Vitu/vifaa gani ulivinunua kwa mihemko na umejikuta huvitumii kabisa?

Kauli yako!
Wewe kila unachokisoma humu unakiweka kwenye akili yako? Vitu viko dar niko buzebazeba navipataje? Kaa kwa kutulia watu tuna have fun, nothing much!
 
Ngoja nikaioshe kwanza maana Sio vizuri kugawa kitu kichafu
Bahati mbaya pia mwaka jana nilitupa Benzi A150 ya 2010 ilienda Scrap yard

Uwe unanicheki Mara moja moja
Sawa ukimaliza utanishtua🤭

Nitajitahidi tajiri😂
 


View: https://vt.tiktok.com/ZSq2ay9yC/
 
Hee huko tutafika tukiwa mbinguni mkuu..
Wala usihofu humu wamo baadhi ila na mimi ipo siku
Kwa Mungu madogo sana
Sikuwahi kuota nitasukuma Porsche
Nikiwa huko kiasi cha kuitwa hivyo basi Nitakuwepo humu
Uzee unasaidia sana 😂😆
 
Wala usihofu humu wamo baadhi ila na mimi ipo siku
Kwa Mungu madogo sana
Sikuwahi kuota nitasukuma Porsche
Nikiwa huko kiasi cha kuitwa hivyo basi Nitakuwepo humu
Uzee unasaidia sana 😂😆
Dah uzee unasaidia nini?😅
 
Dah uzee unasaidia nini?😅
Matumizi yanakuwa madogo sana kuliko nyie vijana.
Mda wa starehe umepita kitambo unabaki kuziangalia zikiongezeka tu kwenye hisa
Uzee raha sana
Unaamua mwaka huu uende ukatembelee Bali au Bora Bora ni kuondoka tu bila hata kuaga 🙋‍♂️
 
Aah wapi, kwenda bali ni pesa inatumika pia unasema matumizi yanapungua?

Hahah ila wazee wa siku hizi jamani😁

Kwanini uondoke bila kuaga?
 
Aah wapi, kwenda bali ni pesa inatumika pia unasema matumizi yanapungua?

Hahah ila wazee wa siku hizi jamani😁

Kwanini uondoke bila kuaga?
Saaa jamani unataka nipigwe vumbi la bongo wakati ticket na wiki mbili za mapumziko ni $5000 tu na vichele vinabaki jamani
Nimuage nani wakati watoto wameisha kuwa mababa na maisha yao?
Matumizi lazima au hujaona wazee wanaendesha Lambo kisa ni seat moja tu?
Haya ni malimbikizo ya miaka mingi ya kazi kwa hiyo kuiona dunia ni lazima and it won’t cost me much
 
Aisee hatuwezi ongea ligha moja maana hakuna kitu ninachoelewa, wewe ongea na matajiri wenzio tu, makapuku tuna kugha zetu😆
 
Aisee hatuwezi ongea ligha moja maana hakuna kitu ninachoelewa, wewe ongea na matajiri wenzio tu, makapuku tuna kugha zetu😆
Hapana si unajua ukiwa unaongea na babu hata mazungumzo yanakuwa tofauti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…