Liache ni urembo hapo sebleniTV, wakati nina mishe zakutoka saa 11 asubuhi na kurudi saa 5 usiku au sita nimejichokea nalala hadi na viatu. TV lipolipo tu halitumiki,nawaza kuliuza tu maana hata mpira tunaangalizia Bar huko.
Nitakutumia pichaNiuzie
Kumbe yanakuwaga urembo😁Liache ni urembo hapo sebleni
Huoni linapendezesha sebule likikaa hapo juu ya showcaseKumbe yanakuwaga urembo😁
Ngoja niliacheache siku nikikwama tu basi hii nidhamna yangu😁Huoni linapendezesha sebule likikaa hapo juu ya showcase
Niuzie mimiZile set za mabeg unapewa ma3 😀
Nimejikuta natumia tu kale kadogo.. la kati na kubwa yapo tu yanapigwa baridi
Wauzie marekani wanaendaga mpka kuteka marais kwaajili ya Mafuta sembuse wewe unayo ndani.Kuna gari la mafuta lilidondoka lenye mafuta yameandikwa JET A1 yakawa yanatiririka, nikaufuata nikazoa kama lita 80 hivi,mpaka wa leo miaka 3 imepita sijui niyafanyie nini na nimuuzie nani.
nishayamwaga.Wauzie marekani wanaendaga mpka kuteka marais kwaajili ya Mafuta sembuse wewe unayo ndani.
Comment yako mkuu nmejkuta nmetaman kujua jinsiaMe au ke ndio nini?
Jiheshimu kijana na punguza shobo.Comment yako mkuu nmejkuta nmetaman kujua jinsia
Siku hizi nasikia watu same jinsia wanakulana.Anile vipi mwanaume mwenzie?
Airpods zina shida gani maskini
Air max mbona unyama sana ikiwa nyeupe. Au unakaa Kigoma kidongo ni chekundu
Mafuta ya ndege hayo.Kuna gari la mafuta lilidondoka lenye mafuta yameandikwa JET A1 yakawa yanatiririka, nikaufuata nikazoa kama lita 80 hivi,mpaka wa leo miaka 3 imepita sijui niyafanyie nini na nimuuzie nani.
Ugali sio chakula
Mi sitaki aisee!Siku hizi nasikia watu same jinsia wanakulana.
Halafu mie hako kadogo ndio sijawahi kukatumia🙆♂️🙆♂️Zile set za mabeg unapewa ma3 😀
Nimejikuta natumia tu kale kadogo.. la kati na kubwa yapo tu yanapigwa baridi