Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Tupinge ushoga kwa vitendo na sio kwa maneno, Unakubali msaada toka kwa mashoga halafu unasema unapinga ushoga

Mkurugenzi na mwanzilishi wa I Phone bwana Steve jobs alikuwa shoga na alijitangaza hadharani huku akizisifia bidhaa zake za I phone

Leo hii wafanyakazi wengi wa I phone ni mashoga na wamejitangaza hadharani

Unapingaje ushoga huku umenunua simu ya I phone na unajitapa mtaani kuwa ushoga hatutaki Afrika

Watumiaji wa bidhaa na misaada toka kwa mashoga ndio Wanaofanya ushoga uendelee

Unapiga kelele Tanzania Leo wakati bidhaa za mashoga ndio zinazopendwa na zinazidi kuwasifia wao

Watumiaji wa I phone sasa wameongezeka Tanzania na hii imewavutia hata watoto kutaka kuwa na I phone

Wengi wanaopiga kelele za ushoga ndio mashoga wenyewe nyuma ya pazia, Wanatumia mwanya kutangaza zaidi ushoga usikike kwa wale ambao bado hawajaanza huo mchezo

Kama kweli tunapinga ushoga kwa vitendo tuanze kwa kukataa misaada yao, Kukataa bidhaa zao kama za I phone

Huwezi ukawa umebeba I phone Halafu unasema unapinga ushoga

Huwezi ukawa unapata msaada toka nchi kama luxumbourg ukasema unapinga ushoga
kwahiyo na wewe unakubalianana ushoga na ni shoga? ushoga ni dhambi period, hata wangekuwa wana remote ya kuendesha mioyo yetu bado msimamo upo palepale, ni dhambi. iphone zao tutatumia ila hatuwezi kununuliwa kirahisi hivyo, tutatumia na bado tutawaambia ni dhambi waache. misaada tutakula ila haiwezi kutununua nafsi kihivyo, tutakula misaada na bado tutawaambia usoni kwamba ushoga ni dhambi. afterall, iphone hawatoi bure, wanatuuzia, misaada hawatoi bure, wanafaidika nayo kwa namna wanavyoijua wao aidha directly or indirectly, na hawajawahi kutupatia misaada ambayo ni pure. hivyo hawatusaidii kihiiivyo. usije kuuza utu wako kwa fikra hiyo. au si ukute ushauza rida kwa kisingizio hicho manake mashoga hamchelewegi kutafuta sababu ya kuhalalisha.
 
Hoja, Pinga ushoga kwa vitendo sio maneno

Unaongea huku umebeba bidhaa yenye nembo ya mashoga mfano begin Halafu unasema unapinga ushoga

Kataa ushoga kwa vitendo sio maneno ndio hoja
 
Mkurugenzi na mwanzilishi wa I Phone bwana Steve jobs alikuwa shoga na alijitangaza hadharani huku akizisifia bidhaa zake za I phone

Leo hii wafanyakazi wengi wa I phone ni mashoga na wamejitangaza hadharani

Unapingaje ushoga huku umenunua simu ya I phone na unajitapa mtaani kuwa ushoga hatutaki Afrika

Watumiaji wa bidhaa na misaada toka kwa mashoga ndio Wanaofanya ushoga uendelee
Wapo wengine wanajenga barabara nzuri sana sote tunapita humo, wengine wanatengeneza magari mazuri sana nasi tunayanunua, na wengine wanazalisha nguo still tunazivaa, hii vita ni ngumu ndugu zangu
 
Tupinge ushoga kwa vitendo na sio kwa maneno, Unakubali msaada toka kwa mashoga halafu unasema unapinga ushoga

Mkurugenzi na mwanzilishi wa I Phone bwana Steve jobs alikuwa shoga na alijitangaza hadharani huku akizisifia bidhaa zake za I phone

Leo hii wafanyakazi wengi wa I phone ni mashoga na wamejitangaza hadharani

Unapingaje ushoga huku umenunua simu ya I phone na unajitapa mtaani kuwa ushoga hatutaki Afrika

Watumiaji wa bidhaa na misaada toka kwa mashoga ndio Wanaofanya ushoga uendelee

Unapiga kelele Tanzania Leo wakati bidhaa za mashoga ndio zinazopendwa na zinazidi kuwasifia wao

Watumiaji wa I phone sasa wameongezeka Tanzania na hii imewavutia hata watoto kutaka kuwa na I phone

Wengi wanaopiga kelele za ushoga ndio mashoga wenyewe nyuma ya pazia, Wanatumia mwanya kutangaza zaidi ushoga usikike kwa wale ambao bado hawajaanza huo mchezo

Kama kweli tunapinga ushoga kwa vitendo tuanze kwa kukataa misaada yao, Kukataa bidhaa zao kama za I phone

Huwezi ukawa umebeba I phone Halafu unasema unapinga ushoga

Huwezi ukawa unapata msaada toka nchi kama luxumbourg ukasema unapinga ushoga
Halahala usijitoe uhai ukidai hutaki kuvuta pumzi nao. Wamejaa kila nyanja, huyo uliyemtaja kajilipua, wengine kimya kimya.
 
Wapo wengine wanajenga barabara nzuri sana sote tunapita humo, wengine wanatengeneza magari mazuri sana nasi tunayanunua, na wengine wanazalisha nguo still tunazivaa, hii vita ni ngumu ndugu zangu
Njia pekee ya kushinda vita hii ni kupigana ngazi ya familia, wanawake wabadirike wajuwe wazi mtoto wa kiume anafundishwa uanaume na baba yake.

Wazazi leo hawataki kabisa Watoto wazijuwe shida au kushinda na njaa hapo unategemea nini?
 
kwa hio wanaotumia Iphone ni gays sio......utarudi kwenye computers sasa si watakuwa watu wote ? research yako ina mashaka
Kwani ukirudi kwenye computer Microsoft ya Billgates si ndio huko alikotokea Stive Jobs wa Apple?

Utakimbia Facebook na WhatsApp? Mark anaunga mkono ushoga.
 
Sema huna hela ya kununua iphone tukuchangie.

Mnatumia nguvu nyingi kupinga ushoga in the process ndo mnau-promote. Mkiwa na mambo ya maana ya kuwaza na kufanya hamtopata muda wa kujadili mambo ya chumbani.

Lini Steve Jobs alitangaza kuwa ni shoga? Tim Cook ndo shoga.

Ushoga unapingwa at a family level sio kwa matamko ya serikali au blah blah. Msipowafunza watoto wenu watapopolewa tu kama yule mzenji hakuna namna.
 
Wengi ni majuha. Wanachovya mchuzi wanaacha nyama.

Ukikataa ushoga kataa na vyote vinavyohusika nao.

Twende na Hashtag:

#KATAA IPHONE ZA MASHOGA.
 
Sema huna hela ya kununua iphone tukuchangie.

Mnatumia nguvu nyingi kupinga ushoga in the process ndo mnau-promote. Mkiwa na mambo ya maana ya kuwaza na kufanya hamtopata muda wa kujadili mambo ya chumbani.

Lini Steve Jobs alitangaza kuwa ni shoga? Tim Cook ndo shoga.

Ushoga unapingwa at a family level sio kwa matamko ya serikali au blah blah. Msipowafunza watoto wenu watapopolewa tu kama yule mzenji hakuna namna.
Mleta mada hapingi ushoga Bali anatafuta justification.
 
Ulikuwa na haja gani kuurudia uzi wa Nyani ngabu kujifanya unaanzisha point.?

Kwahiyo wewe hupingi ushoga?

Kwahiyo kwa sababu mashoga wanatumia magari basi sisi tusitumie magari?

Acheni kujipromoti wajinga nyinyi.

Tupa hiyo iphone,vinginevyo wewe una support ushoga indirect.
 
Pinga ushoga kwa vitendo sio maneno
Hawa wanapinga ushoga kwa kutumia KEYBOARD tu.

Ukienda majumbani mwao wamefuga mashoga na hakuna kitu chenye wanafanya.

Wakija Facebook ndio wanajifanya kubwata! Oooh hatutaki ushoga!!! Huku kabebelea IPHONE YA SHOGA!
 
Back
Top Bottom