Vitu hivi vinamaliza pesa bila sababu za msingi, fanya hivi kuepukana navyo

Mimi ilo naliweza ila mtu akipiga simu kuomba pesa siwez mnyima ukituma sms nakunyima kweupee
Mimi iwe meseji au kupiga simu kote lazima nitie huruma .
Kwanza uwa napanda kitanda najifunika gubigubi ni hapo naanza kuongea nikijua hii ni simu ya hela naongea kama nitakufa kesho ,ukiongelea mambo ya hela lazima na mimi nikuombe hela ya matibabu maana ndugu ni wasumbufu sana

Ila meseji uwa sijibu na nikijibu basi uwa essay ya matatizo yangu
 
Ase we zaidi ya mbahiri
 
Pole sema mm nishawai tembea kutoka morroco mpaka manzese kwa mguu nilikosa nauli na nilikuwa nimetoka kwenye usahili wa call center πŸ˜” sitak kukumbuka ile siku
Hahaha mm route za mwanayamala morroco pita humo ndani mpk tandale , manzese ndo zangu kipind naishi sinza darajani ......

Pole sana
 
Upo sahihi lakini tofautisha nidhamu ya pesa na ubahili,mtu bahili anaweza kuvaa ndala kwenye hafla kubwa
Nidhamu ya pesa haiwez kuwepo kama hujapitia level ya ubahili unapomshahuri kijana anayejitafita mpe mbinu zitakomwezesha kufikia mafanikio makubwa sio kumfundisha mambo ya kufanya ili afurahishe majority kwa muda mfupi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…