Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Hapana mkuu,yapo mambo ambayo yaliishia Calvary,na hili ni moja wapo,kama vile talaka nk..Nimekupa maandiko ambayo yule mwanamke Msamaria mzinzi Bwana Yesu mwenyewe hakumhukumu,soma tena.Haya hapa.

Yohana 8:3-11
3 Waandishi na Mafarisayo wakamletea mwanamke aliyefumaniwa katika uzinzi, wakamweka katikati.
Yohana 8:3

4.Wakamwambia, Mwalimu, mwanamke huyu amefumaniwa alipokuwa akizini.
Yohana 8:4

5. Basi katika torati, Musa alituamuru kuwapiga kwa mawe wanawake namna hii; nawe wasemaje?
Yohana 8:5

6. Nao wakasema neno hilo wakimjaribu, ili wapate sababu ya kumshitaki. Lakini Yesu akainama, akaandika kwa kidole chake katika nchi.
Yohana 8:6

7. Nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe.
Yohana 8:7

8.Akainama tena, akaandika kwa kidole chake katika nchi.
Yohana 8:8

9. Nao waliposikia, wakashitakiwa na dhamiri zao, wakatoka mmoja mmoja, wakianzia tangu wazee hata wa mwisho wao; akabaki Yesu peke yake, na yule mwanamke amesimama katikati.
Yohana 8:9

Tatizo ni kwamba hukumu zetu,si za haki,ndio maana Mungu amekataza tusihukumu.Naomba usome maandiko yafuatayo.

Mathayo 7:1-5
1 Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi.
Mathayo 7:1

2 Kwa kuwa hukumu ile mhukumuyo, ndiyo mtakayohukumiwa; na kipimo kile mpimiacho, ndicho mtakachopimiwa
Mathayo 7:2

3 Basi, mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe huiangalii?
Mathayo 7:3

4 Au utamwambiaje nduguyo, Niache nikitoe kibanzi katika jicho lako; na kumbe! Mna boriti ndani ya jicho lako mwenyewe?
Mathayo 7:4

5 Mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe; ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi katika jicho la ndugu yako.
Mathayo 7:5
tusitumie injili kulea dhambi na waovu.. Nakuelewa.. sana
 
Mungu huyu huyu alitumia wafalme kuwanyoosha wafilaji.. na ilifikia kipindi Mungu huyo huyo alishusha moto sodoma.. Mtu akipata ka mpenyo ka kumtia kiberiti shoga sawa tu
Sio sahihi, hukumu ya Mungu ni mwisho wa Dunia ila Kwa Sasa ni kipindi cha neema ndio maana watu Wana madhambi ila hakuna Cha gharika Wala moto Wala magonjwa kama tauni n.k.

Kingine kama ni adhabu au kisasi ni Cha Mungu sio binadamu. Unapotaka kumchoma mtu jifikirie dhambi zako kwanza je una uhalali wa kumuua mtu?

Mfano takwimu za Mewata zinaonyesha 40% ya wanawake wanaingiliwa kinyume na waume zao same to watoto wanalawitiwa wakiwa wadogo. Kabla hujashtuka, zaidi ya watoto elfu 50 wanaacha shule za msingi Kila mwaka na sababu kubwa ni ujauzito.

Sasa tukisema tuuwe walawiti, wageuzaji wake zao na watia mimba watoto, jumlisha mashoga na wasagaji nani atasalia? Mungu akisema ahukumu kwa mihemko hakuna atakayeamka mzima kesho asubuhi.

Cha msingi muombee mtu au mshauri au kamshtaki polisi afungwe kwa makosa hayo ila sio wwe huyo huyo ndio utoe adhabu as if mkamilifu.
 
Shida mnajuwa nini. Mm wakati nipo mdogo naakili timamu pale kariakoo, mtaa amani na mohoro, tulikuwa tunasikia mambo ya anti omary, shoga omari ila walikuwa wachache na walikuwa wanafanya mambo ya kwa privare. Ndomana sisi tulivyokuwa atujawa au atujapenda mambo ayo ya ushoga. Na chengine tulikuwa na michezo mingi kipindi hicho kidali, kombolela, kupika pika na tulikuwa tunacheza na dada zetu na kaka zetu. Tulikuwa tukicheza tukirudi umechoka kuoga na kulala.

Mambo ya utandawazi yalipo ingia tz. Tukaanza kuwa bize na tv kuangalia cartoon cnn, dtv, cartoon network, kipindi icho tv za analogy.

Sasa kipindi cha 2000 ndo mambo yakaanza kubadilika. Nakumbuka naanza kuangalia porn video nilikuwa na tumia motorola zile za kufungua nilipewa simu home nikakutana na hiyo x. Nadhani asilimia 100 utandawazi ndo umetualibu sana vijana. Kuiga mambo ya nje. Tukasahau tamaduni na michezo yetu yote iliokuwa inatuweka bize kama mazoezi katika maisha yetu.

Lakini sasa hivi. Uwezi kwenda bar ukakosa kukutana na shoga. Na wamekuwa wengi na wengi wengine unakutana na marafiki zako wengi wamekuwa chakula cha wanaume wenzao. Hii inasikitisha sana, kwa maesabu yangu asilimia 40 au 30 ya vijana wa kitanzania kwasasa ni mashoga na wengi wapo machuoni sana. Sijajua shida ni nn ila ndo hvyo tukijipa miaka 10 mengine mbele hali itakuwa mbaya zaidi. Sijui kutokana na maisha. Kuna wengine watakuambia waliingiliwa na ndugu zao kipindi wapo wadogo.

#Tiakiberitituwataisha #RIPJPM

Tutokomeze haya mambo maana mdaa huu mpaka mtaani tupo nao tunaishi nao ila ndo hvyo.

Fanyeni mambo yetu faragha. Au kwasili. Ila shida siku hizi na wao ndo wapo mitandaoni wanatafuta wateja kabisa imekuwa tena jambo la kawaida. Hii mbaya sana kwa taifa la kesho ambalo litakuwa linavaa pampas.
Mkuu tatizo ni kwamba watu wameipenda Dunia kuliko kumpenda Mungu,kwa hiyo Shetani anawapepeta kama Ngano.Familia ambazo zimemuamini Yesu kama Bwana na Mwokozi wa maisha yao,huu ujinga haupo kabisa.

Naomba niwakumbushe, kwamba Shetani haogopi Dini yako,hata iwe nzuri vipi,anaye- muogopa ni Bwana Yesu tu.
 
Miaka michache ijayo sijui kama kutakuwa na wanaume hapa Dar! Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana, ushoga umekuwa ni jambo la kawaida hapa Dar.

Sidhani kama kuna mtaa Dar ambao hauna mashoga, Mungu atunusu maana kwasasa mashoga wa sasa sio kama kipindi cha nyuma. Wa sasa hivi unakuta ni mtu na status yake, haonekani kama ni shoga, wengi ni watu smart kichwani na wengine wana ndoa zao.

Wengine ni watu na miili yao ya mazoezi wamejazia, ukimuona unasema ni kidume, wengine hadi ni wale watu wa kombati na nyota zao.

Hapa ofisi ninayofanyia kazi kuna watu na vyeo vyao wawili, nilichogundua wana mahusiano yasiyofaa kwani niliwafuma wamejifungia ofisini japo hawakuniona nilihisi kuishiwa na nguvu!

Sijui kama miaka michache kutakuwa na wanaume marijali wengi, itakuja kufika mahali kati ya wanaume 10 ambao ni homesexual ni 8.

Hali ni mbaya sana hapa Dar, kuna haja ya kutangazwa hali ya dharura, ushoga ni janga la kitaifa haswa hapa Dar. Hivi tatizo ninini? Yaani limekuwa ni jambo la kutisha hadi mtu unaogopa kuzaa mtoto wa kiume. Mungu nilindie kizazi changu uwiii, wanaume kwanini hivyo lakini?
Aisee , kwenu Kwa Sasa wako wangapi
 
Mbona kama vile una wachunguza sana? useme tuu ukweli wa kwamba na wewe unavutiwa na mapenzi ya jinsia moja ila kuna ugumu wa kutaka kuwa muwazi kitendo cha kuwachungulia watu wamejifungia lazima kina usisimkaji fulani wakuvutiwa na unacho taka kukijua vitendo hivi ni siri kubwa na kwa asiye na shauku la kujua huwa hawezi jua wala ona ishara lakini ukiona ishara ujue na wewe umo humo.
 
Kwa vile kumekuwepo na ongezeko kubwa la ushoga duniani na nchi yetu inakerwa na matendo hayo
Na kwa vile juhudi za kutibu ushoga zimekuwa ngumu katika jamii
Na kwamba kuna watu wengi wanaokerwa na matendo ya ushoga

Kutokana na ukweli huo nimeona nijaribu kuangalia baadhi ya vitu ambavyo vimekuwa kwa kasi kubwa katika miji mingi duniani.Nikagundua hakuna kitu kama hicho kuliko upenzi wa michezo na hasa mpira wa miguu.Kwa ukweli huo nikaanza kutafuta takwimu zifuatazo
Jee nchi zilizoendelea zaidi katika kandanda ndizo hizo hizo zinaoongoza kwa ushoga ?
Jee idadi ya makombe ya dunia iliyopata nchi fulani inakwenda sambamba na idadi ya mashoga kwenye nchi hizo

Ijapokuwa nimepata viashiria vinavyotia moyo lakini bado naendelea kukushanya takwimu ya nukta hizo na nitafurahi iwapo nitapata wenzangu wa kuchangia katika kukushanya data hizo.Kwa upande wa ongezeko katika upenzi wa michezo takwimu zinatosha kuonesha kila taifa likiwa na wanamichezo wengi na ushoga huwa katika kiwango cha juu.Hiyo ni kwa kuangalia taifa la Marekani.Wachezaji wengi maarufu wa michezo kama mpira wa vikapu wanaoonekana watu wa mirabaa 4 ndio mashoga wakubwa.
Tukija kwa viashiria nilivyovipata kwenye mchezo wa kandanada naomba tuangalie jee vitu hivi hapo chini ndivyo vichochezi vya ushoga?
Pale wanaume wanaposongamana kwenye viwanja vya mpira au kwenye mabanda ya kuangalia huwa wanatomasana kwenye sehemu zoo nyeti
Mtu anapofanya vizuri na kufurahi sana hupenda apongezwe.Jee anakuwa na mipaka ya kupongezwa au hujianchia tu.Kwa maanda katika kushangilia akitokea mtu aliyekupenda kwa ushoga akakukumbatia unamsukuma au unachukulia poa tu katiaka michezo.
Wale wanaopata katika upenzi wa timu fulani za mpira huishia hapo au huwa wanakutana kwa shughuli nyengine za kijamii.Shughuli hizo ni za kimaendeleo au ni za aina gani?.
Wale ambao ni wapenzi wa soka na hawapendi wapitwe na ushabiki kwa kushirikia kuangalia,Jee fedha huwa wanatoa wapi
 
Bado, hebu endelea na utafiti wako, napenda mpira tena hadi wa vibanda umiza ila hilo bado sijaliona...

Labda huko dar
 
Hivi mtu unatumiaje muda wako mwingi kufikiria utumbo.

Kwann usifanye utafiti vitu vya maana mdogo wangu. Au wewe unapenda ushoga.

Okay kwa mfano ukagundua ni kweli utapata nini.
 
umeandika pumbaa
 
Bado, hebu endelea na utafiti wako, napenda mpira tena hadi wa vibanda umiza ila hilo bado sijaliona...

Labda huko dar
Bado nipo na takwimu za UK ambao ndio wanaotuwekea masharti ya misaada mpaka ushoga uwe ni kifurushi cha misaada yao.Kule watu wanauwana kwa mpira.
 
Back
Top Bottom