Vitu ambavyo mwanaume unatakiwa uvijue kabla havijakuua

Vitu ambavyo mwanaume unatakiwa uvijue kabla havijakuua

Kabisa kwa hiyo pombe au bangi bado sio tatizo ,tatizo ni kiazi kuvitumiašŸ¤”

Kisanyansi ngono(unprotected) ,pombe na mihadarati vina madhara.

Ukiendekeza sana hivyo vitu vinaweza kukupoteza - Kifedha au kidunia.
 
Kisanyansi ngono(unprotected) ,pombe na mihadarati vina madhara.na

Ukiendekeza sana hivyo vitu vinaweza kukupoteza - Kifedha au kidunia.
Hakuna kitu tofauti na kutafuta pesa ambacho ukikiendekeza kinashindwa kukupoteza kifedha
 
Hahahaha kawaida tuu,,

KUnywa pombe au kutumia wakati unajitafuta sio mbaya, ishu ni kipimo na sii vinginevy,,

Nije kutumia nikiwa na 50yrs itanisaidia nn šŸ˜‚

Mwisho wa siku kila mtu afe na mfuko wake unavyozungumza
Kaka pombe inaleta pesa , watu wa maana utakutana nao wapi tofauti na bar?
 
Bar ndio panazungumzika michongo ya pesa , wapi ulisikia pesa inaongelewa kwa kupeana connection ulokoleni?
Hahahaha watakuja kama umeme,, šŸ˜‚

Upo sahihi kabisa, ila.kuna hzi nyingn kama kitambaa hapana aseeh
 
Hahahaha watakuja kama umeme,, šŸ˜‚

Upo sahihi kabisa, ila.kuna hzi nyingn kama kitambaa hapana aseeh
Natamni siku moja nikija daslamu baada ya kuuza mpunga , nije kitambaa niwaite wanangu tule bata kidogo , kitambaa naisikia tu bwashee
 
Natamni siku moja nikija daslamu baada ya kuuza mpunga , nije kitambaa niwaite wanangu tule bata kidogo , kitambaa naisikia tu bwashee
Napita tuu njia aseeh šŸ˜‚,, afu inajaa mix muziki aseeh hatare sana,,

Karibu sana aseeh
 
Haya ni maisha ya Side saidy Mnyamwezi aliyeimwa na Mh Temba kwenye amekoma
 
Tafuta pesa pombe haijawahi kuharibu maisha ya mwanaume mwenye akili timamu bwashee .
Sahihi mkuu.
Mwaka wa5 huu nakunywa pombe na bado niko Focused.
Tena nikizipiga ndo nakuwa Commited na kazi kweli kweli.
Issue ni kunywa in moderation(kiasi).
 
Sahihi mkuu.
Mwaka wa5 huu nakunywa pombe na bado niko Focused.
Tena nikizipiga ndo nakuwa Commited na kazi kweli kweli.
Issue ni kunywa in moderation(kiasi).
Ujinga ujinga tu , walokole ni jamii ya wajinga sana
 
Uko sahihi baadhi ya vitu.
Lakini issue ya Sex, Pombe na Kula bata weekend ni machaguo ya mtu binafsi.

Kwamfano bangi ndiyo uitoe kabisa hapo.
Ila madawa uko sahihi, ni danger.
 
Hahahaha kawaida tuu,,

KUnywa pombe au kutumia wakati unajitafuta sio mbaya, ishu ni kipimo na sii vinginevy,,

Nije kutumia nikiwa na 50yrs itanisaidia nn šŸ˜‚

Mwisho wa siku kila mtu afe na mfuko wake unavyozungumza
Blood.
Nilijua tu kwenye kipengele cha mvinyo nitakunasa.
 
1000007243.jpg
 
Back
Top Bottom