Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Endeleeni kukejeri watu, Watawala wameshafika huku, kituo kinachofuata......?
IMG_20230224_143024.jpg
 
Mjadala mzuri sana huu, ila kuna ndugu zetu ambao ukiwashinda hoja wanakutukana, nadhani tungekuwa na busara jamii yetu ingekomboka kutoka kwenye huu utumwa, mtu unampa hoja ili mfikie "Muafaka" anakuita wewe 'Shoga' kisa tuu, umemuuliza swali ambalo kimsingi ameshindwa kulijibu.

Mimi nitabaki pale pale kwenye swali langu, otherwise nijibiwe.

"Kwanini Mapenzi ya Jinsia moja (Ushoga) unakuwa kwa kasi Afrika, ilhali ni moja kati ya ukanda unaopinga vikali ajenda hii duniani?"
Hili swali hawawezi kujibu kamwee, hata mwenye PhD yake hawezi kujibu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaishia kutukanaaaa tyuuh.
 
Aisee hizi stori nilikuwa nazionaga kama za kufikirika tu, ila nimefuata link moja hapo juu yani dah! hali ni mbaya sana hawa watu ni wengi mno .. na kwa asilimia kubwa huwezi kuwatambua kimuonekano ..
Nipe link hiyo
 
Mjadala mzuri sana huu, ila kuna ndugu zetu ambao ukiwashinda hoja wanakutukana, nadhani tungekuwa na busara jamii yetu ingekomboka kutoka kwenye huu utumwa, mtu unampa hoja ili mfikie "Muafaka" anakuita wewe 'Shoga' kisa tuu, umemuuliza swali ambalo kimsingi ameshindwa kulijibu.

Mimi nitabaki pale pale kwenye swali langu, otherwise nijibiwe.

"Kwanini Mapenzi ya Jinsia moja (Ushoga) unakuwa kwa kasi Afrika, ilhali ni moja kati ya ukanda unaopinga vikali ajenda hii duniani?"
Ushoga upo sana hata zamadan! Ila sasa unaona unaongezeka kutokana na Triple *P"!
P=People!
P=Product!
P=Puplication
 
Kwenye ukweli lazima tuseme,

Ushoga ni maamuzi na matakwa ya muhusika, wala hausiani na matatizo ya akili au mwili, na sio ugonjwa.

Maana hata km ni hoja ya hormonal imbalances bado haileti mantiki au sababu mtu awe shoga. Couz unaweza kuwa na matatizo ya hormone na bado kuwa straight tena rijali haswaaa.

Na hata km itakuja hoja ya uhanithi, bado haileti maana mtu awe shoga, anaweza kuwa hanithi na akawa hivyo na asiwe shoga.

Ushoga ni maamuzi na matakwa ya muhusika, ila huwa tunasingizia ni ugonjwa au matatizo ya hormone, ila ni uongo mtupuuu.

Yaan hata awe shogaa mzoefu kiasi gan, ila akiamua kuukataa na kuachaa anaweza kabisaaa tena bila shida, ila yeye muhusika ndo aamue kwa dhati.

Ushoga ni uraibuuu tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Penye ukweli nasimamia hapo,
Nice
 
Ushoga ulikuwepo tangia kipind cha zamani sema kilichobadilika kwa sasa ni swala la Utandawazi ..hizi abali zinasambaa mapema tofauti na hapo hawali haimanishi kwamba zamani ushoga haukuwepo
 
Back
Top Bottom