Kuna tofauti ya kutumia pombe ukiwa ushajipata na ukiwa bado...nadhani kwa kijana anaejitafuta ndio target ya mtoa mada..Nakula starehe kila weekend post mali zako hapa na zangu naposti na familia yenye afya na furaha halafu wadau waseme nan katisha
Piga nyeto inapobidi kula pombe kama unapenda ila kama kidume usiogope changamoto ya aina yoyoteNimekuuliza kwa mtu yeyote aliokamilika aishije yaani asiwe na mwanamke wala asipige nyeto hizo spam ziende wapi? Nisaidie kumjibu ndugu mwandishi
Basi umesema ukiwa umepanda juu ya meza uachwe,naheshimu mtazamo wako.Bandiko lako nimelielewa ndio maana nikaomba uache kunilisha vitu ambavyo navijua tayari... Au unataka nivimbiwe?
Nakula pombe toka darasa la 6 hapo unasemaje? Na kujiipata ni tafsiri ya jamii husika tuKuna tofauti ya kutumia pombe ukiwa ushajipata na ukiwa bado...nadhani kwa kijana anaejitafuta ndio target ya mtoa mada..
Hakuna haja ya kupangiana maisha š¤ kila mtu atoboe kimpango wake bwasheeBasi umesema ukiwa umepanda juu ya meza uachwe,naheshimu mtazamo wako.
Unakunywaga bia na nguruwe kila weekend? Hongera broTuna aminishana ujinga ujinga tu š®
Nguruwe situmii tafadhali sana bwasheeUnakunywaga bia na nguruwe kila weekend? Hongera bro
Astaghafiulilah!!!Unakunywaga bia na nguruwe kila weekend? Hongera bro
šššššSasa wanawake usitafute nyeto usipige utaishiji?
Nguruwe situmii tafadhali sana bwashee
Vitu gani ukiendekeza hauta potea?Mikasi (Ngono),mitungi(Pombe) ,blunts(Mihadarati) ukiendekeza hivyo vitu lazima upotee.
Situmii nyama yoyote zaidi ya samakihautumii nguruwe ila wewe ni MLEVI , Safi sana
Vitu gani ukiendekeza hauta potea?
Sawa sawaSitimii nyama yoyote zaidi ya samaki
Ushalewa kalaleNgoja nimuulize
MAKZUBEGI wa fesibuku na elonimasiki wa space kisha nitaurdi.
Maana yangu mambo wanayofanya hao watu hayajawapoteza ndiyo maana wana mipunga.Ushalewa kalale
Kabisa kwa hiyo pombe au bangi bado sio tatizo ,tatizo ni kiazi kuvitumiaš¤Maana yangu mambo wanayofanya hao watu hayajawapoteza ndiyo maana wana mipunga.
Kaka huwa una akili mingi sana.Nichukue muda gani kumwaga ?? Bao muhimu ni la kutungisha mimba otherwise wakati wa tendo akili na mwili wake uwe hapo,,
Nina mambo mengi ya kufanya bado usingizi unaningoja