Vitu gani vidogo vidogo vinakufurahisha kwenye maisha?

1. Kusafiri nikiwa na babe wangu, long trip huku natembea 120km/hr huku nashika upaja wa bibie, ananifungulia kinywaji huku nakandamiza pedalπŸ˜…
2. Kuichapa papa huku naisikia ile sauti ya tumajimaji kwenye kipapa..maniner.πŸ˜…
3. Kulala huku mvua kubwa inapiga nje, huku tupo watupu na babe, the feeling is immense aloo.πŸ˜…
 
Itakuwa umesoma boarding ya single sex mkuu. Naamini hilo
 
Mzee mwenzangu uko vizuri πŸ˜…

Hiyo namba 3 ni funga kazi, hapo baMtu awe ameniamsha alfajiri akanipa cha asubuhi, tukakumbatiana huku kamvua kananyesha, ALOOOOOOH πŸ₯°
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…