singanojr
JF-Expert Member
- Sep 24, 2020
- 2,156
- 10,889
Kuna tofauti ya kutumia pombe ukiwa ushajipata na ukiwa bado...nadhani kwa kijana anaejitafuta ndio target ya mtoa mada..Nakula starehe kila weekend post mali zako hapa na zangu naposti na familia yenye afya na furaha halafu wadau waseme nan katisha