Vituko kutoka kwenye Makanisa ya Kilokole -Tupia chako

Ungetoka kabla ibada kuisha. Au ni dhambi!?
 
wanachonifurahisha waislam sio warahisi kivile kuingizwa mkenge.Ona Babu wa Loliondo alivyotingisha mataifa mbali mbali sasa amekuwa tajiri anasema kipindi hiki anataka kuja na kali kuliko ya kwanza
 
Eti wewe ni mtoto wa yakobo..

Ukute Ni lisukuma la Geita au Linyamwezi la Tabora linajiita litoto la Yakobo au isaka. Ujinga umewajaa vichwani.
 
Kanisa la mtaani kwangu kila siku wanaanza kupiga mayowe tangu saa 9 usiku. Juzi napita kichochoroni namkuta kiongozi wa kanisa anaongea na kabinti usiku neno la mwisho nililosikia alimwambia " si tutaenda wote mbinguni" dah
 
: Mwanzo2:2
Na siku ya saba Mungu alimaliza kazi yake yote aliyoifanya; akastarehe siku ya saba, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoifanya.

: Mwanzo2:3
Mungu akaibarikia siku ya saba, akaitakasa kwa sababu katika siku hiyo Mungu alistarehe, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoiumba na kuifanya.

: Kutoka20:8
Ikumbuke siku ya Sabato uitakase.

M: Kutoka20:9
Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote;

: Kutoka20:10
lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya malango yako.

: Kutoka20:11
Maana, kwa siku sita Bwana alifanya mbingu, na nchi, na bahari, na vyote vilivyomo, akastarehe siku ya saba; kwa hiyo Bwana akaibarikia siku ya Sabato akaitakasa.

: Isaya66:22
Kama vile mbingu mpya na nchi mpya, nitakazofanya, zitakavyokaa mbele zangu, asema Bwana, ndivyo uzao wenu na jina lenu litakavyokaa.

: Isaya66:23
Na itakuwa, mwezi mpya hata mwezi mpya, na sabato hata sabato, wanadamu wote watakuja kuabudu mbele zangu, asema Bwana.

Luka 23:50-56
Luka23:54
Na siku ile ilikuwa siku ya Maandalio, na sabato ikaanza kuingia.

Luka23:55
Na wale wanawake waliokuja naye toka Galilaya walifuata, wakaliona kaburi, na jinsi mwili wake ulivyowekwa.

Luka23:56
Wakarudi, wakafanya tayari manukato na marhamu. Na siku ya sabato walistarehe kama ilivyoamriwa.
 
Na mwingine yuko hapo Kimara anajiita Musa huyo ni noma balaa
Kuhani Mussa.😂😂.

Nasikia ili kwenda kumuona unajaza form, 100k.. then unasema shida yako kama ni kutabiriwa unatabiriwa!😁.. Daaah, watu wanapgwa balaa na akiwaamini hao jamaa, hata umwambie vipi hakuelewi yaan..
 
Masanja kawa Mchungaji
yule Pilipili nae yuko njiani kuwa Mchungaji

waumini wakuu wa haya makanisa ni wanawake
kwenye Maisha bhanaaa ombea ukubalike na wanawake utavuna mnooo
 
Religious interpreneur , wajasilia dini kazini ndani ya ngozi ya kondoo huku ni mbwa mwitu wakali .
 
"JINA LA BWANA LIBARIKIWE" Hii kauli niliisikia kwenye kanisa moja. Nikajiuliza kwa kuwa Bwana ndiye Mkuu sana ni nani tena mwingine aliye mkuu awezaye kulibariki jina lake?
 
Maji ya baraka msikitini?.
 
Ndugu usijumuishe kiasi hiko, nenda kwa Mwamposa J4 au J2 uone ni Waislamu kiasi gani wanaokwenda pale kununua Maji na Mafuta. Binafsi nimeshawaona wengi tu
 
kuna kanisa Mchungaji Mkuu ni Mwanamke Msagaji na waumini wote wanajua na asilimia tisini ya wanawake wanao enda kusali mahali hapo ni wanawake wanao fanya mapenzi na wanawake wenzao
 
Ndugu usijumuishe kiasi hiko, nenda kwa Mwamposa J4 au J2 uone ni Waislamu kiasi gani wanaokwenda pale kununua Maji na Mafuta. Binafsi nimeshawaona wengi tu
Kumbe wanaenda kununua kwa mwamposa mm nikajua labda wananunua msikitini,, sio waislam hao, zuga tu ili wakuvutie kama wewe apo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…