SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
Mi pia nisingekubali Sasa hapa wakulaumiwa sio shoga Bali Ni anayekubalimimi sio wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi pia nisingekubali Sasa hapa wakulaumiwa sio shoga Bali Ni anayekubalimimi sio wewe
So wakulaumiwa ni nanimimi sio wewe
Kuna tofauti gani ..hao Malaya pia si wanagongwa nyuma Tena SanaAcheni kujusfify usenge wenu mnaoufanya.
Unaanzaje kumlinganisha mwanaume anayefanya michezo ya kisenge na anayegonga malaya pale Tandika kwa wahaya au Riverside?
Kwa nini baadhi ya mataifa ya Africa wana criminalize ushoga??Wana JF habarini za wakati huu.
Bila kuchelewa niende moja kwa moja kwenye mada
Ni kwamba kwasasa kuna hili wimbi la mapenzi ya jinsia moja (ushoga na usagaji) lina make headlines sana duniani.
Na tumekuwa tukishuhudia zaidi nchi za magharibi zenye nguvu hasa Marekani na nchi za umoja wa Ulaya (EU) zikilazimisha uhuru wa watu wa mapenzi ya jinsia moja kwa nchi maskini au zisizojiweza kiuchumi hasa za Africa.
Tumeona Uganda, Kenya n.k zikitishiwa kwa vikwazo vya kiuchumi kwa sababu tu ya kuweka sheria kali dhidi ya LGBTQ+.
Pia tukaona makampuni makubwa kama google na Micro-soft zikiionya Uganda kuwa taifa hilo litaangamizwa kabisa kiuchumi iwapo Museven atatia saini muswada uliopitishwa na Bunge kuhusu wapenzi wa jinsia moja.
Na pia tumekuwa tukiona nchi hizo zenye nguvu duniani zikilazimisha mambo yahusuyo ukoloni mambo leo kwa africa kwa sababu tunajua huwa kuna faida kwao ili waendelee kuinyonya Africa au nchi za ulimwengu wa tatu ki-ujumla.
Sasa swali langu la msingi : Ni maslahi gani hasa labda kiuchumi,kisiasa au kijamii nchi za magharibi zitayapata iwapo sisi waafrica tutaruhusu ushoga ua usagaji ?
Mpaka wanatutishia vikwao that means hili jambo kwao lina advantage kubwa sana.
Sasa ni ipi hiyo advantage wanapata kwa sisi kuruhusu ushoga ? au ni hasara gani wanapata iwapo sisi tutakataa ushoga ?
View attachment 2617752
Nawasilisha.
Zinapata faida kubwa ambayo ni ile ya kudhibiti ongezeko la watu hasa katika nchi zinazoendelea. Hii ni kwa sababu muungano wa mwanamke na mwanaume ndo huongeza watu wakati LGBTQ ikitekelezwa hakuna mtoto anayezaliwa. Over.Wana JF habarini za wakati huu.
Bila kuchelewa niende moja kwa moja kwenye mada
Ni kwamba kwasasa kuna hili wimbi la mapenzi ya jinsia moja (ushoga na usagaji) lina make headlines sana duniani.
Na tumekuwa tukishuhudia zaidi nchi za magharibi zenye nguvu hasa Marekani na nchi za umoja wa Ulaya (EU) zikilazimisha uhuru wa watu wa mapenzi ya jinsia moja kwa nchi maskini au zisizojiweza kiuchumi hasa za Africa.
Tumeona Uganda, Kenya n.k zikitishiwa kwa vikwazo vya kiuchumi kwa sababu tu ya kuweka sheria kali dhidi ya LGBTQ+.
Pia tukaona makampuni makubwa kama google na Micro-soft zikiionya Uganda kuwa taifa hilo litaangamizwa kabisa kiuchumi iwapo Museven atatia saini muswada uliopitishwa na Bunge kuhusu wapenzi wa jinsia moja.
Na pia tumekuwa tukiona nchi hizo zenye nguvu duniani zikilazimisha mambo yahusuyo ukoloni mambo leo kwa africa kwa sababu tunajua huwa kuna faida kwao ili waendelee kuinyonya Africa au nchi za ulimwengu wa tatu ki-ujumla.
Sasa swali langu la msingi : Ni maslahi gani hasa labda kiuchumi,kisiasa au kijamii nchi za magharibi zitayapata iwapo sisi waafrica tutaruhusu ushoga ua usagaji ?
Mpaka wanatutishia vikwao that means hili jambo kwao lina advantage kubwa sana.
Sasa ni ipi hiyo advantage wanapata kwa sisi kuruhusu ushoga ? au ni hasara gani wanapata iwapo sisi tutakataa ushoga ?
View attachment 2617752
Nawasilisha.
Nchi za magharibi zimeshaharibikiwa na zinajisikia vibaya sana!! Kwa hiyo wanataka nchi zote ziharibikiwe ili wasionekane ni wao tu walio washenzi!Wana JF habarini za wakati huu.