Mikoa ya Pwani ndio mikoa inayoongozwa na Idadi kubwa ya watoto wa kiume Pilau, watoto wa kiume mchele mchele, watoto wa kiume papai.
Tazama video haina hii hapo chini haina ya watu wanafahamika kwa kichambana na kutumia maneno ya aina hii ni watu wa Pwani.
View: https://www.instagram.com/reel/CyYPdj9qOG6/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==
Niliwahi kukaa mitaa ya gongo la Mboto, maeneo Africasana karibu na chuo cha Kampala. Siku moja niko mgahawani tunakula chakula nikiwa na binadamu yangu na rafiki yake ambaye walikuwa wanafanya kazi wote. Mara akaja Jamaa fulani hivi shombe shombe handsome boy white fulani hivi, akaja na jamaa wawili, huyo jamaa shombe shombe alikuwa ni mnene kimtindo. Basi wakaagiza chipsi kavu pale na vinywaji wakaanza kula, mmoja kati ya wale jamaa akaanza kumlisha chips mwenzake kimahaba. Kwa sababu mimi ilikuwa mara ya kwanza kuona wanaume wakilishana chipsi kimahaba ilibidi niulize kwa jamaa zangu niliokuwa nao maeneo hayo kwamba inakuwaje. Ndipo mkaanga chipsi akadakia na kudokeza kwamba huyo shombeshombe ndio chakula hapo, yani hao jamaa wanamnunulia bia mbili wanaenda kumkaza. Mimi binafsi nilishangaa sana kwa sababu kiukweli mashoga niliwahi kuwaona lakini kwa kuambiwa tu kwamba huyo ni shoga, na kweli Ukitizama pigo zake ni za kishoga... Sukuwai kuona aina ile ya mtindo wa kulishashana... Mimi na kuzaliwa kanda ya ziwa na kukaa mwanza na maeneo jirani kiukweli mitaa hiyo ya kanda ya ziwa ni ngumu kuona shoga, na kama wapo basi ni wa kujificha.
View: https://www.instagram.com/reel/CyfWeKzIEUo/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==
Lakini Mikoa ya Pwani mashoga kiukweli wako nje nje... Pwani ya Kenya na Pwani ya Tanzania kote mashoga nje nje wanajionesha wazi, wanagombania wanaume, wana sherehe zao, yani ushoga ni jambo la kawaida maeneo ya Pwani.
Usukumani na Uhayani nilipobahatika kukaa sana, ni nadra sana kuona Mashoga. Kwanza watakushangaa na kukuona kama umelaaniwa.
SWALI: ni kwa nini maeneo ya Pwani ndio yanaongoza kwa ushoga na kuhifadhi ushoga, au mtindo wao wa maisha ya uswahilini ndio unawabeba hawa mashoga, maana usukumani unaamka asubuhi ni kazi kazi kulima shoga lazima ataacha ushoga tu kwa kazi ngumu zilizoko huko. Lakini pwani shoga anavaa Dela na kupaka lipstick