Hii ipo mkuu in real life sema haitokei ovyo na wabongo wengi huiforce..
wakati nitendo linakujaga automaticaly bila wahusika kujielewa mnajikuta tu..
Na unakuta dakika mbili zilizopita huyo adui (ambae ni muuaji wa kutisha) alikutana na huyo mpenzi wa staring kwenye ngazi, akampiga ila hamuui anamuacha amelala hapo na bastola ipo pembeni ndio anamfata staring. 🤣🤣🤣 Jamaa wanatuona maboya sana🤣🤣🤣🤣 au anatokea mtu kwa nyuma anampiga gongo la kichwa , kama sivyo unaskia mlio wa risasi paaaaaaah! unajua staring amekufa ivo. mara adui anadondoka taratiiibu huku steringi haamini amini kilichotokea , ndipo anapojitokeza mpenzi wake na kabastola mkononi , wanakumbatiana na denda juu, huku maandishi ya movie kuisha yakiwaziba msione kilinachoendelea. yan hawa sijui wanatuonaje?
Yaani wanaudhi sana hawa jamaa. Unakuta jambazi kaingia home kwa mtu kimyakimya usiku, anamkaba na mito au anamchoma kisu mtu anakufa. Hakuna mtu aliemuona jambazi kupo kimya kabisa. Cha ajabu jambazi akirudi kwenye gari/pikipiki yake aliyopaki kichochoroni kwenye giza, anaifurumsha kwa mwendo wa kasi ajabu na makelele kama yote. Mbele kidogo anawapita maaskari waliopaki zao pembeni wameuchapa usingizi mpaka wanashtuka na kuamka wanaanza kumkimbiza 🤣🤣🤣🤣 Hapo unakuta eti huyo ni serial killer wa kimataifa ameshawasumbua sana polisi, interpol, CIA, KGB mpaka JWTZ wanamtafuta miaka nenda rudi 😂😂😂Hahahaaa mkuu huwa nashangaaga majambazi wa aina hiyo yaani anaacha kumuua sterling on the spot anaanza kumuongelesha na kujitamba huu ni uongo kabisaa
😂😂😂😂😂kubabaeYaani wanaudhi sana hawa jamaa. Unakuta jambazi kaingia home kwa mtu kimyakimya usiku, anamkaba na mito au anamchoma kisu mtu anakufa. Hakuna mtu aliemuona jambazi kupo kimya kabisa. Cha ajabu jambazi akirudi kwenye gari/pikipiki yake aliyopaki kichochoroni kwenye giza, anaifurumsha kwa mwendo wa kasi ajabu na makelele kama yote. Mbele kidogo anawapita maaskari waliopaki zao pembeni wameuchapa usingizi mpaka wanashtuka na kuamka wanaanza kumkimbiza 🤣🤣🤣🤣 Hapo unakuta eti huyo ni serial killer wa kimataifa ameshawasumbua sana polisi, interpol, CIA, KGB mpaka JWTZ wanamtafuta miaka nenda rudi 😂😂😂
Mdada Mhusika Mkuu wa muvi (queen wa muvi) lazima awe mrembo tena lazima awe na uhusiano wa mapenzi na star wa kiume. Kadhalika star wa kiume lazima awe handsome. Kisha muvi nyingi wawili hao ndo wanakuwa kila kitu wanakijua hapo mtaani kwao na hakuna anayewazidi
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Star anapigwa risasi hata 15+ lakini hafi.Na star wa muvi hata awe kijana mdogo mwanafunzi wa chuo, ila lazima ukute anajua kuendesha kila aina ya usafiri kuanzia gari, pikipiki, boti, edikopta, treni.... yaani hata umpe kifaru anagonga gia...😂😂😂😂
🤣🙌kabisaaWahindi wao kesi yao ipo nje ya uwezo wetu hao bora tuwaache tuu... 😂
Ni kweli mkuu kuburudika tunaburudika ila ifike mahali tuseme enough is enough jamaa waturudishie chenji zetu 😀😀. Haiwezekani inapotokea star labda ametekwa halafu anasafirishwa kwenye msafara ma magari kama matatu manne hivi. Mara anatokea jamaa na rocket launcher anaanza kuyalipua yale magari. Haijawahi kutokea gari ambalo star yupo ndio likawa la kwanza kulipuliwa! Yaani magari yote yatalipuliwa ila lakwao litabaki na watatoka wazima au watatoroka somehow. 😂I'll Ni filamu tu,na huo uongo unaendana na ukweli ndo unaoburudisha na kuleta msisimko.....
Ongezea wanabanduana bila kondomu na wakimaliza mbanduano hawaogiKuna ile eti unakuta jamaa kakutana na demu, hata hawajuani. Wanaongea maneno mawili matatu jamaa anaanza kumuangalia demu usoni halafu anamsogezea uso taratibu. Eti demu nae anasogeza mpaka wanakiss. Hii ijaribu mitaani uone utakavyolambwa makofi [emoji1787]
Na ikitokea akapata mimba ni siku hiyohiyo tayari tumbo linakua kubwa mtu hawezi kutembea na kiuno kinamuuma. 😀Ongezea wanabanduana bila kondomu na wakimaliza mbanduano hawaogi
Anatokea adui jamaa wanapgana then anashinda maadui wote.
Hawapati mimba, wanaobanduliwa na mtongozo wa kwenye movie ni mwepesi
Na kama nyumba zote wanazoingia lazima ziwe na wall colour painting za ukweli iwe kwa tajiri mpaka kwa maskini wa kutupwa