Vitu hivi vinamaliza pesa bila sababu za msingi, fanya hivi kuepukana navyo

Nakuombea uache ,sidhani kama kuna mnywaji angenifikia Mimi Kwa matumizi mabaya ya pesa kisa pombe ,ila Mungu ni mkubwa niliacha
 
Kaka mimi sijafikia hatua hiyo ya kuilamu pombe , naomba twende kwa kituo mzee wa ulanzi😁
Pombe bwana ni rafiki mzuri sana ila ni msaliti sana asubuhi muda wa mahesabu .
Nikasema nihamie kwenye ulanzi chupa mbili za lita moja nakuwa tayari sina habari ila sasa ulanzi unasaulisha vingi yaani mpaka kuoga inakuwa tabu alafu sijui una tabia gani lazima nguo zako ziwe na kijasho cha kudumu cha kiulevi ,hali inayonifanya nipate shida mno .

Ukiwa kazini kila mtu anakuona wewe hujielewi kumbe wao ndiyo hawajielewi maana hakuna hata mmoja anaijua jamiiforums ila mimi sasa kati ya mimi na wao nani hajielewi .

Anyway karibu mbeya ,karibu umalila ,mwezi ujao naoa kama hili fukunyuku halitastukia mchezo
 
Akiweza kuachana na kuhudumia wanawake kijana anayejitafuta atakuwa amejikomboa pakubwa sana​
Asilimia 80 ya wanaume walioko jela makosa Yao yanahusisha mwanamke

Mtu kaua kisa Ke
Mtu kaiba kisa Ke
Mtu anabaka kisa kakosa Ke
Mtu anabaka mtoto mdogo ili kutimiza masharti ili awe na maisha mazuri awaridhishe Ke
 
Nakuombea uache ,sidhani kama kuna mnywaji angenifikia Mimi Kwa matumizi mabaya ya pesa kisa pombe ,ila Mungu ni mkubwa niliacha
Engineer nakupata kwa uwazi sana .
Ila nikiri kuwa pombe ni adui mkubwa wa maendeleo hasa akikukamata haswa .

By the way naongea hapa nikiwa najua nimelewa napia nina maumivu makubwa maana nipo msibani kwa mtumishi mwenzangu aliyefariki juzi mlangoni kwake baada ya mimi na yeye kuwa bar toka saa moja kumbe hakula chochote toka kunapambazuka kifo kikamchukua mlangoni kwake .

Kinachoniuma ni rafiki yangu Jose kuniacha bila kuniaga ,na naumia kwanini pombe imemchukua mapema rafiki yangu ,mtetezi wangu kwa wananchi na msiri wangu aliyeamua kuwa upande wangu ikiwa si kaka wala ndugu walau tunaotoka mkoa mmoja inaniuma sana .

Kaka Jack Daniel safari ni foleni umetoka huku hakika nitatoka ila ninao uraibu mpya ambao najua fika kutoka ni kudra na utanichukua tu .

Kwaheri ,sana nazikumbuka story zako hakika ulinifanya kuwa mtu mpya kwa kiasi chake .

See you
 
Hao ni nyumbu wa huko tandahumba ku, ke
 
Aisee shout out for u I think unaacha,anza huu muda tikisa kichwa jisemee Mimi na pombe basi.
 
Ulianza vizuri sana, ila mwisho tembo umelitia maji.
 
Umeeleweka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…