Vitu gani vidogo vidogo vinakufurahisha kwenye maisha?

Of course umesema sahihi
Unajua suala la utafutaji limetufanya Wababa wengi kukosa muda wa kukaa na Vijana wetu
Kwangu nimetenga muda kabisa, Vijana wakichukua Likizo shuleni, namimi nachukua Likizo kibaruani kwangu
Inapendeza sana, kitu watoto wanakumbuka hadi ukubwani ni muda uliowapa na vitu ulivyofanya nao. Uko kwenye mstari sahihi πŸ’―
Eti Babu Kijana, mwenzio nimepata watoto wa Uzeeni
Nilidhani bunduki yangu baada ya kufika miaka 70 ingeishiwa Pawa
Kujaribu imoo

Ndiyo hawa Watoto/Wajukuu πŸ˜…πŸ™Œ

Bunduki zenu si huwa haziishiwi risasi πŸ˜‚ ila hapa useme vizuri ulimzalisha nani? maana bibi naye ana 70 na hawezi kuzaa.
 
πŸ˜„πŸ€£ saana kwa kweli

Nilikuwa mpashaji mzuri kabla yq kuoq, siku hizi sipashi kwa kweli... wengine wako mbali huwa ni zile story...

Juzi kati kuna mmoja kanitumia ngoma ya ja rule, thug lovin, akisindikiza na ujumbe kiasi gani anakumbuka mabalaa yetu, tukacheka, tukakumbukia matukio yetu, uzuri yupo mbali sana na tz..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…