Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwahiyo na wewe unakubalianana ushoga na ni shoga? ushoga ni dhambi period, hata wangekuwa wana remote ya kuendesha mioyo yetu bado msimamo upo palepale, ni dhambi. iphone zao tutatumia ila hatuwezi kununuliwa kirahisi hivyo, tutatumia na bado tutawaambia ni dhambi waache. misaada tutakula ila haiwezi kutununua nafsi kihivyo, tutakula misaada na bado tutawaambia usoni kwamba ushoga ni dhambi. afterall, iphone hawatoi bure, wanatuuzia, misaada hawatoi bure, wanafaidika nayo kwa namna wanavyoijua wao aidha directly or indirectly, na hawajawahi kutupatia misaada ambayo ni pure. hivyo hawatusaidii kihiiivyo. usije kuuza utu wako kwa fikra hiyo. au si ukute ushauza rida kwa kisingizio hicho manake mashoga hamchelewegi kutafuta sababu ya kuhalalisha.Tupinge ushoga kwa vitendo na sio kwa maneno, Unakubali msaada toka kwa mashoga halafu unasema unapinga ushoga
Mkurugenzi na mwanzilishi wa I Phone bwana Steve jobs alikuwa shoga na alijitangaza hadharani huku akizisifia bidhaa zake za I phone
Leo hii wafanyakazi wengi wa I phone ni mashoga na wamejitangaza hadharani
Unapingaje ushoga huku umenunua simu ya I phone na unajitapa mtaani kuwa ushoga hatutaki Afrika
Watumiaji wa bidhaa na misaada toka kwa mashoga ndio Wanaofanya ushoga uendelee
Unapiga kelele Tanzania Leo wakati bidhaa za mashoga ndio zinazopendwa na zinazidi kuwasifia wao
Watumiaji wa I phone sasa wameongezeka Tanzania na hii imewavutia hata watoto kutaka kuwa na I phone
Wengi wanaopiga kelele za ushoga ndio mashoga wenyewe nyuma ya pazia, Wanatumia mwanya kutangaza zaidi ushoga usikike kwa wale ambao bado hawajaanza huo mchezo
Kama kweli tunapinga ushoga kwa vitendo tuanze kwa kukataa misaada yao, Kukataa bidhaa zao kama za I phone
Huwezi ukawa umebeba I phone Halafu unasema unapinga ushoga
Huwezi ukawa unapata msaada toka nchi kama luxumbourg ukasema unapinga ushoga
Hoja, Pinga ushoga kwa vitendo sio manenokwahiyo na wewe unakubalianana ushoga na ni shoga? ushoga ni dhambi period, hata wangekuwa wana remote ya kuendesha mioyo yetu bado msimamo upo palepale, ni dhambi. iphone zao tutatumia ila hatuwezi kununuliwa kirahisi hivyo, tutatumia na bado tutawaambia ni dhambi waache. misaada tutakula ila haiwezi kutununua nafsi kihivyo, tutakula misaada na bado tutawaambia usoni kwamba ushoga ni dhambi. afterall, iphone hawatoi bure, wanatuuzia, misaada hawatoi bure, wanafaidika nayo kwa namna wanavyoijua wao aidha directly or indirectly, na hawajawahi kutupatia misaada ambayo ni pure. hivyo hawatusaidii kihiiivyo. usije kuuza utu wako kwa fikra hiyo. au si ukute ushauza rida kwa kisingizio hicho manake mashoga hamchelewegi kutafuta sababu ya kuhalalisha.
Wapo wengine wanajenga barabara nzuri sana sote tunapita humo, wengine wanatengeneza magari mazuri sana nasi tunayanunua, na wengine wanazalisha nguo still tunazivaa, hii vita ni ngumu ndugu zanguMkurugenzi na mwanzilishi wa I Phone bwana Steve jobs alikuwa shoga na alijitangaza hadharani huku akizisifia bidhaa zake za I phone
Leo hii wafanyakazi wengi wa I phone ni mashoga na wamejitangaza hadharani
Unapingaje ushoga huku umenunua simu ya I phone na unajitapa mtaani kuwa ushoga hatutaki Afrika
Watumiaji wa bidhaa na misaada toka kwa mashoga ndio Wanaofanya ushoga uendelee
Halahala usijitoe uhai ukidai hutaki kuvuta pumzi nao. Wamejaa kila nyanja, huyo uliyemtaja kajilipua, wengine kimya kimya.Tupinge ushoga kwa vitendo na sio kwa maneno, Unakubali msaada toka kwa mashoga halafu unasema unapinga ushoga
Mkurugenzi na mwanzilishi wa I Phone bwana Steve jobs alikuwa shoga na alijitangaza hadharani huku akizisifia bidhaa zake za I phone
Leo hii wafanyakazi wengi wa I phone ni mashoga na wamejitangaza hadharani
Unapingaje ushoga huku umenunua simu ya I phone na unajitapa mtaani kuwa ushoga hatutaki Afrika
Watumiaji wa bidhaa na misaada toka kwa mashoga ndio Wanaofanya ushoga uendelee
Unapiga kelele Tanzania Leo wakati bidhaa za mashoga ndio zinazopendwa na zinazidi kuwasifia wao
Watumiaji wa I phone sasa wameongezeka Tanzania na hii imewavutia hata watoto kutaka kuwa na I phone
Wengi wanaopiga kelele za ushoga ndio mashoga wenyewe nyuma ya pazia, Wanatumia mwanya kutangaza zaidi ushoga usikike kwa wale ambao bado hawajaanza huo mchezo
Kama kweli tunapinga ushoga kwa vitendo tuanze kwa kukataa misaada yao, Kukataa bidhaa zao kama za I phone
Huwezi ukawa umebeba I phone Halafu unasema unapinga ushoga
Huwezi ukawa unapata msaada toka nchi kama luxumbourg ukasema unapinga ushoga
Njia pekee ya kushinda vita hii ni kupigana ngazi ya familia, wanawake wabadirike wajuwe wazi mtoto wa kiume anafundishwa uanaume na baba yake.Wapo wengine wanajenga barabara nzuri sana sote tunapita humo, wengine wanatengeneza magari mazuri sana nasi tunayanunua, na wengine wanazalisha nguo still tunazivaa, hii vita ni ngumu ndugu zangu
Kwani ukirudi kwenye computer Microsoft ya Billgates si ndio huko alikotokea Stive Jobs wa Apple?kwa hio wanaotumia Iphone ni gays sio......utarudi kwenye computers sasa si watakuwa watu wote ? research yako ina mashaka
Mleta mada hapingi ushoga Bali anatafuta justification.Sema huna hela ya kununua iphone tukuchangie.
Mnatumia nguvu nyingi kupinga ushoga in the process ndo mnau-promote. Mkiwa na mambo ya maana ya kuwaza na kufanya hamtopata muda wa kujadili mambo ya chumbani.
Lini Steve Jobs alitangaza kuwa ni shoga? Tim Cook ndo shoga.
Ushoga unapingwa at a family level sio kwa matamko ya serikali au blah blah. Msipowafunza watoto wenu watapopolewa tu kama yule mzenji hakuna namna.
Ulikuwa na haja gani kuurudia uzi wa Nyani ngabu kujifanya unaanzisha point.?
Kwahiyo wewe hupingi ushoga?
Kwahiyo kwa sababu mashoga wanatumia magari basi sisi tusitumie magari?
Acheni kujipromoti wajinga nyinyi.
kwa hio wanaotumia Iphone ni gays sio......
Ona post za wapumbavu hizi.Wengi ni majuha. Wanachovya mchuzi wanaacha nyama.
Ukikataa ushoga kataa na vyote vinavyohusika nao.
Twende na Hashtag:
#KATAA IPHONE ZA MASHOGA.
Useless thread, sasa umefungua hii thread ili ukuze au
Hawa wanapinga ushoga kwa kutumia KEYBOARD tu.Pinga ushoga kwa vitendo sio maneno
Hashtag:Ona post za wapumbavu hizi.