King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Kabisa kwa hiyo pombe au bangi bado sio tatizo ,tatizo ni kiazi kuvitumia🤔
Hahahaha kawaida tuu,,Kaka huwa una akili mingi sana.
Hakuna kitu tofauti na kutafuta pesa ambacho ukikiendekeza kinashindwa kukupoteza kifedhaKisanyansi ngono(unprotected) ,pombe na mihadarati vina madhara.na
Ukiendekeza sana hivyo vitu vinaweza kukupoteza - Kifedha au kidunia.
Kaka pombe inaleta pesa , watu wa maana utakutana nao wapi tofauti na bar?Hahahaha kawaida tuu,,
KUnywa pombe au kutumia wakati unajitafuta sio mbaya, ishu ni kipimo na sii vinginevy,,
Nije kutumia nikiwa na 50yrs itanisaidia nn 😂
Mwisho wa siku kila mtu afe na mfuko wake unavyozungumza
Unasomeka vzr Ila ni kuwa kila mtu anataka ashinde mechi zake ndo ttzo HiloKaka pombe inaleta pesa , watu wa maana utakutana nao wapi tofauti na bar?
Bar ndio panazungumzika michongo ya pesa , wapi ulisikia pesa inaongelewa kwa kupeana connection ulokoleni?Unasomeka vzr Ila ni kuwa kila mtu anataka ashinde mechi zake ndo ttzo Hilo
Hahahaha watakuja kama umeme,, 😂Bar ndio panazungumzika michongo ya pesa , wapi ulisikia pesa inaongelewa kwa kupeana connection ulokoleni?
Anataka uoeSasa wanawake usitafute nyeto usipige utaishiji?
Natamni siku moja nikija daslamu baada ya kuuza mpunga , nije kitambaa niwaite wanangu tule bata kidogo , kitambaa naisikia tu bwasheeHahahaha watakuja kama umeme,, 😂
Upo sahihi kabisa, ila.kuna hzi nyingn kama kitambaa hapana aseeh
Napita tuu njia aseeh 😂,, afu inajaa mix muziki aseeh hatare sana,,Natamni siku moja nikija daslamu baada ya kuuza mpunga , nije kitambaa niwaite wanangu tule bata kidogo , kitambaa naisikia tu bwashee
Sahihi mkuu.Tafuta pesa pombe haijawahi kuharibu maisha ya mwanaume mwenye akili timamu bwashee .
Ujinga ujinga tu , walokole ni jamii ya wajinga sanaSahihi mkuu.
Mwaka wa5 huu nakunywa pombe na bado niko Focused.
Tena nikizipiga ndo nakuwa Commited na kazi kweli kweli.
Issue ni kunywa in moderation(kiasi).
Sure bro, mtu unalewa mshahara wake halafu bado anachukulia poa gademiiit 🤣Point 12 ndio penyewe....
Blood.Hahahaha kawaida tuu,,
KUnywa pombe au kutumia wakati unajitafuta sio mbaya, ishu ni kipimo na sii vinginevy,,
Nije kutumia nikiwa na 50yrs itanisaidia nn 😂
Mwisho wa siku kila mtu afe na mfuko wake unavyozungumza
Kabisa bwashee.Uko sahihi baadhi ya vitu.
Lakini issue ya Sex, Pombe na Kula bata weekend ni machaguo ya mtu binafsi.
Kwamfano bangi ndiyo uitoe kabisa hapo.
Nakupendaje?🤔🥰🥰🥰🥰