siri kubwa na kwa asiye na shauku la kujua huwa hawezi jua wala ona ishara lakini ukiona ishara ujue na wewe umo humo.
 
Kwa vile kumekuwepo na ongezeko kubwa la ushoga duniani na nchi yetu inakerwa na matendo hayo
Na kwa vile juhudi za kutibu ushoga zimekuwa ngumu katika jamii
Na kwamba kuna watu wengi wanaokerwa na matendo ya ushoga

Kutokana na ukweli huo nimeona nijaribu kuangalia baadhi ya vitu ambavyo vimekuwa kwa kasi kubwa katika miji mingi duniani.Nikagundua hakuna kitu kama hicho kuliko upenzi wa michezo na hasa mpira wa miguu.Kwa ukweli huo nikaanza kutafuta takwimu zifuatazo
Jee nchi zilizoendelea zaidi katika kandanda ndizo hizo hizo zinaoongoza kwa ushoga ?
Jee idadi ya makombe ya dunia iliyopata nchi fulani inakwenda sambamba na idadi ya mashoga kwenye nchi hizo

Ijapokuwa nimepata viashiria vinavyotia moyo lakini bado naendelea kukushanya takwimu ya nukta hizo na nitafurahi iwapo nitapata wenzangu wa kuchangia katika kukushanya data hizo.Kwa upande wa ongezeko katika upenzi wa michezo takwimu zinatosha kuonesha kila taifa likiwa na wanamichezo wengi na ushoga huwa katika kiwango cha juu.Hiyo ni kwa kuangalia taifa la Marekani.Wachezaji wengi maarufu wa michezo kama mpira wa vikapu wanaoonekana watu wa mirabaa 4 ndio mashoga wakubwa.
Tukija kwa viashiria nilivyovipata kwenye mchezo wa kandanada naomba tuangalie jee vitu hivi hapo chini ndivyo vichochezi vya ushoga?
Pale wanaume wanaposongamana kwenye viwanja vya mpira au kwenye mabanda ya kuangalia huwa wanatomasana kwenye sehemu zoo nyeti
Mtu anapofanya vizuri na kufurahi sana hupenda apongezwe.Jee anakuwa na mipaka ya kupongezwa au hujianchia tu.Kwa maanda katika kushangilia akitokea mtu aliyekupenda kwa ushoga akakukumbatia unamsukuma au unachukulia poa tu katiaka michezo.
Wale wanaopata katika upenzi wa timu fulani za mpira huishia hapo au huwa wanakutana kwa shughuli nyengine za kijamii.Shughuli hizo ni za kimaendeleo au ni za aina gani?.
Wale ambao ni wapenzi wa soka na hawapendi wapitwe na ushabiki kwa kushirikia kuangalia,Jee fedha huwa wanatoa wapi
 
Bado, hebu endelea na utafiti wako, napenda mpira tena hadi wa vibanda umiza ila hilo bado sijaliona...

Labda huko dar
 
Hivi mtu unatumiaje muda wako mwingi kufikiria utumbo.

Kwann usifanye utafiti vitu vya maana mdogo wangu. Au wewe unapenda ushoga.

Okay kwa mfano ukagundua ni kweli utapata nini.
 
umeandika pumbaa
 
Bado, hebu endelea na utafiti wako, napenda mpira tena hadi wa vibanda umiza ila hilo bado sijaliona...

Labda huko dar
Bado nipo na takwimu za UK ambao ndio wanaotuwekea masharti ya misaada mpaka ushoga uwe ni kifurushi cha misaada yao.Kule watu wanauwana kwa mpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…