Vitu ambavyo mwanaume unatakiwa uvijue kabla havijakuua

Maisha ya Yesu unataka kuwa shauri wayaishi mambwa wenzio..!! 😹😹😹
 
Hayo yoote uloongea yako ya dini zote,hivyo jikote katika imani yako kisawasawa yote utafaulu 🙏🙏
 
Tafuta pesa pombe haijawahi kuharibu maisha ya mwanaume mwenye akili timamu bwashee .
pombe imezika wengi sana, hata walioko magerezani wengi wao sababu ni pombe. Pombe ni lango la shetani kuharibu hatma za wanadamu. ULEVI ni lango la kuzimu.
 
pombe imezika wengi sana, hata walioko magerezani wengi wao sababu ni pombe. Pombe ni lango la shetani kuharibu hatma za wanadamu. ULEVI ni lango la kuzimu.
Tulia bro hauna hoja bado , kajipnge sana
 
Nakazia 100%📌📌📌
 
Hizo tips nzuri ukiwa ulaya ila kwa bongo hazitumiki bongo Kila mtu ana mfumo wake wa kuishi hatufanani
Kuna wanao ishi chini ya Sheria Kuna walio juu ya Sheria,kuna wananchi na wenye nnchi sasa Kila mtu ushambiwa ale kwa urefu wa kamba yake
 
Ambaye hana tabia zote hizo basi ni malaika
 
endelea, baadaye itakuwa too late kujua ulikuwa hujui.

wewe tangia umeanza kunywa pombe umepata faida gani kupitia huo ulevi wako.
Tungi nimejifunzia masandale bwashee tena form six halafu pcb mkuu
 
Mwisho ;
Kulawiti au kulawitiwa
Kumtegemea mwanamume mwingine sana na kuwa chawa,
Kulelewa na mwanamke
Hakuna mwanamke mwema
 
Lingine ambalo hujasema, ni kuwategemea manabii na wachungaji wabadilishe maisha Yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…