Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Endeleeni kukejeri watu, Watawala wameshafika huku, kituo kinachofuata......?
 
Hili swali hawawezi kujibu kamwee, hata mwenye PhD yake hawezi kujibu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaishia kutukanaaaa tyuuh.
 
Aisee hizi stori nilikuwa nazionaga kama za kufikirika tu, ila nimefuata link moja hapo juu yani dah! hali ni mbaya sana hawa watu ni wengi mno .. na kwa asilimia kubwa huwezi kuwatambua kimuonekano ..
Nipe link hiyo
 
Ushoga upo sana hata zamadan! Ila sasa unaona unaongezeka kutokana na Triple *P"!
P=People!
P=Product!
P=Puplication
 
Nice
 
Ushoga ulikuwepo tangia kipind cha zamani sema kilichobadilika kwa sasa ni swala la Utandawazi ..hizi abali zinasambaa mapema tofauti na hapo hawali haimanishi kwamba zamani ushoga haukuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…