Aaah baada ya hapo ndio ilibidi niwe na mawasiliano mujarab na mwalimu wake maana mambo ya "mama wewe hujui" siyataki tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi siku hizi kama sielewi nakaa pembeni nampigia Mwl anieleweshe kama nitakuwa nimeshindwa kupata jibu sahihi.Sitaki aibu tena ya kumkosesha mtoto wakati anaamini Mama ni Kipanga [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mpaka leo keshakuwa mtu mzima namkumbushaga anilipe deni langu na yeye anajibu bado hajaokota[emoji23][emoji23].Utoto raha sana.
mmh the next gold digger π³ [emoji2089]
Aaah baada ya hapo ndio ilibidi niwe na mawasiliano mujarab na mwalimu wake maana mambo ya "mama wewe hujui" siyataki tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maana wakati nimekazana na ile ya zamani akawa ananitazama tu usoni kama hanisomi hivi, ndio akaona mambo yasiwe mengi akanyanyuka na daftari lake[emoji1787][emoji1787]
Haya mambo ya home work balaa tupu, inabidi mzazi uwe up-to-date ili mwende sawa. Lasivyo utamlisha matango pori mtoto.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamani kumbe ni wengi tunakumbana na haya.Nina ukaribu mno na Waalimu wake hadi wananisifia kuwa nafuatilia maendeleo ya mtoto kwa karibu kumbe mwenzao sitaki ile aibu ya kumkosesha mtoto tena.Nikiwa sipo nyumbani,namwambia kabisa Mwl nitumie kwa Whattsup,halafu namwelekeza Dada wa nyumbani amsaidie akishindwa,uzuri ni mara chache sana anahitaji usaidizi,mara nyingi anafanya mwenyewe.
Mungu ajaalie asiwe mtu wa mikekaHawa huwa wana makusudi sana
Lakini all in all tuwajenge watoto wakue katika kile kitu wanapenda mfano huyo dogo anaweza kuwa football analyst mzuri sana
Labda huyo ambaye yupo LA tano anamashaka naeKuna mmoja humu kakoment wakat Kuna uzi kaleta juzi tu akiomba ushaur afanyaje apate mtoto na umri unaenda hana mtoto maajabu Leo hii anadai mwanae yupo darasa la tano
Jf haiishi maajabu
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
mpeleke shule nyingine usije tia huruma hapaMwanangu kawa wa kwanza kati ya watoto 92. Hii shule ni ya kata. Mwaka jana ilitoa four na zero tu.
Nataka mwanangu aje avunje rekodi, atoe gundu kwenye hii shule, hainaga one,two au three, wao ni four na zero tu.
Ukipata four ya 26 wewe ndio genius.
unatia aibu umbwa wwmmh the next gold digger π³ [emoji2089]
Yani ww ni muelewa sana, mm ni mwl ktk kitu tunapata shida na wazazi wakati wa matokeo ni wao wanaangalia position badala ya maksi na average aliyopata mtotoHao ndiyo unakuta darasa zima wamepata Div one. Wanakuwa wanazidiana point tu. Kwa wastani huo hata angekuwa wa 80 ni poa tu kwangu.
mmh the next gold digger π³ [emoji2089]
[emoji23][emoji23][emoji23] maana anashangaa tunacomment kuhusu watoto,wakati ni kweli tunao. Tena wengine walipatikana ki masihara tu.
Mie nagombana sana na wife ya ikifika siku ya ripoti kazi kuuliza kawa wangapi mtoto basi mie hata sijishughulishi kawa wangapi mana dogo kila nikifata ripoti wastani AYani ww ni muelewa sana, mm ni mwl ktk kitu tunapata shida na wazazi wakati wa matokeo ni wao wanaangalia position badala ya maksi na average aliyopata mtoto
NIMEONDOA MANENO YANGU NA NIMEYAFUTA YALIYOKUWA NA KADHIA NA KULETA USUMBUFU KWA MEMBERS HUMU KUHUSU REPLY YANGU JUU YA MTOTO WA HORNET MNISAMEHE SANA, SANA SANA 'HORNET' NISAMEHE .....TUENDELEE KUFURAHIA "VITUKO VYA WATOTO NA RIPOTI ZA MATOKEO"Ila hii kitu ni ngumu kukubali
Binti yangu nae ni kama Hana interest na shule kabisa
Ameniomba nimnunulie mdoli ajifunze kusuka
Pamoja na vitu vya makeup
She spends a lot of time doing her hair, nimeongea nimechoka
Anataka heels na magauni ya designs
Anaweza badili nguo hata mara mbili
Hata sielewi namfanyaje akaze shuleni
NIMEONDOA MANENO YANGU NA NIMEYAFUTA YALIYOKUWA NA KADHIA NA KULETA USUMBUFU KWA MEMBERS HUMU KUHUSU REPLY YANGU JUU YA MTOTO WA HORNET MNISAMEHE SANA, SANA SANA 'HORNET' NISAMEHE .....TUENDELEE KUFURAHIA "VITUKO VYA WATOTO NA RIPOTI ZA MATOKEO"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Please wakopeshe Watoto,watakulipa hiyp December.Utoto bwana,umenikumbusha mdogo wangu nikiwa Secondary yeye yuko Darasa la kwanza aliniambia Dada nikopeshe shs 50,nikamuuliza utanilipa lini? Akajibu siku akiokota [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Hawa walimu wa siku hizi wahuni sana unakuta watoto sita wamegongana namba tatuWazazi niwakumbushe sana badala ya kuangalia mwanao kawa namba ngapi focus kwenye wastani. Yani angalia performance na sio position.
Maana anaweza kuwa wa kwanza kumbe anaongoza vilaza wenzake. Mfano anakuwa wa kwanza halafu ana wastani chini ya 50 hapo kuna nini sasa?
Ntakusaidia ku draft mkataba πTena nataka tuandikishiane kabisa,[emoji1][emoji1][emoji119][emoji119]