Vituko kutoka kwenye Makanisa ya Kilokole -Tupia chako

Vituko kutoka kwenye Makanisa ya Kilokole -Tupia chako

Ukitaka kuona nyumba za ibada sio biashara bali ni huduma,na wewe anzisha lako uone kama hujasali wewe na mkeo.
Nani asiyetaka pesa?
Tuache dharau zisizo na msingi wowote. Yule padri kamaro wa chuo kikuu naye alikuwa wa kanisa la walokole?
Kwa waislam wale maimamu wanaotajwa mitandaoni kubaka watoto wa madarasa nao ni walokole?
Kuna madhaifu ya mtu kama mtu, na mifano ipo kwenye vitabu vitakatifu.
Kama mtu huitaji ibada hulazimishwi,tulia nyumbani utakuwa hujavunja sheria ya nchi na hakuna atakayekubughudhi
 
Acha uongo,,, aliyekuwa anatangaza hayo maji ni aliyekuwa mchungaji anaitwa kessy,, alikuwa akiwaonyesha watu jinsi gani mnavyopigwa. Huyo shekhe yahya tangu lini umesikia anauza maji acha fiksi bana, kwanza waislam hawadanganyiki kizembe na hilo unalitambua usijitoe ufaham, yani uote afu uwatangazie watu ww mtume 😄
Vipi kule zanzibar,wafuasi wa maalim seif nao ni wakristo wote?
Wakishauawa yeye anaitwa kuunda serikali ya mseto,na hii imetokea mara mbili
hiyo imekaaje?
 
Kanisa lake lipo Tabata Kisiwani na mimi ndio mzee wa kanisa. Karibu sana jumapili hii.
Nyiii nanyi mnachanganya watu mara manzese tip top mara tabata tuamini lipi sasa
 
Hili kanisa miaka ya nyuma ilifanyika seminar. Sasa kwenye ile seminar akaja mhubiri akaanza kazi. Alichokinena ile siku sikuweza kumaliza seminar nikaondoka.
Alihubiri kuhusu mambo ya ndoa lakini mara akaanza kusema "Unajua wanawake wana maumbile tofauti. Wanaume wanatakiwa waelewe hili...kuna *mnato, ****ya moto, * bwawa, mbano na vingine vizito sana ambavyo si hekima kuviongea kwenye mimbara. I was devastated nikasema huku ndo tulipofikia. Halafu mtumishi alikua kanyoa bonge la kiduku sijui kijogoo nikasema em nisepe sitaki dhambi
Nilipewaga mualiko na mpangaji mwenzangu(mdada mlokole) kanisa I kwao(makongo ukipita ardhi)kuna seminar ya wanaume wote Tanzania!!!!

Nikamuuliza tutaenea wanaume wote?siku ilipowadia (jumamosi) nikajongea mpaka kanisani,nilipoingia ndani nikakuta nabii bado hajaingia kuanzia seminar.

Tukawa tunatangaziwa kuwa nabii haiwezi ingia mpaka wanaume wote muse mmevaa kofia(kapelo nyeupe ina picha ya njiwa) issue ikaja kwenye Bei!!!!

30,000/!!!!mfukoni nina 5000 ya sadaka nilinyanyuka nikatoka nikazuiwa kuwa seminar itaanza!nikajibu kuna wenzangu wamepitiliza makongo unaenda wafuata.....sikurudi Tena.

Kesho yake dada mpangaji ananiuliza kama nilienda nikajibu ndio.akasema muongo kaka nikamwambia kofia 30,000akaaema eeeh kweli ulienda,umenunua?

Nikajibu siwezi ninja kofia 30,000mwanangu lake njaa wadada wote uami waliang
 
Vipi kule zanzibar,wafuasi wa maalim seif nao ni wakristo wote?
Wakishauawa yeye anaitwa kuunda serikali ya mseto,na hii imetokea mara mbili
hiyo imekaaje?
Sasa apo umekuja kwenye siasa,, na hapa hatuzungumzii siasa. Huyo maalim seif lini ulisikia kaenda msikitini kawaambia waislam yeye kashukiwa na upako kwa hiyo wakapigane. Hao wanaomkubali yeye hamkubali kwa ajili ya dini yake ni sababu ya chama chake, ingekuwa hivyo kwa ajili ya dini basi zanzibar yote ingemkubali lkn kumbuka kuna vyama vingine kule na vina wafuasi wengi tu ni waislam vile vile.
 
Sasa apo umekuja kwenye siasa,, na hapa hatuzungumzii siasa. Huyo maalim seif lini ulisikia kaenda msikitini kawaambia waislam yeye kashukiwa na upako kwa hiyo wakapigane. Hao wanaomkubali yeye hamkubali kwa ajili ya dini yake ni sababu ya chama chake, ingekuwa hivyo kwa ajili ya dini basi zanzibar yote ingemkubali lkn kumbuka kuna vyama vingine kule na vina wafuasi wengi tu ni waislam vile vile.
Hao wanaodaganywa kwenye siasa sio hao hao waendao msikitini?. Kama fix wanapigwa siasani vipi likitokea njemba msikitini hawatokwenda na maji?.
 
Hao wanaodaganywa kwenye siasa sio hao hao waendao msikitini?. Kama fix wanapigwa siasani vipi likitokea njemba msikitini hawatokwenda na maji?.
Jaribu wewe siku moja nenda msikitini waambie mm nimeoteshwa nimeshukiwa na upako natoa maji ya baraka tena bure sio kwamba unauza kisha ulete mrejesho. Tatizo unashindwa kutofautisha dini na siasa,, mimi na wewe tunaweza kuwa dini tofauti lkn kwenye chama tupo pamoja, naweza nikakupigia kura wewe lkn yule wa dini yangu nisimpigie kwa sababu labda tunagombania mwanamke mmoja. Ila linapokuja suala la magumashi ndani ya msikiti lazima bakora zitembee. Msikitini hamna magumashi. We unayaonaje maisha ya muft mkuu wa waislam Tanzania nzima na maisha ya gwajizo foshizo😄 ambaye ye ni mtu mmoja tu kaanzisha kanisa lake ukitaka kujua huko kwenu kuna magumashi na upigaji wa kufa mtu.
 
Nmegundua, wote waliochangia hili bandiko hawajasikiliza wala kuangakia Video iliyowekqa. Leo ndo nmeamini bando limepanda bei.

Kuna watu wakilisikiliza hiyo Video, watafuta Post zao. Wakurupukaji wanaitwa.

Hata mleta mada hajaaangalia Video yote. Ajabu
Mm nmeangalia mkuu
 
Siku asimame shekhe msikitini aseme kaoteshwa na mungu kwa hiyo kuna maji ya upako anauza kikombe Jero, huyo shekhe kama akitoka salama humo msikitini sijui,,,, lkn upande huu pili sijui kwanini mnaongopewa kizembe, yani masanja nae mchungaji achilia mbali yule wa kuitwa nabii frola😄
SHARIFU MAJINI ANAUZA HADI MAFUTA NA HAMUMFANYI KITU
 
Mbalizi huku
Mkuu....nimeishi sana mitaa hiyo...
Ni kipande ipi???

Tarafani,
Tazara,
Mapelele(Bua)
DDC,
Mbalizi 1
Mbalizi 2
Shigamba,
Mtakuja,
ZZK,
Kabale,
Mwashiwawala,
Iwindi, au
Mlimareli
Nsalala
Ngoja nije tuongee vizuri
 
Mkuu....nimeishi sana mitaa hiyo...
Ni kipande ipi???

Tarafani,
Tazara,
Mapelele(Bua)
DDC,
Mbalizi 1
Mbalizi 2
Shigamba,
Mtakuja,
ZZK,
Kabale,
Mwashiwawala,
Iwindi, au
Mlimareli
Nsalala
Ngoja nije tuongee vizuri
Mbalizi 2 mkuu
 
Wakuu, ni dhahiri kuwa kuna makanisa yanaibuka sasa kama uyoga. Sioni shida kuibuka kwa makanisa kila kukicha, kwasababu hata baa mpya zinaibuka kila siku.

Pamoja na yote, haya makanisa kuna baadhi yana vituko sana, yaani Mtumishi anaweza kuwa Mtume, Nabii au Mchungaji lakini mambo wanayofanya ni vituko na ajabu! Cha kushangaza bado waumini wapo.

Nianze mimi.
1. Hichi kituko kinaendelea kutokea kanisa moja Arusha, mtumishi kaacha familia Dar, kaenda kutumika Arusha kapachika muumini mimba, mke Kaenda Arusha, kulalamikia kanisa kuwa amefunga ndoa na huyo mtumishi, kituko Kanisa linamtetea Mtumishi kuwa wao hawakujua kama ameoa. Hivyo ataendelea kutoa huduma kanisani, can you imagine!!

2. Jamaa yangu huyu kaanzisha kanisa lake, kapata waumini wakutosha! Kaoa mke November, February mwaka unaofuata mke anaondoka na kila kitu, kwa madai mume wake ni mzinzi, shutuma zinafika kanisani, waumini wanaungana na mchungaji wao kukemea 😂😂😂. hii ni Kilimanjaro.

3. Christina Shusho anaanzisha kanisa baada ya kutalakiana na Mume wake na ana waumini wakutosha. Ya kujifunza ni mengi hapa.

Tuendeleze vituko vingine....
Mkuu hakuna taasisi inayoongoza kwa sasa kwa utapeli wa mahusiano na ndoa kama hawa wanaojiita watumishi. Haswa zaidi waliookoka ni matapeli wa mapenzi hata ukiwa nao kwenye. Mahusiano atakuambia uchumba ni mpaka mungu amuonyeshe kumbe ana mademu wengi huko kanisani wananyanduana kwa siri. Ni wazinzi balaa.ukitaka mahusiano safi yenyewe afya kaa mbali na watumishi. Wengi wao sio marafiki wazuri kwenye mahusiano wengi ni wagonjwa pia
 
Wanawake wengi wa kilokole wanawapenda na kuwaheshimu wachungali wao kuliko waume zao.

We fikiria unamwambia naomba nipikie anakujibu, "mchungaji kasema tuwahi kanisani"
 
Back
Top Bottom