KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,602
- 6,274
UONGOZI INSTITUTESija wahi kunywa pombe, kuvuta sigara au kutumia mihadarati.
Naomba SIM 2.Sijawahi kuombwa wala kutoa SIM 2 (Tigo / mixx by yas).
Kwanini sasa ulibadili gia angani?Wakati huo huu msemo wa kwa Mpalange ulikuwa bado haujaanza.
Wacha bangi zako ewe haji manaraUONGOZI INSTITUTE
Labda nianze na wewe kwenye viserangeti boys πNi Viwili amedanganya No. 3 na 5 (SIM2 na Viserengeti boys vyote amefanya na anazidi kufanya)
Jiandae, nakupitia baadaye tukashughulikie yale mambo yetu!Nipo hapa hapa uliponiacha π
NikupelekeCha uongo hapo kipo wazi kabisa, na lengo la uzi utakuta ni kuandika huo uongo πππ
Sijawahi kula KFC π Sijui kwanini
Unyama πJiandae, nakupitia baadaye tukashughulikie yale mambo yetu!
waifu material hebu m-consider tena huyu kijana.Sijawahi kwenda club, disco au kwenye tamasha lolote la mziki
Karibu mama mimi nina miaka 12 na nusuLabda nianze na wewe kwenye viserangeti boys π
SIM2 sijawahi na sitaki π
Usituongopee wewe mlevi mbwa juzi nmekuona mtaroni umelalaWacha bangi zako ewe haji manara