mbebahabarinjema
Member
- Jul 29, 2025
- 9
- 4
Unaishi. Kabla hujajua haya mambo mbona uliishiSasa wanawake usitafute nyeto usipige utaishiji?
Eti bwana, hapa namaliza safari yangu ndogo ya 6 niwahi maskani tukaimbe tenzi za rohoni na wanangu.Tafuta pesa pombe haijawahi kuharibu maisha ya mwanaume mwenye akili timamu bwashee .
Pumbavu maisha popote bwashee , asikudangaanye mtu eti maisha ni magumuEti bwana, hapa namaliza safari yangu ndogo ya 6 niwahi maskani tukaimbe tenzi za rohoni na wanangu.
Sahihi kabisa, ugumu ama urahisi ni relativePumbavu maisha popote bwashee , asikudangaanye mtu eti maisha ni magumu
Safi mkuu vipiAdjee buddy